tajiri

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ili Tajiri ayachukulie kwa uzito mambo unayomshauri pengine huwa anayasahau kwa sababu ya ana mambo mengi

    Labda nielezee Kwa mfano ili nieleweke. Kwa mfano unafanya kazi katika kiwanda au kampuni na wewe ni kibarua tu means huonani sana na management ya juu na kila linaondelea juu hujui wala huhusiki tu kwenye mipango yoyote. Hujui uhusiano wao Kwa wao hujui wanayoyasema. Sasa nyie vibarua kuna...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Tajiri "Bilionea' Diamond kakubali kuwa hata Yeye 'sometimes' huwa anachapiwa / anabanduliwa Mademu zake, Wewe ni nani ukatae kuwa husalitiwi?

    Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa...
  3. KIBESENI

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwa tajiri wa mapesa; Nifanyaje?

    Umri unaenda, majukumu ni mengi yakuhudumia familia, sioni mlango wa pesa nyingi zikija kwangu. Nimejitahidi kwa miaka mingi niwe na mapesa mengi hata niwa said ie wasio nazo, nimeambulia patupu. Niwe na pesa si kwa shida na mahitaji yangu tu, natka kusaidia jamii ya wasiojiweza,mayatima na...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Audiobook: Tajiri wa Babeli(The Richest Man in Babylon).

    App ya Maktaba Sauti tumeanza kuandaa audiobooks. Sikiliza. 1&2. UTANGULIZI 3. MTU ALIYETAMANI DHAHABU
  5. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Nitatoa majina ya wajumbe wa Bodi Saa 2:30 Usiku

    Mo Dewji: Nitatoa taarifa kuhusu Wajumbe wa Bodi ya Simba Sports Club kutoka upande wa Mwekezaji, leo saa mbili na nusu usiku. Unahisi jina gani halitokosekana? ===== Kutoka kwa Ahmed Aliy Msemaji wa Simaba: Tajiri yupo kazini, Leo saa 2:30 Usiku anatoa taarifa kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Tajiri Bill Gates alivyolea watoto wake ni mfano mzuri wa kuigwa na sisi waafrika wa rika mbalimbali za maisha.

    Ukiangalia namna hawa matajiri wa kizungu wanavyolea watoto wao utagundua ni kwa nini hata hao wazazi wao wanadumu na hizo mali. Na Bill Gates anasema atawapatia watoto wake watatu wakike wawili na wa kiume moja dola milioni 10 tu kila moja ili wachakarike nazo kwani kuwapatia hela nyingi sio...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mataifa 10 tajiri sana duniani kwa mwaka 2024.

    Marekani, China, Ujerumani, Japan na India ndizo nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani kwa mwaka wa 2024, kulingana na data zao za Pato la Taifa. Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha...
  8. mwakajingatky

    JamiiForums Tanzania Mwanamke tajiri kuwahi kutokea dunia, aliyeyesifika kwa ubahili ulio tukuka

    Jinsi Hetty Green Alivyokuwa 'Mwanamke Tajiri Zaidi Nchini Amerika' Wakati wa Enzi ya miaka ya dhababu "GILDED AGE" Akiitwa "Mchawi wa Wall Street," Hetty Green alikuwa mmoja wa watu tajiri zaidi nchini Marekani mwanzoni mwa karne ya 20. Katika karne ya 19 nchini Amerika, ukuaji wa viwanda...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tajiri itumie rasilimali zilizopo kuboresha uchumi

    Utajiri: Utajiri ni namna ya kuwa na vitu vingi vya thamani na kuwa na vyanzo vya mapato ambavyo vinamilikiwa na mtu au nchi .Tanzania imebalikiwa na katika utajiri wa vitu vingi sana vya thamani Katika miaka mitano ya mabadiliko Tanzania naipata jina Tanzania tajiri ambayo itapambania na...
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ununuzi ardhi (TAUSI) kuna katabia ufanywa na wafanyakazi halmashauri zenu

