taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maabara ya Taifa ya Afya(NPHL) boresheni haya

    Maabara ya Taifa inajihusisha na kufanya tafiti pamoja na upimaji wa magonjwa ya mlipuko Kama Corona n.k. Kipindi hi Cha Corona ndiyo wanaohusika na kupima wagonjwa na wasio wagonjwa. Msafiri yeyote anayetaka kutoka nje ya nchi hairuhusiwi kupanda ndege mpaka awe na Cheti kutoka kwa Hawa jamaa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

    Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa? Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili matumizi ya V8 katika Taifa letu

    Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani. Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa. Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu muhimu kwa Taifa wanajitenga na siasa Tanzania?

    Duniani wanasiasa ni mchanganyiko wa makundi ya watu waliopo kwenye jamii, kukosekana kwa makundi haya nikukosekana kwa washauri wazuri ndani ya Bunge. Bunge linapaswa liwe na wastaafu wa Jeshi la Wananchi hasa senior officials, senior Government official wa aina ya Mkuchika, wafanyabiashara...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Gari la zaidi ya milioni 400, na chaguzi za marudio zilizotokana na watu kuunga mkono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

    Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi? Jimbo...
  6. 5

    JamiiForums Tanzania Majibu Kwa Tundu Lissu - Imeandikwa na Janeth Rithe Katibu wa Uenezi Taifa ACT Wazalendo

    Imeandikwa na Janeth Rithe, Katibu wa Uenezi Taifa ACT Wazalendo. Nimesoma maoni ya Ndg. Tundu Lissu kuhusu Uamuzi wa chama cha ACT Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar. Ninaheshimu sana maoni yake na tunachukulia kwa uzito mkubwa ukosoaji wake kwa maamuzi ya vikao vya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wizi huu wa Benki sio mzuri kwa Taifa

    Rafiki yangu mmoja mwenye asili ya India anapata shida kupata pesa zake. Kaka yake diaspora Canada kamtumia $100,000 wanunue mabasi ya biashara ya familia. Pesa ikaingia mwezi wa kumi alipoenda akaambiwa kwasababu ya uchaguzi wana wasiwasi hivyo pesa haitakuwepo mpaka baada ya uchaguzi. Mwezi...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini tunapojadili mustakabali wa Taifa letu, tusiruhusu hisia mbaya zitutawale

    Kama kuna taifa ambalo Mungu amelibaliki ni taifa la Tanzania. Maana udini na ukabila ni vitu ambavyo havina nafasi kabisa. Naongea maisha ambayo ni uhalisia wa maisha yetu sisi watanzania. Ukisoma na mtu awe na dini au kabila tofauti huyo anakuwa ndugu yako. Mimi najua kila mtanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Zoezi la ukusanyaji taka ambalo wanachaji Tshs 3,000 hadi 5,000 kila kaya bila kutoa risiti za kielektroniki lina baraka za mamlaka?

    Habari wadau, Kwenye mitaa yetu hususa huku uswazi kuna zoezi la ukusanyaji taka ambalo wanachaji 3000/= mpaka 5000/= kila kaya kiukweli hii ni pesa nyingi sana ambayo serikali za mitaa/mkandarasi wa taka anakusanya cha ajabu ukilipa haupewi risiti ya electronic. Ila point yangu ni: Je, hili...
  10. JamiiForums Tanzania Endapo kuna mtu au kikundi cha watu kipo juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa halipo huru

    Wanajamvi, Kama kwenye Taifa kuna mtu au kikundi cha watu ambao wako juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa hilo siyo huru. Bali litakuwa linaongozwa na kundi hilo. Ngoja kitu kimoja tulivyokuwa wajinga kama Taifa. Na ujinga siyo tusi, maana unafutika, ila ni adui mkubwa wa maendeleo tokea...
  11. JamiiForums Tanzania Mchango wangu kwa idara ya usalama wa Taifa juu ya usalama kutoka katika mrengo wa kimazingira

