tajiri

  1. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtoto wa tajiri au mwenye cheo anasomea ualimu

    Wasalaam,hakuna mtoto wa mwanasiasa au tajiri anayesomea ualimu hapa Tanzania. Education ni kazi isiyo na marupurupu na posho. Huwezi kuta mtoto wa mtu anayejiweza anasomea ualimu. Ukitaka ufe kwa pressure somea coz hizi zenye posho na mianya ya ulaji. Kaka yangu kasomea PSPA toka 2010...
  2. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Kibango icho kimeandikwa tajiri nani

    Moja kwa moja swaaaaah kwenye mada Niko uwanja sahihi unashangaa baiskeli kuingia kituo chakujazia mafuta Au unashangaa kiwanja cha mpira wamiguu nimeingia na kama mchezaji wa gofu basiii ata bien alisema apa ni mbwembwe Wadau wasiasa huku kwenye kiwanja chenu nako kibango bhana kimetaradadi...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani Tajiri mwenye Range Rover 'anamuovateki' Masikini mwenye Vitz kwenye Mteremko, halafu anajisifu bila Aibu kabisa

    "Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe tunataka kuupeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA. Tutatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja. Nje ya Uwanja tulituma ujumbe msimu uliopita kwa kujaza Uwanja wa ugenini" Ally Kamwe Chanzo: Young...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kama Tajiri Max angekuwa analipa unahisi ni mwana JF gani angekuwa Tajiri?

    Endapo kama mmiliki wa JamiiForums, Tajiri Max angekuwa analipa watunga maudhui unahisi ni mwana JF gani angekuwa Tajiri? Tiririka...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa Tajiri utaoa Mwanamke wa aina gani?

    Eti, utaoa Mwanamke wa aina gani na hutooa Mwanamke yupi? Weka vigezo vyako hapo chini Mkuu.
  6. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Top 20 Wealthiest Cities in Africa by number of Millionaires in USD

    Top 20 Wealthiest Cities in Africa by number of Millionaires in USD 1)- Johannesburg 🇿🇦12,300 2)-Cape Town 🇿🇦7,400 3)- Cairo 🇪🇬7,200 4)- Nairobi 4,400 5)- Lagos 🇳🇬 4,200 6)- Cape Winelands (region) 🇿🇦3,600 7)- Durban, Umhlanga & Ballito 🇿🇦3,500 8)-The Garden Route (region) 🇿🇦3,200 9)-...
  7. El imran

    JamiiForums Tanzania Leo tuangalie nchi tajiri kutoka katika kila bara

    Hapa ni orodha ya nchi 20 zilizotajiriwa zaidi katika bara la Asia kutokana na Pato la Taifa la Jumla (GDP) kwa mwaka 2023: 1. China - GDP: $14.72 trillion 2. Japan - GDP: $5.11 trillion 3. India - GDP: $3.18 trillion 4. South Korea - GDP: $1.66 trillion 5. Saudi Arabia - GDP: $833.56 billion...
  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa

    Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa. Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa: 👉🏾 Azam Energy 👉🏾 Azam cola 👉🏾 Azam Embe 👉🏾Azam Malta Bakhressa hajawahi ku motivate vijana wa Kitanzania kupitia media...
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wewe kutokuwa tajiri unamlaumu nani?

    Humiliki kiwanda chochote, hakuna bidhaa unayozalisha na kuipelekea nje; wewe kila siku ni kulia lia tu. Mshahara ukichelewa tu kidogo, unakimbilia kwenye ule uzi pendwa. Kwa upande wangu, mi nawalaumu wazee wangu walionipa elimu iliyofuta mawazo yangu niliyozaliwa nayo (kipaji), na kubeba...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Mifumo ya Miundombinu ya Treni katika nchi Kubwa na Tajiri 'imehujumiwa' sijui ya kule kwa wale Masikini wamejiandaa vipi kwa 'hujuma' za mbeleni

    Hata hivyo yawezekana kule wa Mataifa Masikini kabla ya Safari zao kuanza kulifanyika Matambiko makubwa sana tu.
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Gunia la mwanamuziki tajiri, linaweza kuwa na nini?

