tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Vijana, tusikate tamaa ya maisha: BABUTALE, mwanasiasa nguli, atunukiwa udaktari wa heshima

    Maisha mwendo mdundo.Bila shaka taifa litaanza kupata madini kupitia udaktari wa heshima, udaktari huu pia anao mbunge Musukuma. Bado nafuatilia chuo kilichompa udaktari huo Hureee vijana
  2. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania Uponyaji wa Msongo wa Mawazo na Upweke au Kukata Tamaa

    Natoa ushauri kwa mtu yeyote aliye katika hali ya kupitia machungu (bitterness), kutelekezwa au kukataliwa (rejection), msongo wa mawazo (stress) au mfadhaiko/upweke (depression), aanze kufanya au kufikiria lolote lililo zuri, lolote lililo safi, lolote lenye haki, lolote lenye staha, lolote...
  3. Toxic Concotion

    JamiiForums Tanzania Tamaa za maisha zinavyowapoteza mapunda wa madawa ya kulevya

    Inasikitisha kuwa vijana hawajifunzi kila siku kupelekea kurudia makosa hayo hayo. Imekuwa mtindo sasa vijana kuwekwa rehani kwa suppliers wa madawa ya kulevya Pakistan na Iran na 'matajiri' kuchukua mzigo kwa mali kauli. Mwisho wa siku waliowekwa rehani wanatalekezwa, waliochukua mali maisha...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Abrahim Ajib awakatia Tamaa mashabiki wa Mpira

    Dogo amenifanya nicheke sana kwa hili jibu lake.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali

    Habari ndg wanajamii! Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali nipate kipato niweze kuendelea kumhudumia mama yangu ambae ni mgojwa miezi sasa tangu anze kuugua hospitalini nimezunguka sana kila wakipima wanasema hawaoni kitu chochote daktari akanishauri nimchukue mgonjwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wana Crypto tusikate tamaa mwaka 2023 ni wakutajirika

    Hii misemo ya kiswahili ina nguvu na maana kweli. Mvumulivu hula Mbivu. Subira huvuta kheri. Licha Soko la Crypto kushuka na kushusha na kukatiza wadau tamaa lakini dhoruba ya muda tu. Huu ndio wakati wa kununua na kutrade. Wajanja watakaosoma huu uzi na kuutilia maanani watanikumbuka baada...
  7. Castr

    JamiiForums Tanzania Kuna Siku Itafika Kazi Zitakua Nyingi Hutajua Uchague Ipi

    Aaaa
  8. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Definition ya maisha(usikate tamaa)

    Habarii zoo. Rejea.. Mama samia Kareem mandonga Majaliwa Harmonize Rayvany Diamond Ruto KFC Uzi tayariii...
  9. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kuwaroga waume zenu kwa tamaa ya mali

    Hii kitu imezoeleka sana kwenye familia zetu lakini watu wengi wanashindwa kuiongelea, wanawake wamekosa huruma kabisa mwisho wa siku wanauwa bila kujuwa kuwa wanauwa, kuna familia moja huko kanda ya ziwa jamaa alienda kuowa huko dodoma kondoa kwa warangi. Lakini jamaa alikuwa ameishapata...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanawake wembamba msikate tamaa

    Naona namna ambavyo wanadada wasiyo na makalio wanavyodharaulika mtaani. Nawaonea huruma. Wanapitia wakati mgumu sana katika maisha yao. Kwa kwali miungu iwatie nguvu. Ukiangalia kila sehemu hamwonekani kuwa na thamani. Hata hamheshimiki, hata wanaume hawawaoni kama ni wanawake, mnaonekana tu...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Yanga wamedhoofu, ni kama wao ndio wapo ugenini wanakatisha tamaa!

    Wanavyocheza yanga nikama tayari wameshapata goli nne, kama wasiposhinda goli 3 leo ndio basi tena!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tamaa zinaenda kunipa mtoto wa tatu

    Naenda kupata mtoto wa tatu na mwanamke ambaye sikuwahi fikiri nitazaa naye! Ipo hivi mwaka jana katika safari zangu za biashara nilijikuta nalala hotel moja Mbeya, sababu ya kulala hapo ni ubora wa huduma zao na unafuu wa gharama zao nikilinganisha na wengine kwa hapo Mbeya. Kwahiyo baada ya...
  13. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili kuwa Putin kaanza kukata tamaa!

