taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Magufuli ameweza kukuza pato la taifa kutoka sh trilioni 53 alizoacha Kikwete hadi sh trilioni 120, Mungu atupe nini tena?!

    Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele. Ukuaji wa pato la taifa kutoka sh trilioni 53 mwaka 2015 hadi sh trilioni zaidi ya 120 mwaka huu wa 2020 ni jambo la kujivunia ambalo ni lazima tulienzi kwa kumpa Dr Magufuli mitano tena. Tundu Lisu atapewa kazi...
  2. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Hoja za Lissu ziko “OK” lakini zinasimamia “Uongozi wa Unyampara” ni vigumu kutuvusha kama Taifa

    Deogratias Mutungi Bwana Tundu Lissu mgombea wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA anajenga hoja na ana hoja pindi anapokuwa jukwaani akinadi ilani ya chama chake, lakini hulka binafsi ya Bwana Lissu kupitia hoja zake zinaonyesha ni kiongozi anayestahili kuwa “Nyampara” na hivyo kupoteza...
  3. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Lipumba akiwa Karagwe: Tutawahudumia wazee waliolitumikia Taifa letu

    TUTAWAHUDUMIA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA LETU" PROF.LIPUMBA" KARAGWE,KAGERA. Tutaweka utaratibu wa kitaifa wa hifadhi ya wazee itakayohusisha jamii nzima kuwalea wazee wetu ambao wengi wao baada ya kulitumikia Taifa letu kwa muda mrefu wanaishi katika dimbwi la umasikini wa kutisha. Hatua kwa...
  4. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Walioandika Kitabu cha Biography ya Hayati Baba wa Taifa wamekosoa sana. Sidhani kama hiki kitabu kilihaririwa

    Mathalani ukisoma Ukurasa wa 70 na 71 wa Volume 1 kilichoandikwa na Saida kuna statements ngumu ambazo nawasihi mkasome wenyewe na nisingependa kuziweka hapa kwa sababu ya masuala ya Haki Miliki nk. Kwa kweli nimekatishwa tamaa kwa sababu kitabu hakitasaidia kupasisha historia nzuri ya waasisi...
  5. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi si dalili njema kuelekea Oktoba 28

    Wasalaam, Kitendo cha tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoka haraka kukemea makusudio ya vyama vya upinzani kushirikiana katika uchaguzi huu ni cha kibaguzi hakikubaliki. Sababu iliotolewa na NEC ni dhaifu na ni dhahiri ni kuitetea CCM, eti wananchi watachanganyikiwa siku ya uchaguzi na eti...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nafasi zote zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya uchaguzi za kusimamia Uchaguzi kushikwa na makada wa CCM!

    Zimetolewa hadharani kwa kila mtanzania mwenye sifa, aombe nafasi hizo za muda za kusimamia uchaguzi hapo October 28 mwaka huu, lakini taarifa za uhakika nilizozipata ni kuwa nafasi hizo muhimu, ambazo ni za watanzania wote, bila kujali itikadi zetu za kisiasa, hivi sasa hawa CCM, wamepanga...
  7. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania NEC na ZEC wanaweza kulipasua taifa. Wanaharakati na viongozi wa dini mko kimya? Subirini tatizo

    Haiwezekani nchi nzima wanaokosea kujaza forms ni wagombea wa upinzani, haiwezekani wanazijaza forms vizuri ni wagombea wa ccm tu.Wagombea wa CCM wamesomea shule za nchi tofauti? Wakati NEC na NEC zinatoa semina kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa, CCM walikua na semina yao ya tofauti? Liwake...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Uingereza UK Great Britain ndio taifa tata na kubwa duniani

    Amin usiamini uingereza ndio taifa tata zaidi kuliko lolote lile duniani. Hakuna Cha USA Wala Israel baba Yao mkuu Alie domant ni uk. Uingereza ameamua to mkimya na mpole kwenye anga za kimataifa ila kila Jambo kubwa duniani anahusika nalo Yani Yuko behind it. Liwe baya au zuri. Mfano...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wangu CCM Taifa, Rais Dkt. Magufuli tafadhali achana na Kauli kama hii katika 'Kampeni' zako kwani zinakuharibia na zinachanganya

    "Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga, mambo ndivyo yanavyokwenda...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Salma Kikwete, Mama wa Taifa mstaafu kazini

