tamthilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA ILETWE ?

    WAHENGA WAHENGA Habari zenu bana wahenga wa miaka ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona sasa hivi WATURUKI ..........2024 wana tamba ile mbayaaaaa............... je wahenga HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA kuanza kutumika ???
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika wapokelewa kwa mikono miwili na mashabiki Tanzania

    Hivi karibuni, Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika ulianza jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tukio hilo lililoandaliwa na Ofisi ya Redio na Televisheni ya Mji wa Beijing, lilifungua ukurasa mpya wa mawasiliano ya kitamaduni kati ya China na Afrika, na kukuza uhusiano wa kina...
  3. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

    Habari za muda huu waungwana. Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana. Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na...
  4. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

    Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2 Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila shaka inaitwa Alpasalani nadhani, Sasa Kuna Binti alikuwa Yuko kwenye mtego na viongozi wa utawala...
  5. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Huwa siwaelewi kabisa Wanaume wanaofuatilia tamthilia za Kikorea

    Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani. Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tamthilia za China zavutia watazamaji na kujizolea umaarufu katika nchi za Afrika

    Tamthiliya za China zavutia watazamaji na kujizolea umaarufu katika nchi za Afrika Tamthilia na filamu nyingi za Kichina ambazo zinatafsiriwa kwa lugha mbalimbali, zinazidi kujizolea umaarufu na kupata mashabiki wengi katika majukwaa mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa tasnia ya burudani ya...
  7. Arch Barrel

    JamiiForums Tanzania Azam TV na Tamthilia za Kigeni

    Habar zenu wanajamvi. Pamoja na kwamba Azam Tv wanajinasibu kuwa wanawasaidia kuwakuza, kuwajenga na kuwatangaza wasanii wa ndani wa tamthilia na filamu kwa kupitia channel ya Sinema Zetu. Lakini uhalisia uliopo na usiojificha Azam Tv inazitangaza zaidi filamu na tamthilia za kigeni kuliko za...
  8. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tamthilia za Somalia za kalisha tamthilia za Tanzania kwa kushinda tuzo za Filamu ‘ZIFF’ 2024

    Muandaaji wa filamu nchini Somalia, Ahmed Farah amewamwaga waongozaji wa Tanzania baada ya kushinda Tuzo za Kimataifa za Filamu ‘ZIFF’ 2024 zilizotolewa leo Ngome Kongwe Zanzibar. Ahmed kupitia filamu yake ya Arday ameshinda Tuzo ya ZIFF 2024 katika kipengele cha tamthilia bora ya Afrika...
  10. L

    JamiiForums Tanzania China yaungana na Waswahili kukikuza Kiswahili kwa kukitumia hadi kwenye tamthilia zake

    Kwa zaidi ya miongo miwili, sera ya China kwa Afrika ilijikita zaidi katika maendeleo na miundombinu. Lakini sasa imepanua mawanda yake na kuingia ndani zaidi hadi kwenye utamaduni na lugha, ikitumia njia ya kukikuza na kukieneza Kiswahili ili kujenga ukaribu zaidi na wenzao wa nchi za Afrika...
  11. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Lamata aende Bungeni, atapata vipaji vya kutosha kwa ajili ya tamthilia zake.

  12. G

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya sasa kimaadili, nashauri watoto wawe wanaangalia tamthilia na katuni kutoka nchi za kiislam

    Yani sikuhizi ukiangalia muvi / series utagundua kwamba wameanza kuyapa nafasi kubwa mambo flani kuonesha kwamba ni kawaida, its ok, hakuna tatizo, n.k. Kuna kijana mdogo age kama 16 yupo hapa kwangu kwa masomo, akiwa free huwa anapenda kuangalia series kwenye tv, leo nimewasha tv nikakuta...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umepata Kesi na kuna Mawakili kutoka Tamthilia za How To Get Away With Murder, Suits na Scandal, utamwita yupi akutetee?

  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Waigizaji wa Tanzania wana la kujifunza kwenye tamthilia ya Mpali

    Hii tamthilia ya Mpali ina story nzuri sana ambayo inaeleweka. Ni bwana Nguzu na wakeze sita kule shamba kwao. Sasa ukija kwenye tamthilia za kitanzania, unakuta story ni ndefu mpaka inaboa yaani. Director analazimisha story isiidhe ili aendelee kupiga pesa. Matokeo yake inapoteza mvuto...
  15. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna namna ya kupakua tamthilia za Mexicans, Brazilians?

    Sana sana nahitaji Da Cor do Pecado /Shades of sin. Mwenye anajua namna ya kuipata hii mtandaoni, hata kwa kulipia 🙏🏻🙏🏻
  16. The Transporter

    JamiiForums Tanzania Azam TV (Sinema zetu) itoeni hii tamthilia ya Nazi Bubu

    Niende kwenye moja kwa moj kwenye mada binafsi sio mpenzi sana wa kuangalia tamthilia kutokana na kuchelewa kurudi kutoka kwenye majukumu. Ila kutokana na hiki kipindi cha sikukuu toka pasaka mpk sasa tunasubiria Idd nimepata muda wa kukaa kidogo kwenye tv na familia aisee tamthilia ni moja ya...
  17. CONSISTENCY

    JamiiForums Tanzania Serikali na Hatima ya Tamthilia za kigeni zilizo lugha ya Kiswahili kwa Kizazi Chetu

    Binafsi nasikitika kuona Tamthilia hizi za Kituruki, kihindi, kikorea, kichina, kiarabu n.k zilizotafsiriwa kwa lugha yetu ya Taifa kiswahili zinazooneshwa sana muda mwingi katika chanel zetu maarufu nchini hasa Azam kila nikiingia nyumbani, saloon, bar, hotel n.k. Serikali hasa Wizara ya sanaa...
  18. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Anayefuatilia hii tamthilia anihadithie

    Wakuu habari za uzima na poleni kwa majukumu. Najua wengi huwa tunafuatilia Tamthilia, maana nyingi hufundisha mambo yanayotokea katika jamii. sasa mama watoto Huwa ninamuhadithia kuhusu tamthilia ya SIRI, na yeye huwa ananihadithia za Jua kali na zingine nyingi, sasahiv yupo na hii ya Azam...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natamani nije niwe mwandishi wa filamu au tamthilia, nishaurini nianzie wapi?

    Shikamooni wakubwa zangu, sina mda mrefu sana hum jamii forum ila nlichogundua asilimia kubwa hum mnautambuzi wa mambo tofauti tofauti,ata kwa hili langu naamin hamtashindwa kunipa mawazo. wakuu mimi nna kipaji cha uandishi wa hadithi au simulizi tofauti tofauti, nna stori nyingi sana ambazo...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya SIRI , imekaa kimchongo, ila Inaonyesha namna gan GOOD BOYS ,wakikutana na Wadada wa mjini , wanapelekwa mikono juu mwendo wa mateka 😅

    Hii Tamthiliyaa imekaa kimchongooo, uongo wa waziwazi !!. Sema Kuna huyu HILLARY A.K.A GOOD BOY... na Huyu SYLVIA , MTOTO WA MJINI. Good boy Leo kaambiwa Mimba imetokaaa baby 😅😅.
Back
Top Bottom