tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. Lanlady

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tamaa ya 'upekee' na 'kuweka kumbukumbu' inasababisha ubinafsi katika taifa!

    Habari wanaJF? Nami nimeona nishiriki katika jukwaa hili la soc kwa kutoa mawazo yangu kuhusiana na mada tajwa hapo juu. Kumekuwepo na tabia ya watu wengi sana katika familia, jamii, kazini, shuleni serikalini na kwingineko; kupenda kutumia neno mimi pekee yangu nilifanya hili au lile, mimi...
  2. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Vituko nilivyowahi kuviona kwenye sahili (interviews) vya kukatisha tamaa

    Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Vijana tunapitia mengi ya kukatisha tamaa, lakini leo niwape machache ya vituko vya sahili nilivyowahi kuviona kwa macho yangu. 1. Tuliitwa kwenye usahili mikoa ya nyanda za juu kusini, basi kwa furaha na kujiamini nikapaki vitu huyooo nikafika...
  3. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Kingai umenikatisha tamaa

    Heshima sana, Tangu Kingai ateuliwe kuwa DCI nimejikuta nikikosa imani na jeshi la police 👮‍♀️. Matendo ya Kingai akiwa RCO na baadae kesi ya Mbowe yanatosha kabisa tena bila shaka yoyote kuonyesha muelekeo ya Jeshi la police. Naomba kusema inatosha sasa Katiba mpya ni muhimu kuliko jambo lolote.
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mimi nimekata tamaa kabisa... Nimechoka...

    Wanawake wa siku hizi mtatuua sisi wanaume ambao bado tunahisia za mapenzi. Kuna sehemu huwa naenda mara moja moja kufanya service. Sasa kutokana na kuwa nikipeleka gari huwa napenda kusubiria hapo hapo kufuatilia utendaji wa fundi. Basi nikajenga mazoea ya kukaa kwenye kiduka flani ambacho pia...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta binafsi wakitaka kushirikiana na Serikali wanazungushwa mpaka wanakata tamaa wanaondoka

    Rais Samia akitoa hotuba katika kongamano la kumuenzi Hayati Benjamini Mkapa linalofanyika Zanzibar leo 14/ 7/ 2022 amesema kuwa watu wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha kasi ya maendeleo ya taifa letu. Lakini Serikali imekuwa na uzito katika kuwaamini sekta binafsi, wanapotaka...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ulipowalundikia Watanzania na ''Mitozo' yako hukuona kuwa unawapa Mzigo? Unafiki wako na Tamaa zako zitakugharimu pakubwa mno?

    "Napendekeza yeyote aliyeko kwenye nafasi ya kuteuliwa, akitolewa lakini akabaki kwenye utumishi wa umma, arejee pia kwenye mshahara aliokuwa analipwa kabla ya kuteuliwa, hii itawapunguzia mzigo watanzania".Waziri Nchemba. Chanzo: ITV Tanzania Yaani kuna muda huwa hata navidharau na hivi Vyuo...
  7. Conwel Ngani

    JamiiForums Tanzania Airtel na Voda wanarushiana mpira hawataki kurudisha hela yangu. Je, ni watanzania wangapi wanaibiwa kwa kukata tamaa kufatilia?

    Siku ya alhamisi nilinunua salio la Tsh. 3,000 kutoka airtel money kwenda Voda. Airtel walirudisha msg kuwa muamala umefanyika na salio wakakata. Vodacom hakukuwa na taarifa yoyote kama muamala umepokelewa. Napowapigia airtel wanasema kwao muamala ulifanyika niwaulize voda. Voda wanasema...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tumechoka na Kampeni za Hedhi Salama 'Maredioni'. Himizeni Mabinti kuacha Tamaa na Kumomonyoka Kimaadili

    Kila Siku tu ukifungulia Redio mbalimbali Mada nyingi ni Hedhi kwa Mabinti hadi wengine sasa mnatutia Kinyaa tu kutokana na wengine kuelezea jinsi Damu zinavyotoka. Huu muda mnaoutumia kufanya Kampeni za Hedhi Salama kwa Mabinti utumieni katika Kuwajenga zaidi Kimaadili na kuwaasa waache Tamaa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uwezo mdogo wa kufikilia na tamaa ndio kikwazo kikubwa cha wajenzi wetu

    Mafundi wa Tanzania bado wanasafari ndefu sana ya kujifunza kutoka kwa mafundi wa nje . Mashundi wetu wanapenda sana short cut na kona … ukiwapa mwanya kidogo tu wanakuibia vifaa vya ujenzi , wanajenga kwa kuripua yaani ili mradi tu . Hawana uhadirifu kabisa sasa mtu atafute pesa ya kuwalipa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Marekani wamekata tamaa na siasa

    Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti wa vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 29 nchini Marekani yaliyotolewa Aprili 25 na Taasisi ya Siasa ya Kennedy ya chuo kikuu cha Harvard HKS, 36% ya waliohojiwa wanaona kuwa "shughuli za kisiasa ni nadra kuzaa matokeo halisi", na 42% ya waliohojiwa walisema kura...
  11. Mr_positive

    JamiiForums Tanzania Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa. Hongereni mliopata utumishi mwema

    Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa hongereni kwa mliopata na kheri ya utumishi mwema. Inawezekana tumefaulu ila nafasi ndio tumekosa ila tuna mshukuru Mhe Raisi japo sijabahatika kuitwa ila jamaa zangu wengi kutoka familia zetu za hali ya chini wamepata kwa jitihada binafsi...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Akabidhiwa Sh 8m, aingiwa na tamaa, atapeliwa, adanganya kavamiwa, Polisi wamdaka

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linamshikilia Ally Mussa (36) mfanyabiashara kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwamba alinyang’anywa pesa Kiasi cha Tsh 8,000,000 maeneo ya Temeke Mwembe Yanga wakati akizipeleka Bank ya CRDB Temeke Sterio. Alidai kuwa ghafla alivamiwa na watu sita...
  13. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

    Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia. Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana. Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Proffessionally mimi ni mwalimu, masomo ninayofundisha ni Kiswahili na Historia. Nilibahatika kuajiriwa serikalini mwaka 2013. Kutokana na matatizo ya kifamilia nilikazimika kuacha kazi 2019, matatizo yamekuwa yakiniandama bila suluhisho na nimejaribu kutafuta ajira sehemu mbali mbali bila...
  15. mwakavuta

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu, ushuhuda wangu; Sijafika sijachoka usikate tamaa Mungu yupo.

    Ni kawaida kwa watu kutafuta hamasa kutoka kwa waliofanikiwa peke yao kwa sababu tunaamini ndio wanaijua njia sahihi ya mafanikio. Binafsi sijafanikiwa kiwango cha kutoa hamasa hiyo kwa wengine lakini nina Imani kuna mtu aliyekata tamaa kabisa atapata nguvu ya kupambana kwa kujua kuwa hayupo...
  16. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Safari ya mafanikio ya Mwanamuziki Lauryn Hill: Usipuuze na kudharau watu na Usikate Tamaa

    Lauryn Hill Leo hii ukizungumzia orodha ya wasanii wakubwa wa kike nchini Marekani na duniani kote, basi huwezi kumkosa Lauryn Hill. Huyu ni moja kati ya binadamu wenye vipaji vikubwa sana vya utunzi wa mashairi na sauti ya kipekee kabisa. Anaweza kuimba muziki wa aina mbalimbali, kuanzia...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kama unapitia changamoto na unahisi kukata tamaa pita hapa

    " FORREST GUMP" Hii movie itakusaidia kujua kuwa hata mjinga anaweza kukufundisha kitu, ina mafunzo mengi mno ambayo yatakusaidia katika dunia. Kujua kuishi na watu, itakufunza kuwa hakuna ajuaye kesho basi heshimu kila mtu nk. Kama una depression, mid life crisis, anxiety, mambo yako hayaendi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Usikate tamaa ila jifunze kujua mda sahihi wa kuachilia jambo

    USIKATE TAMAA VS MLANGO MMOJA UKIFUNGWA MWENGINE HUFUNGUKA. Sio kila kitu uking'ang'anie jifunze kujua mda sahihi wa kuondoka na kuachilia kitu ambacho sio sahihi kwako. Point ni hivi, kama kitu kinakufanya unakosa amani, kinakufanya unadhohofika afya yako, kinakufanya uwe mbali na Mungu...
  19. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Marekani Sasa inatia huruma juu ya mzozo wa Ukraine, kauli za Joe Biden ni za kukata tamaa na hofu

    Zifuatazo ni kauli za Joe Biden na viongozi wengine baada ya kuona mzozo wa Ukraine na Urusi ni kina kirefu kwa Marekani kuvuka. 1-Marekani haitapeleka majeshi Ukraine! 2-Raia wa Marekani waondoke Ukraine Sasa! 3-Raia wa Marekani waondoke Ukraine mara moja kwani Marekani haitapeleka majeshi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu hukinai kitu kadri anavyoendelea kukitumia

    LAW OF DIMINISHING MARGINAL UTILITY Kiufupi hii law inaelezea ukinai wa kitu unavyotokea. Kadri mtu anavyokitumia kile kitu kinamfanya akichoke na asikitamani tena. Hii law inaendana na law of diminishing marginal return, tofauti ni kwamba ya marginal return inaelezea upande wa productivity...
Back
Top Bottom