    Habarini wanajamii intel... Leo nimeona ni vema namimi kutoa contribution yangu kwa idara yetu nyeti ya usalama wa Taifa juu ya usalama kutoka katika mrengo wa kimazingira - Environmental Security Kabla sijaendelea naomba kudeclare; *Mimi ni kijana MTANZANIA mzalendo kwa taifa langu. *Mimi ni...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mungu likumbuke Taifa la Tanzania wakumbuke Watanzania wanyonge kwa matajiri

    Mungu tunatubu kama kuna mahali tumekukosea sisi watanzania au tumewakosea wazee wetu waliokwisha tangulia mbele ya haki. Mungu usiposhuka nakuliongoza Taifa hili miaka mitano tena hatujuwi Nani atatuongoza. Mungu unajuwa yalio sirini na yalio sio yasirini. Funua ya sirini uliponye Taifa funua...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile. Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa. Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number? MUNGU TUNUSURU --- --- ---...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Sekretarieti ya Halmashauri kuu ya Taifa na UVCCM, UWT na Wazazi | Komredi Polepole amejiuzulu

    Ni mkutano wa kutathmini yaliyojiri katika uchaguzi mkuu wa 2020 na kuweka mikakati thabiti ya maandalizi ya Uchaguzi. Katibu Mkuu, Dkt. Bashiru amesema sasa wanayo kazi moja kubwa ya kujaza nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi komredi Polepole a.K.a Mwendokasi aliyeteuliwa kuwa Mbunge...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kuwa Taifa kubwa kwa Intelijensia baada ya kumuua Mkuu wa Nyuklia wa Iran

    Niaje niaje, Nilikuwa napitia moja ya habari kutoka mtandaoni kwenye website ya CNN Nimekutana na habari ya kushtua kidogo kiongozi na Mkuu wa shirika la Nuclear wa Irani jina lake gumu kidogo. Ameuawa baada ya kufanyiwa ambushi na Jeshi la Israel ndani ya nchi yake. Yaani alikuwa ndani ya...
  16. JamiiForums Tanzania Kuhusu kughushi Serikalini, Je, Mtu anaweza kushtakiwa hata mfumo unaomlinda ukiondoka madarakani?

    Kumekuwa na mawazo kwamba ofisi zenye mamlaka zinafanya fojari kwenye taarifa zake kwa faida za kisiasa. Japo hili halijathibitishwa. Mfano Mnyika wa CHADEMA amesema hajapeleka majina yoyote NEC ila NEC inasema Mnyika amesaini barua yenye majina ya Wabunge wa Viti Maalum hapa Kuna harufu ya...
  17. JamiiForums Tanzania South Sudan kwa kikosi chao wataipa changamoto timu ya Taifa Stars katika CECAFA U20

    Hawa jamaa ni hatari na wanawapa watangazaji wetu katika wakati mgumu kutangaza magoli. Hasa hao wafungaji wawili wa mwanzoni.
  18. JamiiForums Tanzania Hawa ndio vijana wamenivutia katika miongo miwili hii tuliyonayo

    Habari wanajukwaa! Leo nimeona niwalete kwenu vijana wenzetu ambao kwa namna moja ama nyingine wametoa mchango katika taifa letu. Kwanza niwe wazi katika siasa mimi ni mshabiki wa CCM,na kisoka nipo Msimbazi(simba) Katika kipindi hiki cha miongo miwili ninakiri kuna vijana wengi tumejitahidi...
  19. JamiiForums Tanzania Sijasikia Waandishi wa habari wakiwahoji upande wa NEC na Bunge kuhusu Wabunge Viti Maalum wa CHADEMA

    Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu. CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika...
  20. JamiiForums Tanzania Ni Usaliti wa Kidelillah au ni kwa Maslahi ya Taifa?

    Katika uchaguzi huu uliopita wa 2020, CHADEMA walitegemea sana nguvu ya Mwanamke. Cha kushangaza, CCM ambao kwa miaka mingi walituaminisha kuwa Mwanamke wa Kitanzania ana ushawishi mkubwa katika siasa zetu, walionekana kutojali kabisa nguvu ya Mwanamke, labda Zuchu tu. Wagombea Wanawake nafasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…