Conwel Ngani
Senior Member
- Sep 16, 2018
- 134
- 149
Siku ya alhamisi nilinunua salio la Tsh. 3,000 kutoka airtel money kwenda Voda. Airtel walirudisha msg kuwa muamala umefanyika na salio wakakata. Vodacom hakukuwa na taarifa yoyote kama muamala umepokelewa.
Napowapigia airtel wanasema kwao muamala ulifanyika niwaulize voda. Voda wanasema hawajaona muamala niwaulize airtel.
Binafsi naona huu ni ujambazi wa kimtandao kabisa. Je, ni watanzania wangapi wanaibiwa na hii mitandao kwa stahili hii
?