    Kuna hujuma zinazotendeka kwenye mfumo wa TAUSI kipindi wanapoweka kuhusu upatikanaji wa maeneo yanayouzwa kupitia mfumo wenu. Wanapo tangaza kuhusu maeneo wanayo yauza cha kushangaza hiyo tarehe uwezi kuona wameweka mda wa asubuhi mpaka saa 12 jioni ila mpaka inapofika usiku saa sita ndio...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya Ualimu

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm, Baba Levo amenukuliwa akisema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya ualimu kwasababu kazi hiyo ni ya kipato cha chini sana kwenye mishahara na posho zao ni ndogo. Kujenga hata nyumba ya kisasa kwa kazi ya ualimu ni changamoto sana sahau kuhusu...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigullu Nchemba: Hatuwezi kumuacha mtu awe tajiri kwa kukusanya pesa za Watanzania

    Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania iamue kati ya kuwa maskini sasa na kuwa tajiri baadae au iwe tajiri sasa na kuwa maskini baadae

    Afrika na Tanzania imepokea maelekezo na misaada mingi sana kutoka nchi na mashirika kutoka nchi za Magharibu lakini umaskini bado umegandamana na ngozi zetu. Hii inaonyesha kuwa hii sio misaada ya kweli bali ni mitego/chambo tu katika kuporwa rasilimali zetu, sio misaada ya kutukwamua. Tuamue...
  14. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Jinsi wakaazi wa Dunia wanavyotumikishwa na kutawaliwa bila kufahamu. (Hiii ni watu wote, Tajiri mpaka masikini mweupe mpaka mweusi, msomi asiyemsomi

    Kufuatia Hali na mambo yalivyo ni Dhahiri kwamba sasa tutakubaliana kwamba kuna watu wachache mno wanacontrol Dunia nzima kwenye aspects zote ikiwemo za maisha. Na lengo sio kupata pesa ila ni kuwafanya watu wasiwe huru bali wawe watumwa ili wasimfikirie Muumba wao. So wana vitendea kazi ama...
  15. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Rangi: Kinyonga wa Madini Tanzania

    Tanzania ni nchi tajiri katika rasilimali asili, ikiwa na madini mengi ambayo yanaweza kuleta utajiri mkubwa kwa taifa na wananchi wake. Hata hivyo, hadithi ya utajiri wa madini nchini imekuwa na kivuli cha giza kinachofahamika kama "tajiri wa rangi," ambaye mara nyingi huwa kama kinyonga kwenye...
  16. goroko77

    JamiiForums Tanzania Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe tajiri Mara ya mwisho nilisikia binti yake amezalia nyumbani kwake Kwa kifupi marehemu alikuwa na...
  17. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

    Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao. Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.
  18. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Majiji Tajiri Africa

    TOP 23 RICHEST CITIES IN AFRICA 🌍 1. 🇿🇦Johannesburg ($276 Billion) 2. 🇿🇦Cape Town ($155 Billion) 3. 🇪🇬Cairo ($140 Billion) 4. 🇳🇬 Lagos ($108 Billion) 5. 🇰🇪 Nairobi ($85 Billion) 6. 🇿🇦 Durban ($55 Billion) 7. 🇦🇴Luanda ($49 Billion) 8. 🇿🇦Pretoria ($48 Billion) 9. 🇲🇦Casablanca...
  19. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Orodha ya clabu tajiri zenye dhamani kubwa zaidi Africa

    Most valuable football clubs in Africa as of the 2023/2024 season, by market value 1)- El Ahly sc, Egypt 🇪🇬,30.5 million euros 2)- Mamelodi Sundowns, South Africa 🇿🇦 - 29.15 million euros 3)- Pyramid FC, Egypt 🇪🇬, 21.73 million euros 4)- Orlando Pirates, South Africa 🇿🇦 19.55...
  20. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya msiba wa maskini na tajiri

    Maisha yangu nimeshuhudia misiba mingi na mengine tumeona ya wakubwa na wadogo hapa kwetu kwa imani mbalimbali. Kilichonileta hapa kutofautisha misiba ya maskini na matajiri. Misiba ya maskini ilivyo: Ucheleweshi sababu unapoteza mda huna ulichokiacha hapa, utazikwa haraka na kama msiba...
Back
Top Bottom