Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,773
- 14,646
Kuna hujuma zinazotendeka kwenye mfumo wa TAUSI kipindi wanapoweka kuhusu upatikanaji wa maeneo yanayouzwa kupitia mfumo wenu.
Wanapo tangaza kuhusu maeneo wanayo yauza cha kushangaza hiyo tarehe uwezi kuona wameweka mda wa asubuhi mpaka saa 12 jioni ila mpaka inapofika usiku saa sita ndio mfumo wanaweka.
Je usiku mnafungulia nani mfumo ?