SOMO KWA VIJANA: Ijue tofauti ya tajiri na masikini, au tofauti ya millionea na shilingionea

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,729
6,792
Unajua haya maisha watu wanaishia kuishi kwa stress kibao sababu hawajijui na hawajui wanachokitaka au wanachotaka kuwa

Mfano dogo anataka kuwa tajiri lkn hajui tajiri ni nini/nani. Na hauwezi kuwa tajiri kama ww sio tajiri (najua hujaelewa)

Iko hivi, hata kwenye vita yyt ile huwa tunashinda kwanza mezani ndo tunaenda kuchukua kombe uwanja wa vita. PLAN & MINDSET.

Kama huna PLAN na MINDSET za kitajiri hutowahi kutajirika.

Yaan kama una mindset za kimasikini hata ww upewe million 100 hautotajirika.

Unajua kila mtu hapa duniani ana level ya utajiri ambao akili yake inamruhusu kuumiliki. Mfano, kuna watu kama kina ndege JOHN (samahani kwa kukutolea mfano sababu ulishaweka ttzo lako hapa) wao level yao ya utajiri ni elf 5. Namaanisha kwamba hata apewe million 10 basi akili itamruka, atatumia hovyo, atalewa, atatombea, ila sasa hio hela ikishuka ikabaki kwenye level yake, yaani buku 5 ndipo akili inamrudia sasa. Hahah hapo atatumia buku 5 kwa wiki nzima wakati amechinja 9.9 milion kwa wiki.

Nimetoa mfano wa ndege john sababu alishaweka uzi humu akielezea tatizo lake la kuchinja laki 8 kwa siku kisha anaishi kwa buku 10 wiki nzima.

Ila hio inawakuta vijana wengi sana. Kuna madogo wakiona mabro wanaenda viwanja vikali wanataka na wao kuiga kumbe watu wanaenda kusuka deals huko, ww unaenda kupoteza hela tu.

Kuna madogo wanadhan kumiliki iphone ya 1.5m ni utajiri, lkn kama ww unamiliki simu ya 1.5 hakikisha bank una 10x times bei ya hio simu, kama sio basi ww bado ni masikini kifikra, na hutowah kuwa tajiri hadi ubadilike huo mtazamo.

Kwa hio kuna levels, kaa jitafakari, ww level yako ni sh ngp, kuna wenye level ya buku, wao wakibakiza buku mfukoni akili ndo zinarudi, kuna wa level ya 10k, 100k na kuendelea.

Mtu mwenye level ya 10m hata ukimpa 1m lazima itapanda, ila yule wa 50k hata ukimpa 5m atachizi kwanza, akili inaenda likizo, anakua anajiona bilionea, anageuka kituo cha watoto yatima walio na wazazi wao, atafuja hio hela ila ikifika 50k akili zinamrudi. Hapo ndo matumizi anaanza kuyapangilia.

Sasa niwape challenge, ww level yako ni ipi? 1k, 10k, 100k, 1m, 10m au ipi.

Kama ipo chini ya 1m aisee una safari kubwa, kama ni chini ya 100k wewe ni masikini forever hata kama ulipwe 5m monthly, kama ni chini ya 50k acha kabisa kutamani utajiri sababu utakufa kwa depression ya kutamani kitu usichoweza, kama ni chini ya 10k usiguse mjini, utauza baadhi ya viungo.
 
mbona unajichanganya
mi nikajua kushinda mezani ndo hivyo kuanza kumiliki vitu vya maana hata kama bado unapambana
Aisee bado una akili ndogo kiasi hicho.

Kushinda mezani namaanisha mindset na planning.

Sasa ww kumiliki iphone kunakupa nn wakati hadi malaya wa riverside na sinza wanazo, zishakua kama pipi mitaani.

Miliki assets not liabilities
 
toa mbinu za kuinua level
 
Aisee bado una akili ndogo kiasi hicho.

Kushinda mezani namaanisha mindset na planning.

Sasa ww kumiliki iphone kunakupa nn wakati malaya wa riverside wanazo, zishakua kama pipi mitaani.

Miliki assets not liabilities
mind set gani unachange huku unamiliki itel/techno
utaipataje iphone bila kuwa current asset yaani cash money 😆 😆 😆 😆 au zinaokotwa
usitupangie aisee
 
Ina depend na factors nying mpk mtu kufanikiwa, na njia za kutoboa kimaisha tunatofautiana so hii comparison ya kuhus watu wengine wapo nyuma is delusional.

poverty is a state of mind.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom