tajiri

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama unatoka ukoo huu jukumu la kutengeneza ukoo mwingine tajiri linakuhusu

    Dhana kuwa mambo hufuata watu ndani ya ukoo ina ukweli wake na mifano yake ipo wazi tu, tukiachana na mfanano wa vinasaba pia hata mazingira huchangia hali hiyo japo kwa ulimwengu wa kiroho watalaam wanasema kuna roho huwa zinatembea ndani ya ukoo fulani. Ulimwengu wa kitajiri na maskini kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Shetani ni tajiri kuliko Mungu hapa duniani

    Luka 4:1-21 BHN Yesu alitoka mtoni Yordani akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akaongozwa na Roho mpaka jangwani. Huko alijaribiwa na Ibilisi kwa muda wa siku arubaini. Wakati huo wote hakula chochote, na baada ya siku hizo akasikia njaa. Ndipo Ibilisi akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Dotto Magari bila ya kujijua amemkosea Tajiri yake Manara

    Wakati akimuongelea Baba Levo kuhusu kupigwa na Harmonize, Dotto Magari akapitiliza na kusema kuwa Baba Levo hana maisha na anaishi kwenye Apartment ya kupanga ghorofani. Dotto ameyasema hayo bila ya kukumbuka kuwa Tajiri yake Haji Manara nayeye anaishi kama Baba Levo. ANGALIA VIDEO HAPA
  4. JamiiForums Tanzania Wanafiki mnaomlaumu Refa Kayoko wa leo mna uhakika sikuwahi kuwaambia kuwa ni Mwananchi na Tajiri wa Ice Cream naye sasa Anahonga?

    Tatizo lenu baadhi yenu mkanichukulia poa sana hapa JamiiForums ila baadae huwa mnakuja Kunipigia Salute. Hapa hapa JamiiForums mwaka Jana ( 2023 ) nilisema kuwa Mwamuzi ( Referee ) Ramadhan Kayoko ni 100%. Mwananchi. GENTAMYCINE nakumbuka nilienda mbali zaidi na Kuwatahadharisheni mapema tu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mimba ya tajiri ukijinyoosha mgongo tu inatoka. Lakini ukibeba ya mlalahoi hata uangukiwe na ukuta haitoki

    Kuna muda mdada anatumia mbinu za kivita kumtega tajiri kihisia ili amnase. Na akimnasa anatumia njia za Cuba kumuweka tajiri kwapani. Ikitokea mdada kadaka ujauzito wa tajiri hutamani kumzalia mtoto tajiri ili atoboe kama Jacqueline Mengi. Lkn bahati mbaya mimba nyingi za matajiri huchomoka...
  6. JamiiForums Tanzania Tanganyika ni nchi inayotumikishwa kwa kivuli cha Tanzania?

    Hivi nani mmiliki wa Tanzania? Watanganyika hawaitaki, kadhalika na Wazanzibar. Ikiwa wote hao hawaridhishwi na wala kunufaishwa na uwepo wa Tanzania, ni nani hasa mnufaika wake? Ni kama vile Tanzania ni chombo kilichoundwa kwa lengo la kuinyonya Tanganyika na Watanganyika. Kwa nini nisiamini...
  7. JamiiForums Tanzania Elon Musk arejea tena kuwa tajiri namba moja duniani

    Baada ya wiki jana kusambaa kwa taarifa ya kupoteza nafasi yake aliyokuwa anaishikilia kwa muda mrefu, Nafasi ya kuwa tajiri namba moja Duniani. Mapema wiki hii amerejea kwenye nafasi yake, akimshinda bilionea wa Ufaransa na Mkurugenzi mtendaji wa LVMH Bernard Arnault. Elon Musk anarejea...
  8. JamiiForums Tanzania Haji Manara anaishi kwenye nyumba ya kupanga, asema yeye sio tajiri

    Haji Manara jana alikuwa na ugeni nyumbani kwake toka CloudsTv, na moja ya swali aliloulizwa ni kwanini bado anapanga na ilhali anaonekana ana uwezo mkubwa kifedha. Haji Manara alijibu, "Kwani kuna dhambi kupanga apartments? Mimi ni mwajiriwa wa Yanga. Sijawahi kusema Mimi ni tajiri. Naishi...
  9. JamiiForums Tanzania Tajiri wa HAMAS anayeishi kwa raha Qatar asema hadi Israel ifutwe ndio amani ipatikane

