Tofauti ya msiba wa maskini na tajiri

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,595
8,729
Maisha yangu nimeshuhudia misiba mingi na mengine tumeona ya wakubwa na wadogo hapa kwetu kwa imani mbalimbali. Kilichonileta hapa kutofautisha misiba ya maskini na matajiri.

Misiba ya maskini ilivyo:
Ucheleweshi sababu unapoteza mda huna ulichokiacha hapa, utazikwa haraka na kama msiba tutakuwa mbio kukuzika. Mwanzo wa msiba na mwisho wa msiba tunaonekana kwenye kukuzika au mwanzoni umekufa ndio mwisho
-Vilio ni vingi kwa wafia sio waudhuliaji wa msiba.
-Rambi rambi hutegeana
-Misiba ya maskini hakuna Trend wa kiki wowote tunafikiria muda wa kuisha msiba.
-Misiba ya maskini usiombe wewe ndio unapesa ilo litakuwa lako kila mtu hata kutegemea.
-Misiba ya maskini kusikilizana kuna sawa sababu hakuna mwenye nguvu.
-Misiba ya maskini wauzuliaji wa kupenda misosi wanakosekana.
n.k

Misiba ya matajiri:
-Kila tajiri lazima kukanyaga na daftari zuri la rambirambi.
-Wakina stive nyerere misiba hii huwa lazima kuwepo hata kama msiba sio wake wala wandugu yake.
-Marehemu anazungumzwa sana msibani kwa mema na mazuri ukilinganisha na maskini.
-Kila mtu anakuja kuhakikisha msiba kuwa tajiri kafa.
-Wapenda msosi na mapumziko wamepata makazi mpaka usiowajua utawaona.
-Vibaka na wezi ambao uwezi kuwategemea ni ndugu,jamaa,marafiki na majirani lazima kuhusika.
-Msiba unaweza kuchukua mda mrefu sababu ya pesa kuendesha.
n.k
 
Back
Top Bottom