    Ni Salma Kikwete akiwa jimboni Mchinga akizisaka kura kwa udi na uvumba. Hapo anachanja mbuga mlimani -Maweni Mputwa Pongezi nyingi kwake. Mama anaenda "kutema chechee-Kwa sauti ya JK. CCM INA HAZINA YA WANACHAMA
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania CCM watumia wimbo wa taifa kuiombea CCM

    WanaCCM Zanzibar watumia tune ya wimbo wa taifa kuisifia CCM Kuanzia dk ya 37
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ndege zina umuhimu mkubwa sana katika Sekta ya Usafiri, utalii na uchumi na taifa kwa ujumla

    Habari ndugu zangu, marafiki na watanzania kwa ujumla. Natumai muwazima wa afya tele. Leo nitakwenda kuelezea umuhimu wa ndege katika taifa letu ambalo sasa linatambulika kimataifa na kupewa heshima kubwa sana baada ya kupata Rais mwenye maono na mpenda maendeleo. Kabla sijaanza kuchimba kwa...
  13. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Majaliwa: Tutazipeleka Koroboi na Vibatali makumbusho ya Taifa

    Leo Waziri Mkuu alivyokuwa Lamadi akielekea Bunda ameongea maneno mazito sana kuwa Serikali ya JPM imenuia kuhakikisha kila kaya ina umeme Iwe ya nyasi tembe mbavu za mbwa zote zitawekewa umeme na kama nguzo hazifiki mfano visiwani watafungiwa sola hukohuko, hakuna kutumia kibatali wala koroboi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hatutaki kuongozwa na mfumo ambao kila mtu kwenye taifa anakuwa mateka

    Kwakweli Kama tunataka mustakabali mwema wa taifa Basi tufwate matakwa ya wananchi. Waacheni watu wachague wamtakae msiwachagulie watu Nani wa kuwatawala. Mfumo wa Sasa umemfanya kila mtu kuwa mateka (terrorised) society. Binadamu amezaliwa huru kabisa na mungu ametupa Uhuru toka day one...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hongera Ihungo Secondary,Kagera kwa kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru Ally Katibu mkuu CCM Taifa

    Kuna shule chache za sekondary zenye uwezo wa kuzalisha viongozi wakubwa Ihungo Sekondary iliyoko mkoani Kagera ni moja ya shue ambazo zimejipambanua kuweza kuzalisha viongozi wakubwa wa kisiasa Hongera Ihungo Secondary kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru...
  17. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zamu yetu vijana kuamua mustakabali wa Taifa ifikapo Oktoba 2020

    Umuhimu wa vijana kupiga kura Kupiga kura. Neno linalofafanuliwa kama " maoni au upendeleo." Dhana inayojulikana na Watanzania wote kwa kuzingatia mambo yetu mengi juu ya nchi hii huamuliwa na uchaguzi. Rais, wabunge na madiwani wote wanapigiwa kura na watu ili kuweza kupata nafasi ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 SAU: Tukishinda deni la Taifa halitagawanywa kwa wananchi bali wananchi watagawiwa utajiri wa nchi deni ni la viongozi

    Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu tutasikia mengi. Mgombea urais wa SAU Mh Mutameghwa amesema endapo atachaguliwa basi deni la taifa halitagawanywa kwa wananchi bali viongozi na wananchi watagawiwa utajiri wa nchi. Pia vivuko kama pantoni havitatoza nauli itakuwa bure kwa sababu vivuko ni sehemu...
  19. Rabonn

    JamiiForums Tanzania Kabila Joseph ulingoni tena kwenye siasa za uwazi za Congo DR.Hii imekaaje kwa mustakabali wa taifa hili chini ya utawala mpya wa Rais Tshekedi?

    Wakuu salaam. Nasubiri kwa hamu kusikia wakubwa zangu mtu chake zitto junior mng'ato Na wengine wadau wa siasa za maziwa makuu mngesema neno kuhusu kurejea kwa Kabila Joseph kwenye seneti ya Congo hasa ukizangia tetesi kwamba na uhusiano wake na rais Tshekesi kwa sasa hauko imara sanA. Na kama...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hotuba ya Mkurugenzi Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles katika ufunguzi wa kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi na watoa huduma ya habari mitandaoni

    Hotuba ya Mkurugenzi Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles katika ufunguzi wa kikao cha Tume ya Taifa ya UIchaguzi na watoa huduma ya habari mitandaoni katika ukumbi wa Mikutano wa Mwl. J. K. Nyerere 15 SEPTEMBA, 2020 Wakurugenzi & Wakurugenzi Wasaidizi wa Idara, Watoa huduma ya habari...
Back
Top Bottom