    Akataa Wapalestina wasipewe dola yao, (yaani two-state) msimamo wake ni mapigano yaendelee hadi Israel ifutwe, tatizo anayasema yote haya akiishi kwa raha na starehe huko Qatar wakati wana Gaza wanaendelea kuuawa na majengo yao kubomolewa kote. Hii iwafikie mashabiki wa maugaidi ya HAMAS, msio...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tajiri namba moja wa Afrika, Aliko Dangote ni wa 191 duniani kwa utajiri

    Sasa kama Dangote anaweza kuwa namba 191 duniani kwa utajiri wakati ndio namba moja Afrika, huyo tajiri namba moja duniani si anaweza kununua Afrika yote akiamua?
  11. JamiiForums Tanzania Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

    Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu...
  12. JamiiForums Tanzania Upembuzi wa kitabu cha mtu tajiri zaidi babylon

    UPEMBUZI YAKINIFU WA KITABU CHA MTU TAJIRI ZAIDI BABYLON "THE RICHEST MAN IN BABYLON" Na LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA. KWAMBA, THE RICHEST MAN IN BABYLON ni kitabu kilichoandikwa na GEORGE S CLASON, kinachoongelea siri ya utajiri iliyokuwa ikitumika na ustaarabu wa kale kabisa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msuva Yanga wanapoteza pesa za wanachama na tajiri wao. KAISHA KACHAKAA

    Kuna rumours that Msuva amesign youn Africans baada ya kutemwa na js kabylie. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu. yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga. Kaisha timu ya taifa pia tumteme time is up. Afcon pelegrino ndani Msuva hapana. Hamna...
  14. JamiiForums Tanzania Yanayojiri Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 2023: Felix Tshisekedi atangazwa Mshindi wa Urais

    SERIKALI YAKATAA KURUDIA UCHAGUZI LICHA YA WAANGALIZI KUDAI KUNA UDANGANYIFU Kauli ya Serikali inakuja huku kukiwa na shinikizo la Wafuasi na Viongozi wa Upinzani kutaka Uchaguzi huo ufutwe kutokana na madai ya kuwepo kwa ukiukwaji wa Sheria na Uwazi ikiwe baadhi ya Vituo kutopiga Kura. Ripoti...
  15. JamiiForums Tanzania Je zuberi/kisesa express ndio tajiri zaidi kwenye sekta ya usafirishaji? Kwanini hajapandisha nauli?

    Huku magari mengine kama katarama, allys star, isamilo, Abood, happy nation, dar lux (sijui kapotelea wapi) wakikimbizana kupandisha nauli ya Mwanza to dar kwa Sasa ni 78,000/= huyu jamaa zuberi yeye kaishia hapo kwenye 60,000/= yaani huyu Mwamba hajaanza Leo, tokea miaka hiyo yeye nauli zake ni...
  16. JamiiForums Tanzania Hili tajiri lililokua linatoa hela kwa HAMAS limeuawa

    Hakuna anayesazwa... https://twitter.com/IDF/status/1737047329679482899?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1737047329679482899%7Ctwgr%5E65eabd3a6b41d8dd116685a17d936eaad3131cfb%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.jpost.com%2Fisrael-hamas-war%2Farticle-778632
  17. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi unavyozidi kuwa tajiri ndivyo unaongeza muda wa kuishi chooni

    Matajiri wengi wanaishi zaidi zaidi bafuni na chooni kuliko kuishi kukaa sebuleni na chumbani. Miundombinu ya vyoo vya matajiri au hata hotel kubwa imewafanya matajiri kuishi chooni bila kujua . Chooni wanakaa, wanamaji ya moto, wana jakuzi, vifaa vya kunyolea , marashi nk. Hivyo ni jambo la...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

    Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni. ==== Pauline...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kama unataka utajiri kwa nchi maskini, ingia kwenye siasa; Kama unataka kuwa mwanasiasa kwa nchi tajiri, kuwa tajiri kwanza

    Ukweli mchungu sana kwamba katika nchi za kishenzi ili uwe tajiri, basi uingie kwenye siasa. Lakini katika nchi zinazojielewa kama Marekani na nchi za Ulaya, ili uwe kiongozi wa kisiasa lazima uwe vizuri kiuchumi, yaani ni lazima uwe tajiri. Hii hali huwa na athari mbaya kwa nchi zetu kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani inanufaikaje na misaada inayoipatia nchi maskini?

    Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika! Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba. Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa misaada. Nini sababu ya Marekani kuzisaidia nchi zingine wakati kuna raia wake wanaohitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…