taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ili Taifa Stars leo 'ishinde' yule 'Mtaalam' wangu wa Pemba ambaye 99.9% huwa Mkweli kasema 'Kikosi' kiwe hiki...

    1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Bakari Mwamnyeto 5. Erasto Nyoni 6. Jonas Mkude 7. Simon Msuva 8. Feisal Salum 9. Ditram Nchimbi 10. John Boko 11. Farid Musa Na John Boko aambiwe upesi kuwa atakuwa tu 'Ceremonial Captain' kwa Kuvaa 'Kitambaa' ila 'Maelekezo' yote ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

    Kuna mkanganyiko wa baadhi ya websites kuhusu mechi ya leo kuhusu muda utakapochezwa mchezo wa taifa stars na Tunisia, wengine wameandika saa nne usiku wengine saa mbili usiku, uhalisia ni mechi itaanza saa mbili kamili usiku, karibuni kwa updates za uhakika ====...
  3. JamiiForums Tanzania Kama Cloutus Chama tunayemwimba kwenye mpira wetu wa Bongo kwenye Timu yake ya Taifa hayupo hata reserve basi Ligi yetu ya Bongo ina walakini

    Juzi kati nilikuwa nasoma majina ya Wachezaji walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Zambia na Kocha Mkuu wa timu hiyo Bw. Micho. Nilistaajabu nilipoona jina la mchezaji na kiungo pendwa wa ligi yetu kutokuwemo kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo. Pia, kiungo mwingine fundi Larry Bwalya naye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni “kichwa cha mwendawazimu”, kila mwenyekiti wa CCM Taifa hujifunzia hapo!

    Nikimkumbuka Lijuakali
  5. JamiiForums Tanzania Tuijadili dhana ya 'Maslahi ya Taifa' tukitumia mifano ya Tanzania kama rejeo

    Kwa miaka mingi taifa kubwa la Marekani, linaposimama kutoa misimamo yake juu ya mijadala mbalimbali hasa ya nje ya nchi yao, wamekuwa wanaongelea jinsi mijadala hiyo inavyohusu 'maslahi ya taifa' au, 'national interest' ya taifa lao. Hii ni dhana pana ambayo wengi huwa wanashindwa kuielewa...
  6. JamiiForums Tanzania Dhima ya TBC katika kazi ya elimu kwa umma: Mbona Festus Makerubi anatumia Roho Mtakatifu kulijingisha Taifa?

    Dr. Ayub Rioba, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC Katika kipindi cha Nyimbo Zetu kilichorushwa asubuhi ya tarehe 15 Novemba 2020, kupitia luninga ya TBC, mtangazaji wa TBC, Festus Makerubi, amerudia mara nne maneno ambayo meseji yake ya msingi inawakilishwa na maneno...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa Vyombo vya Usalama

    Ninavipongeza vyombo vyote vya Usalama pamoja na mifumo yote ya usalama wa Taifa la Tanzania. Kazi yetu iliyotukuka na inayoogofya hata kusimuliwa hapa ndio ujasiri wetu kama Taifa. Kuna Jambo linataka tokea na huenda Jambo hili lisipoangaliwa kwa umakini tunu za Taifa hili zitakuwa ni wimbo...
  8. JamiiForums Tanzania Nani aliyemvua Makonda nafasi ya Mhamasishaji Mkuu wa Taifa Stars, na kwanini?

    Mhamasishaji Mkuu Mstaafu wa Taifa Stars Mh Makonda hajasikika akihamasisha lolote kwenye mechi ya Tunisia na Stars, kulikoni? Ni nani alimvua uhamasishaji huu na ni lini na Kwanini? Mwanamichezo Makonda pia alikuwa Mshauri Mkuu wa MO kwenye masuala ya Simba, je bado cheo hiki anaendelea nacho?
  9. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Azam FC kwa Taifa Stars

    Kikosi kilichoanza ajana ni wachezaji wa wili tu ndio hawajawahi kuvaa jezi ya azam fc (Mkude na Nondo) Walioingia sub ni moja tu ndio hana DNA na Azam fc nae ni fei Toto Wachezaji regularly national team wanaotoka azam ambao Jana hawakucheza Agrey Morris Chilunda Mudathir Mwantika Vile vile...
  10. JamiiForums Tanzania Taifa Stars ya Jana wangepangwa Wachezaji wengi ya Yanga SC tungefungwa hata Goli / Bao 15 Hongera Kocha

