Dini haziruhusu kuwa tajiri

Wakati mwingine inabidi uchanganye na zako, ukienda kuchwakichwa umeliwa. Kuna dada mmoja aliuza biashara ya vyombo, kapata faida elfu 10, kaenda fasta kutoa fungu la kumi. Kesho yake anatuambia tumlipie hana hata mia. Niliishia kucheka tu.
 
Hii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno
There is where you religious people keep failling and failling and Failling.

Poor teachings about the doctrine.

Kanuni za kiuchumi katika dunia ya kawaida ime base kwenye kukusanya na kulimbikiza kwa ajili yako, and this is really a selfish thing.
BUT
Kanuni za uchumi katika ufalme wa Mungu ziko tofauti sana. Zinajikita katika ku supply/kuwapa wengine (walio masikini) ili uzidi kufanikiwa zaidi.

Katika ufalme wa Mungu people should be taught not to accumulate but know how to Tap into the source of wealth to have an access to wealth.

Assume Bill Gate is your father na akakupa hiz 2 options uchague 1.
- He open a bank account for you and deposit 1B dollar
OR
- He just gives you an access to his own bank account

Sasa watu wanaojiita wa Mungu wamekua wajinga sana kwakua waalimu wao are short of knowledge.

Seek to know the systems and principles to succesed in God's kingdom rather that play Gambling with your stupid offerings

NB
am sorry
 
Hii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno
Dini hazifungamani na utajiri, kwani mfalme Suleimani alikuwa mwenye ufalme na mali nyingi lakini alikuwa mtu wa Mungu sana. Tatizo sisi tunatumia dini kama njia ya kujinufaisha kiuchumi badala ya kutumia dini katika kujenga mahusiano mazuri kati ya Muumba na wanadamu.
 
Hivi kuna utajiri wa kweli kuliko tabia njema, msimamo thabiti na akili zenye busara?

Maana hata hao matajiri wanawatafuta watu wa namna hiyo ili wawekeze kwao mali zao.

Utajiri wa kweli ni kuwa tabia iliyotukuka.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-03-19_142827.jpg
    Screenshot_2024-03-19_142827.jpg
    57.3 KB · Views: 1
Hapana umenukuu vibaya, kutoa mali kusaidika wahitaji hakupunguzi mali au kukufanya uwe masikini bali kinyume chake ni sahihi, kama huamini angalia mfano kwa mtu mmoja mmoja mfano:Tajiri mkubwa kama Bill Gate fuatilia msaada anayotoa halafu linganisha na falsafa yako utapata jibu, lakini pia angalia mataifa yanayosaidia mataifa yenye uhitaji uone wanavyobarikiwa na kuzidishiwa utajiri
 
Unamaanisha amewafikia wahitaji wote?
 
Dini imeletwa Africa kwa ajili ya kuendelea kudumisha umaskini... Hakuna kingine zaidi ya hapo.
Mbona ulaya na uarabuni wao ni matajiri au Biblia na Quran zao ni tofauti na zetu.
Pili nani kakuambia mwafrika kashika dini waafrika wenye dini ni wachache kuliko wasio kwenye dini
 
Back
Top Bottom