  12. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Tajiri aliyemuua mwanaye ili abaki na mkewe

    Daniel alifanikiwa kuuona mwaka mpya lakini hakumaliza hata robo ya siku katika mwaka huo. Ikiwa ni alfajiri ya saa kumi na moja, siku ya Ijumaa ya tarehe 1 January 2021, Dan alikuwa njiani kuelekea nyumbani kwake akitokea Club Tent ambapo alikuwa anasheherekea 'kuuona mwaka mpya'. Ndani ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tajiri MO hebu punguza Sifa katika kipindi hiki cha Usajili, unataka makombe yote ubebe wewe? Bienvenu Valentin NOMA

    Bila ya Salamu. Huwa najiuliza nilichelewa wapi kujiunga na Simba Sc? Mpaka leo nikifikiria nakosa majibu. Kifupi katika hiki kipindi cha wiki mbili nimeshuhudia chama langu jipya likifanya usajili wa kufuru. Magugu na mapandikizi yaliyokuwa yakihujumu timu yetu yametolewa na kuletwa vyuma...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ili Tajiri ayachukulie kwa uzito mambo unayomshauri pengine huwa anayasahau kwa sababu ya ana mambo mengi

    Labda nielezee Kwa mfano ili nieleweke. Kwa mfano unafanya kazi katika kiwanda au kampuni na wewe ni kibarua tu means huonani sana na management ya juu na kila linaondelea juu hujui wala huhusiki tu kwenye mipango yoyote. Hujui uhusiano wao Kwa wao hujui wanayoyasema. Sasa nyie vibarua kuna...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Tajiri "Bilionea' Diamond kakubali kuwa hata Yeye 'sometimes' huwa anachapiwa / anabanduliwa Mademu zake, Wewe ni nani ukatae kuwa husalitiwi?

    Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa...
  16. KIBESENI

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwa tajiri wa mapesa; Nifanyaje?

    Umri unaenda, majukumu ni mengi yakuhudumia familia, sioni mlango wa pesa nyingi zikija kwangu. Nimejitahidi kwa miaka mingi niwe na mapesa mengi hata niwa said ie wasio nazo, nimeambulia patupu. Niwe na pesa si kwa shida na mahitaji yangu tu, natka kusaidia jamii ya wasiojiweza,mayatima na...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Audiobook: Tajiri wa Babeli(The Richest Man in Babylon).

    App ya Maktaba Sauti tumeanza kuandaa audiobooks. Sikiliza. 1&2. UTANGULIZI 3. MTU ALIYETAMANI DHAHABU
  18. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Nitatoa majina ya wajumbe wa Bodi Saa 2:30 Usiku

    Mo Dewji: Nitatoa taarifa kuhusu Wajumbe wa Bodi ya Simba Sports Club kutoka upande wa Mwekezaji, leo saa mbili na nusu usiku. Unahisi jina gani halitokosekana? ===== Kutoka kwa Ahmed Aliy Msemaji wa Simaba: Tajiri yupo kazini, Leo saa 2:30 Usiku anatoa taarifa kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Tajiri Bill Gates alivyolea watoto wake ni mfano mzuri wa kuigwa na sisi waafrika wa rika mbalimbali za maisha.

    Ukiangalia namna hawa matajiri wa kizungu wanavyolea watoto wao utagundua ni kwa nini hata hao wazazi wao wanadumu na hizo mali. Na Bill Gates anasema atawapatia watoto wake watatu wakike wawili na wa kiume moja dola milioni 10 tu kila moja ili wachakarike nazo kwani kuwapatia hela nyingi sio...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Mataifa 10 tajiri sana duniani kwa mwaka 2024.

    Marekani, China, Ujerumani, Japan na India ndizo nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani kwa mwaka wa 2024, kulingana na data zao za Pato la Taifa. Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha...
Back
Top Bottom