    Sio siri tena kwa sasa vita vya Ukraine imeshika kasi huku Russia ikipitia kipindi kigumu zaidi huenda kuliko kipindi kingine chochote tangu kuanza kwa hii vita. Kuna dalili fulani ambazo zinazoonyesha kama vile Putin pumzi inaelekea kukata. Hizi hapa chini ni baadhi ya sababu muhimu zenye...
  14. Amani Dimile

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kwa wale waliokata tamaa

    KWA WOTE WALIOKATA TAMAA KWENYE MAISHA YAO 🙏🏽 Kwa wote waliokata tamaa juu ya maisha yao, kwa wote ambao tumaini lao limeshapepea mioyoni mwao. Kwa wote waliojawa na wasi wasi na katu hawana imani thabiti kabisa. Someni hii, huenda ikawasaidia 🤝🏼 Ujumbe huu upo kwa ajili ya kukumbusha...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake, kama huwezi mtunza mtoto pelekeni kwa Baba zao. Msisumbue watu kwa upuuzi wenu

    WANAWAKE KAMA HUWEZI KUMTUNZA MTOTO PELEKENI KWA BABA ZAO. MSISUMBUE WATU KWA UPUUZI WENU! Anaandika, Robert Heriel Unang'ang'ania kuishi na mtoto alafu huna uwezo wa kumtunza huo si upuuzi. Kama huwezi kumtunza Mtoto na unapenda kuishi naye basi kuwa na adabu, kuwa humble Kwa Baba WA mtoto...
  16. aka2030

    JamiiForums Tanzania Ujuaji wa hovyo na tamaa ya Babra unazua sintofahamu nje ya nchi

    Duniani kote timu zote jezi za timu kuanzia ya wakubwa ya wanawake za vijana hufanana kuanzia dizaini nembo ya mdhamini na mengine. Ili huyu dada kwa ujuaji wake anataka simba queens wavae tofauti na timu ya wakubwa hii ya wapi hii? Na anahisi kufanya hivyo jezi hizo pia zitawekwa sokoni wadau...
  17. badison

    JamiiForums Tanzania Viongozi wenye tamaa wanavuna na kuiba Pesa nyingi ili waweze kununua Urais 2025

    Sijawahi kuona utawala wa watu wenye tamaa ya fedha kama huu wa awamu ya sita Yani Bora hata na ile awamu ya 4. Namba sita ni namba mbaya sana kiutawala ni namba isiyo na faida yoyote. Viongozi hawa wenye tamaa wanavuna pesa ili waweze kununua Urais mwaka 2025. Takukuru, jeshi la polisi, na...
  18. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania Neno gani ambalo ulishawahi kuambiwa dhahiri likakukatisha tamaa?

    Ukweli ni kwamba kuna maneno mengi sana ambayo yanatumika na watu mbalimbali hususani pale wanapotaka kumkatisha tamaa mtu mwingine. Binafsi, kuna neno "Sio kirahisi hivyo kama unavyodhani" Hili ni neno ambalo limeachisha mawazo ya watu wengi kuhusiana na kujihusisha na jambo fulani. Mfano...
  19. Azizi Walter

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana tusikatishwe tamaa na hali ya kiuchumi

    Baada ya kumaliza elimu yangu ya ufundi stadi kutoka chuo kikubwa nchini cha serikali (VETA) na kuwa na matarajio makubwa ya kupata ajira hapo baadae au kujiajiri mwenyewe lakini hali ilikuwa tofauti sana na uhalisia hakuna aliyeniamini na kufanikiwa japo kunipa majaribio juu ya kile...
  20. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Ishara zinazoonyesha wewe sio mtu wa kukata tamaa

    • Unacheka unapoanguka au unaposhidwa jambo • Hushindani na mtu lakini unajishindania mwenyewe na malengo yako. • Ni mtu unayeamini kwamba hali ngumu unayopitia ni shule. Magumu hayadumu ni swala la muda tu. • Upo tayari kwa mabadiliko yoyote. • Unafahamu vipaumbele vyako hukurupukii kila...
Back
Top Bottom