Mimi nimekata tamaa kabisa... Nimechoka...

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,743
Wanawake wa siku hizi mtatuua sisi wanaume ambao bado tunahisia za mapenzi.

Kuna sehemu huwa naenda mara moja moja kufanya service. Sasa kutokana na kuwa nikipeleka gari huwa napenda kusubiria hapo hapo kufuatilia utendaji wa fundi. Basi nikajenga mazoea ya kukaa kwenye kiduka flani ambacho pia mwenye nacho ni mdada mmoja chotara wa kipare na kiarabu.

Huyu dada pia ana saloon hapo hapo. So nakaa naagiza maji au soda nakunywa taratibu. Mdada akanizoea na tukawa marafiki tukipeana namba za simu. Ilitokea nlikuwa nahitaji mtu wa kufuatilia issues flan TRA basi nilipomshirikisha huyu dada akaniambia ana mtu wake anaweza nishughulikia.

Kweli zoezi lilifanyika likaisha. Siku moja mdada akanitumia text ana shida ya pesa kiasi flani. Nikamtumia pesa. Baada ya week akaniambia pia amepata changamoto nimuazime kiasi flani. Nikamtumia.

Aliniahidi kunitumia siku flani. Ikafika akawa kimya,siku mbili nikaona nimkumbushe. Kwa unyonge sana akaniambia nikachukue sehemu flani. Nlienda mkuta amekaa kwenye meza pombe zimezunguka na marafiki wengine. Akanitaka nikae naye. Sikukubali. Nikaomba tu nipate pesa yangu niondoke.akanipa kwa shingo upande sana.

Next week akanipigia tena kuwa ana changamoto nimpatie kiasi flani. Nikamwambia sina. Akaninunia kama siku 3 hivi. Nami nikanyamaza. Akaamua kunitafuta. This time akanipigia akisema amekwama sehemu ana shida na pesa. Nikamwonea huruma nikamtumia.

Nimekuja gundua huyu bidada anapenda sana pombe. Baada ya kusimuliwa kuwa mara kadhaa akinywa anaanza kutamba kuwa yeye anapesa. Na anatembea na watu wenye pesa.

Siku hiyo anaongea kuwa kuna kakijana kalimtongoza kakampeleka kunywa amekanyewea beer 20. Anaongea akitamba kabisa na kusema yeye hadhi yake ni watu kama mimi ndo anaotembea nao si aina ya yule bishoo n.k akawa anaongea akimponda na kunichafua mimi.

Maana kwa tabia zile kusema anatembea na mimi kwa kweli ilikuwa ni kunichafua...ni sawa na mtu kama we** aseme anatoka na mimi.

Niliumia kuwa ile pesa nimemtumia mara ya mwisho kumbe alikuwa akinywa na wenzie na mwishowe akawaambia ana mpenzi mpya ngoja amwombe pesa waongezee wanunue kinywaji kingine kinaitwa Hennesy.

Hayo yote anaongea kwa watu ambao hajui wananifahamu na nina heshimiana nao. Huyu dada mwanzoni nlimwona kama ana akili since pia ni single mother nikawa namwonea huruma. But kumbe ni wa hovyo sana. Jambo hili limenikatisha tamaa ya urafiki na watu wa namna hii. Kilio changu wanawake wa miaka hii.

Kwa nini mnaweka pesa mbele?hamwoni aibu kabisa kuomba pesa na kutaka maisha ya juu?tunaweza walaumu wanaume wanaoacha wanawake but kumbe kuna wanawake wa hovyo sana.
 
mi nimeshaliwa ela adi nimeona nikae kimya tuu..
kuna dada mmoja ameachiwa urithi na wazazi wake ndio sasa hivi nimeweka kambi.
kidogo naanza kupumua!
sababu hanywi pombe wala hana kampani za kiboya.akitoka kazini home.yaani hapo sichomoki.ogopa sana demu mnagawana bill
 
Wanawake wa siku hizi mtatuua sisi wanaume ambao bado tunahisia za mapenzi.

Kuna sehemu huwa naenda mara moja moja kufanya service. Sasa kutokana na kuwa nikipeleka gari huwa napenda kusubiria hapo hapo kufuatilia utendaji wa fundi. Basi nikajenga mazoea ya kukaa kwenye kiduka flani ambacho pia mwenye nacho ni mdada mmoja chotara wa kipare na kiarabu.

Huyu dada pia ana saloon hapo hapo. So nakaa naagiza maji au soda nakunywa taratibu. Mdada akanizoea na tukawa marafiki tukipeana namba za simu. Ilitokea nlikuwa nahitaji mtu wa kufuatilia issues flan TRA basi nilipomshirikisha huyu dada akaniambia ana mtu wake anaweza nishughulikia.