    Huwezi ukawa na Timu ya Taifa yenye Wachezaji mahiri wa Klabu ya Simba SC kama akina Manula, Kapombe, Tshabalala, Nyoni, Mkude na Boko halafu ukafungwa Goli / Bao nyingi na Timu yoyote ile. Hongera sana Kocha wa Taifa Stars Ndayiragije kwa Kutupangia Wachezaji wengi wa Timu yangu bora ya Simba...
  11. JamiiForums Tanzania Taifa Stars vs Tunisia: Haikuwa game ya Boko wala Farid

    Makocha wanajua zaidi lakini sikuona kabisa mantiki ya kumchezesha Boko wala Farid mechi ya ugenini ya Taifa Stars dhidi ya Tunisia. Boko alikuwa cut-off kutoka kwa wenzake, akipewa mipira ananyang'anywa kirahisi na mabeki wa Tunisia waliomzunguka. Katika mechi hii Samatta angeweza kuonesha...
  12. JamiiForums Tanzania Kuwaita wafadhili wetu “mabeberu”, kabla hatujaweza kujitegemea, ni ushamba unaoweza kuliangamiza Taifa tusipokuwa makini!

    Wanajamvi, kuwaita wafadhili wako na wahisani “mabeberu”, na kuitumia hiyo kauli mbiu kwenye siasa, ni sawa na kuwalisha chuki wananchi dhidi ya wafadhili, kwa maslahi ya kisiasa, yale ya binafsi pamoja na chama. Huu ni ushamba mkubwa na wa hatari kabisa kwa maslahi ya Taifa la Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya aondolewa kikosini baada ya kugundulika kuwana COVID 19 akitokea Tanzania

    Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
  14. JamiiForums Tanzania Hongera sana 'Captain' Mbwana Samatta 'Poppa' kwa kuamua 'Kujivunja' ili ukwepe 'Aibu' ya Taifa Stars 'Kubugizwa' Magoli na Tunisia

    Hata ningekuwa ni Mimi GENTAMYCINE ndiyo Wewe Samatta kwa jinsi Watanzania walivyo na nongwa hadi kisununu na wakisahau Kushukuru nami pia ningeongopa (ningejivunja) kama Wewe kwa kusema kuwa 'ninaumwa' ili nikae pembeni na niwaachie Wachezaji wengine wa Taifa Stars waliobaki 'wapambane' Mechi...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia amjulia Hali DC wa Wilaya ya Mlele Rachel Kasanda aliyelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Mkuu huyo wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi alipata ajali ya gari akiteleza majukumu yake ya kikazi. Makamu wa Rais, katika akaunti yake ya mtandao wa Twitter ameandika Nilipita Kumjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi Recho Kasanda aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini waandishi wa habari wengi hukaa upande wa Yanga pale Uwanja wa Taifa?

    Nauliza tu hii imekaaaje? Mechi nyingi waandishi wa habari wengi na hata pia watu maarufu hukaa upande wa Yanga? Ambapo huwa mpaka siti za wanaolipia VIP A wanakosa siti. Pamoja na kutengewa sehemu yao ya kukaa ambayo huwa kama haiwatoshi.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye kitabu hiki nakiomba

    Mwenye kitabu cha Evarist Chalali kinachousiana na Afisa usalama ni nani, naomba anisaidie. 🙏🙏🙏
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Taifa kubwa, Magufuli baba lao

    Mabibi na mabwana kutokea taarifa za habari jana na pia baada ya kujiridhisha: He! Kumbe yule mgeni wetu mpendwa kabisa, mwalikwa tokea pande za pale Burundi aliingizana nchini kwa kutumia moja ya madege yetu yale mapya mapya ya ATCL chapa ya twiga? Ikizingatiwa uwanja wa ndege Bujumbura...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi 20, Balozi 83 kushuhudia kuapishwa Rais Mteule Dkt. Magufuli

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema maandalizi ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule John Pombe Magufuli yamekamilika na yatahudhuriwa na viongozi mbalimbali takribani 20 wakiwemo marais watatu wa Uganda, Comoro na...
  20. JamiiForums Tanzania Upinzani mkumbuke kwamba ninyi ndio mnaojitoa sadaka kwa ajili ya taifa hili na si CCM. Go on please

    Wasalaam wajumbe! Ninawaomba sana upinzani katika nchi hii utambue kua mabadiliko ya mifumo ya kiutawala iliyojaa uonevu na ukoloni hayatafanywa na CCM. Hiki chama kilichobakisha sasa ni kugawana vyeo na kurithishana. Bila ya upinzani madhubuti CCM hakiwezi kutoka madarakani leo. Bila ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…