taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanateseka sana kutafuta kiki kwa kulazimisha, hawana huruma hata kwenye mambo mengi ya Kitaifa. Wanaligawa Taifa

    Na David Maphone. Nimesoma barua ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) iliyosainiwa na Ndugu Tumaini Makene akiitaka Serikali kueleza kwanini Viongozi wa CHADEMA wameshindwa kuaga mwili wa mpendwa wetu Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa. Kwanza niseme kweli nimewashanga Sana Viongozi...
  2. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aubadilisha jina uwanja wa Taifa, Rasmi kuitwa "Mkapa stadium"

    Rais Magufuli amesema "Mzee Mkapa aliujenga uwanja mkubwa wa michezo. Wengi wanataka uitwe Mkapa Stadium. Alikuwa hapendi vitu viitwe kwa jina lake, lakini hawezi kuniadhibu amelala. Natamka rasmi uitwe Mkapa Stadium'
  3. kadendu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Taarifa kwa Makatibu CCM Taifa, mchakato wa kumchagua Mgombea Udiwani Kata ya Mtera ulikuwa na rushwa za wazi

    Nianze kukipongeza chama changu CCM kwa mchakato wa uchaguzi wa ndani, pili nichukue nafasi hii kufikisha kilio changu kwenu viongozi wangu wa juu namna mchakato wa kumchagua mgombea udiwani kata ya mtera ulivyokuwa na rushwa za wazi lakini pia ulikuwa ni mkakati wa mbunge aliyepita simbachawene...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Vikao vya Kamati ya Misiba ya Kitaifa hulipwa posho? Kwanini miili ya viongozi taifa huhifadhiwa Lugalo badala ya MNH?

    Mwenye ufafanuzi atujuze; 1. Ikiwa hospital ya Muhimbili ni hospital ya TAIFA ipi sababu ya kuhifadhi mwili wa viongozi wa kitaifa hospital ya Lugalo? 2. Je, Vikao vya maandalizi/kamati ya misiba ya kitaifa hulipwa posho? 3. Ni misiba ya viongozi gani inastahili kuitwa msiba ya kitaifa Mwenye...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tunafanya makosa makubwa kujiaminisha kuwa Corona siyo tishio tena kwetu kama Nchi

    Nimemsikiliza mheshimiwa Rais Magufuli siku hizi za karibuni, linapokuja suala la COVID-19 akizungumza anatuma meseji kwa umma kuwa hili suala tumeshalidhibiti na siyo tatizo tena kwetu. Jitihada za waziri wa afya na waziri mkuu kuhusu kuuelimisha umma kuhusu hali halisi ya ugonjwa wa corona...
  6. BAK

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu aliye juu ya Taifa

    "(MKAPA: HATA WABAYA HUOMBWA KUENDELEA" Tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa. Yamesemwa mengi na kuandikwa mengi. Yeye hasikii kinachoendelea. Lolote laweza kusemwa na hawezi kukanusha. Hata mimi nimesema na kuandika. Katika kila msiba kuna "kulia...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  8. kimpango

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Katibu Mkuu (CCM) Taifa uvurugwaji wa Uchaguzi wa Kura za Maoni CCM-Kiluvya

    Mheshimiwa katibu hatuna namna ya kukufikia zaidi ya njia hii tupokee 27th Julai 2020 KWA KATIBU MKUU (CCM )TAIFA NAKALA KWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA , KATIBU WA CCM MKOA WA PWANI, KATIBU WA CCM WILAYA YA KISARAWE, KATIBU WA CCM KATA YA KILUVYA Yah: MALALAMIKO KUHUSU UCHAGUZI WA KURA...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji aanzisha petition ya kumuomba Rais Magufuli kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Anaandika Mo Dewji:-Leo nimeamua kuanzisha petition (maombi) kwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa: Uwanja wa Benjamin William Mkapa. Amesema Itakuwa ni heshima kubwa kama uwanja wetu pendwa utaitwa jina la Uwanja wa...
  10. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Mzee Mkapa ni nguzo ya Taifa wapo sahihi

    Tarehe 28/12/2019 niliandika kuhusu Mzee Mkapa kichwa Cha habari kikisema Nini maana ya Legacy? Niliandika naomba Kunukuu:- "Natamani sana kujua wasaidizi wa Rais Mkapa alioingia nao madarakani 1995. Kama kuna mtu ameacha Legacy ya kutosha kwenye nchi hii japokuwa hatuoni kwa macho ya kawaida...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi, yatoa ratiba ya Uchaguzi 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi, yatoa ratiba ya utekelezajo wa Shughuli za Uchaguzi 2020
  12. K