Kweli zoezi lilifanyika likaisha. Siku moja mdada akanitumia text ana shida ya pesa kiasi flani. Nikamtumia pesa. Baada ya week akaniambia pia amepata changamoto nimuazime kiasi flani. Nikamtumia.

Aliniahidi kunitumia siku flani. Ikafika akawa kimya,siku mbili nikaona nimkumbushe. Kwa unyonge sana akaniambia nikachukue sehemu flani. Nlienda mkuta amekaa kwenye meza pombe zimezunguka na marafiki wengine. Akanitaka nikae naye. Sikukubali. Nikaomba tu nipate pesa yangu niondoke.akanipa kwa shingo upande sana.

Next week akanipigia tena kuwa ana changamoto nimpatie kiasi flani. Nikamwambia sina. Akaninunia kama siku 3 hivi. Nami nikanyamaza. Akaamua kunitafuta. This time akanipigia akisema amekwama sehemu ana shida na pesa. Nikamwonea huruma nikamtumia.

Nimekuja gundua huyu bidada anapenda sana pombe. Baada ya kusimuliwa kuwa mara kadhaa akinywa anaanza kutamba kuwa yeye anapesa. Na anatembea na watu wenye pesa.

Siku hiyo anaongea kuwa kuna kakijana kalimtongoza kakampeleka kunywa amekanyewea beer 20. Anaongea akitamba kabisa na kusema yeye hadhi yake ni watu kama mimi ndo anaotembea nao si aina ya yule bishoo n.k akawa anaongea akimponda na kunichafua mimi.

Maana kwa tabia zile kusema anatembea na mimi kwa kweli ilikuwa ni kunichafua...ni sawa na mtu kama we** aseme anatoka na mimi.

Niliumia kuwa ile pesa nimemtumia mara ya mwisho kumbe alikuwa akinywa na wenzie na mwishowe akawaambia ana mpenzi mpya ngoja amwombe pesa waongezee wanunue kinywaji kingine kinaitwa Hennesy.

Hayo yote anaongea kwa watu ambao hajui wananifahamu na nina heshimiana nao. Huyu dada mwanzoni nlimwona kama ana akili since pia ni single mother nikawa namwonea huruma. But kumbe ni wa hovyo sana. Jambo hili limenikatisha tamaa ya urafiki na watu wa namna hii. Kilio changu wanawake wa miaka hii.

Kwa nini mnaweka pesa mbele?hamwoni aibu kabisa kuomba pesa na kutaka maisha ya juu?tunaweza walaumu wanaume wanaoacha wanawake but kumbe kuna wanawake wa hovyo sana.
Pole mkuu ndo wako ivo wanawake wengi sikuhizi,

Mimi Kuna Dem nilichukua namba nikawa tunachat Wazo la kumtaka nlikuwa nalo ila sio muda ule maana nina mke na familia so nikichepuka lazima iwe well organized.

Bas bana siku zikawa zinaenda Mimi Wala Sina shobo nae nikimcheki leo inaweza ikapita siku nne sijamcheki bila kujali uzuri wake, shepu na tako juu.

Juzi si nikamcheki, hee! Nikaambiwa.. "nna njaa"
 
Weee unasema hivyo tu ILA hujue sisi na pesa tuna uhusiano GANIhivi usha wahi jiuliza eva na nyoka ni kitu GANI kingine walizungumza mpaka Mungu kumwambia adam ishi KWA akili na huyo kiumbemasikini we kumbe hujui hata hivyo sio kosa LAKO na sisi tumesha kusamehe
 
Pole mkuu ndo wako ivo wanawange wengi sikuhizi,

Mimi Kuna Dem nilichukua namba nikawa tunachat Wazo la kumtaka nlikuwa nalo ila sio muda ule maana nina mke na familia so nikichepuka lazima iwe well organized.

Bas bana siku zikawa zinaenda Mimi Wala Sina shobo nae nikimcheki leo inaweza ikapita siku nne sijamcheki bila kujali uzuri wake, shepu na tako juu.

Juzi si nikamcheki, hee! Nikaambiwa.. "nna njaa"
Mkuu si unamgea tu buku tano ya kula
 
1. Mtaka nyingi nasaba upata mingi misiba. Acha kuanzisha urafiki ovyo ovyo.
2. Heshimu kila shilingi yako. Kama ilivyo ngumu kupatikana na iwe ngumu pia kutoka.
3. Wema ni nusu ya ujinga. Acha kusaidia watu ovyo always remember no good deeds goes unpunished.
4. KAA MBALI NA SINGLE MOTHERS.
5. Dunia haijawahi kuacha kuadhibu watu dhaifu especially wanaume dhaifu. Endelea kuwa dhaifu tutakutumia kama case study na mifano hai kuwahusia watoto na wajukuu wetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom