tamthilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MNEKI

    JamiiForums Tanzania TCRA /COSOTA au Mamlaka zinazohusika hamuoni tamthilia ya BONDITA Azam two unavyoharibu watoto kwa kuhamasishwa ndoa za utotoni.?

    -Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri. -Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu'' -watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework -Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni? -Ee...
  2. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania TANZIA Staa wa tamthilia ya Ertugrul, Artuk Bey afariki dunia

    Muigizaji wa tamthilia pendwa zaidi kwa sasa ya Uturuki ya Ertugrul, bwana Ayberk Pekcan maarufu kama Artuk Bey amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51. Ayberk ambaye amecheza kama, Artuk Bey kwenye tamthilia hiyo ya Ertugrul, amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa miezi kadhaa. Familia ya...
  3. May Day

    JamiiForums Tanzania Kurejea kwa 'Bongo Muvi' kupitia tamthilia, waandaaji wamejifunza au watarudi kule kule?

    Kwa muda sasa ni kama nimegundua kuibuka upywa kwa ushabiki wa kazi za nyumbani haswa kupitia tamthiliya mbali mbali kwenye TV. Ni Muda mrefu sana sijaona Watu wamekaa kuangalia Kazi za nyumbani kama ninavyoshuhudia sasa maeneo mbalimbali, kuanzia majumbani hadi kwenye mabaa huko mitaani...
  4. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda Tamthilia ya Kombolela iko vizuri

    Kupitia AzamTv kuna tamthilia inaitwa kombolela, iko vizuri sana, mimi sio mpenzi wa tamthilia za Bongo, ila hii ni kali. Inaakisi maisha halisi ya uswahilini, maisha halisi ya Mtanzania wa hali ya chini(Mnyonge). Maisha ya Familia zetu za kiswahili, Baba na Mama wanaishi pamoja na Watoto wao...
  5. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua tamthilia za ki-Mexico, ki-Brazil na hata ki-Filipino

    Habarini wana jamvi Kwa anayefahamu sana sana tamthilia za ki mexico na za wa brazil jinsi ya kuzi download anifahamishe
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Taliban yapiga marufuku ushiriki wa Wanawake kwenye tamthilia

    Serikali ya Taliban imevitaka Vituo vya Televisheni kuacha kurusha Tamthilia au Maigizo yenye Waigizaji wa Kike. Waandishi wa Habari na Watangazaji Wanawake wametakiwa kuvaa Hijabu. Vipindi vya Burudani na Vichekesho vinavyokejeli Dini au vinavyoweza kuwachukiza Raia wa Afghanistan pia...
  7. luangalila

    JamiiForums Tanzania BASATA imulike tamthilia za Bongo hazina maadili

    Baraza la sanaa Tanzania niwaombe mzitazame kwa jicho la.umakini ktk muktadha wa maadili ya taifa letu, izi tamthilia za bongo ambazo zina rushwa ktk Pay tv hasa hasa za Dstv, Zile.tamthilia naona zipo nje ya maadili yetu,. Izi story message zao ni MAPENZI MAPENZ . Mavazi yao hasa ya...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Azam tv msirushe tamthilia yenye jina hili, mtakosea

    Unyanyapaa ni kosa sawa na makosa mengine, hasa likifanywa na taasisi Wafanyakazi wa ndani ni kundi kubwa sana kwenye jamii zetu, ambao kazi zao ni muhimu sana. Kazi Yao inawaingizia kipato lakini pia inasababisha utulivu mkubwa maofisini miongoni mwa watumishi wenye watoto wadogo nyumbani...
  9. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kupata wasiwasi na TMA tangu waanze na tamthilia ya JOBO

    Hanari wadau..! Binafsi nimeanza kupata wasiwasi na TMA juu ya ufanisi wao tangu tamthilia ya kimbunga JOBO ianze.😂😂😂😂😂
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ma-MC kuigiza Tamthilia, Njaa au Fursa?

    Njaa imezidi kubana kiasi kwamba watu wanachungulia fursa popote. Yaani hakuna kuacha hata kazi ya Buku. Sisi wasanii wadogo tunaponea wapi?
Back
Top Bottom