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa msitupotezee pesa zetu kufuatilia wanasiasa

    Lissu alikuwa analalamika kuna gari la usalama wa taifa linamfuata. Hizi ni pesa za wananchi zilikuwa zinachomwa bila sababu ya msingi kwa kusaidia watu binafsi kisiasa. Huu ni zaidi ya ufisadi! Kama kuna tatizo kwa mtu yeyeote hasa kisiasa kuna mahakama zipo na sio kuajiri mtu ambaye...
  13. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa alizaliwa Masasi, Mtwara 12/11/1938 alisoma Shule ya Msingi Ndanda kisha shule ya Sekondari Pugu, Dar 1962 alipata shahada ya kwanza katika Lugha ya Kiingereza kutoka ktk Chuo Kikuu cha Makerere Uganda 1963 alipata shahada ya uzamili katika masuala ya...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, kwa kuokoa muda, kuangalia ustawi wa chama na kutozalisha 'makundi', ningefanya haya upesi tu

    Kama GENTAMYCINE ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya huu 'Mchakato' mzima wa Kura za Maoni ambazo zimefanyika kwa Uwazi zaidi huku zikionyesha kabisa kuwa wana CCM ' wameamua ' bila ' Ngendembwe / Hila ' zozote katika Kikao cha Maamuzi cha mwisho cha ' Watia Nia ' kwa nafasi ya Ubunge...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa: Mfahamu Enock Sontonga

    Mtunzi wa melody ya wimbo wa Taifa letu; Mungu Ibariki Afrika ni mwafrika anaitwa Enock Mankayi Sontonga (Enoch Sontonga - Wikipedia )ambaye aliutunga kama Nkosi Sikelei iAfrika mwaka 1897 huko Afika Kusini. Mwanzoni wimbo huu uliimbwa kama wa dini ili kupata baraka za Mungu, lakini baadaye...
  16. mgt software

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya jimbo la Kawe: Halina propoganda za kuletewa Maji, Barabara wala Umeme; akili tu ya mtu wa kujenga Taifa

    Wana JF, Jimbo la Kawe ni jimbo lililosheheni viongozi wengi vichwa, mpaka sasa kuna Mawaziri wakuu wastaafu watatu, makatibu wakuu karibu wote. Jimbo hili linataka mtu kichwa tu, si kwa kuwa na hela nyingi eti utafanya kampaini, la hasha. Lenye vituo vya mafuta, lina migogoro ya ardhi tu...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC): Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba 28, 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza tarehe rasmi ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambayo ni Oktoba 28, 2020. Aidha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa ratiba ya wateuzi wa Wagombea kiti cha Rais, Makamu wa Rais, Ubunge na Udiwani utakuwa ni Agosti 25, na...
  18. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwa Mlinzi wa Viongozi ni kibali cha kutishia watu kuwaua tu?! Inakera sana!

    Yaani hii tabia ya vijana hasa wenye umri mdogo walinzi wa viongozi ya kutishia kuwapiga watu na risasi si ya haki kabisa. Mchana huu hapa maeneo ya Ihumwa Dodoma karibu na makazi ya mkubwa mmoja mstaafu bwana mdogo mmoja akiwa na ndani ya v8 nyeusi yenye vioo vya giza amemtishia msukuma toroli...
  19. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa JUKE Taifa, Kiza Mayeye aliteka Jimbo la Kigoma Vijijini

    HABARI Makamo Mwenyekiti wa JUKE TAIFA Mhe. Kiza Mayeye aendelea na Ziara yake ya Ujenzi wa Chama Katika Jimbo la Kigoma Vijijini. Atembelea kata kwa Kata Katika Jimbo Hilo na kufungua matawi na kutoka kadi kwa wanachama wapya wa CUF. Pia, Mhe. Miza Mayeye Ndiye Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwenyekiti Taifa CCM kwamba kila mgombea ajipiganie inatulaza roho juu tuliounga juhudi, hatuna mizizi CCM, tusaidiwe

    Leo tutapata usingizi wa tabu sana, CCM mnatutupa kweli? Upendo mliotuonyesha umeishia wapi? Jamani jamani Kamati Kuu, hasa Mwenyekiti, hatuna mizizi katika chama na tutabaguliwa, hawa wapiga kura na wanaCCM tuliowakuta ni waarabu wa Pemba,wanajuana kwa vilemba,tunaomba upendeleo maalum
Back
Top Bottom