tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Anayetumia Samsung oxygen anijuze tafadhali!?

    Najua hapa jukwaani ni kila kitu,naomba kujuzwa kuhusu uimara wa hizi simu ""Samsung Oxygen ""na ubora wake!
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wa kiutumishi tafadhali

    Salaam wakubwa.Ushauri unaombwa kwa mwalimu wa tgts E ambaye nina bachelor ya Education in Adult Education and community development. Kwanza naomba kujua iwapo bachelor hii inakubali kubadilishiwa muundo kwenda maendeleo ya jamii. Kama inafaa naomba kujua fursa zilizopo huko kwenye maendeleo...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali

    Shikamoon wakubwa zangu. Juzi jumamosi nimeibiwa Pochi yangu na watu waliokuwa kwenye bodaboda Maeneo ya Tabata bima Kwakweli Kwa umasikini wangu nimeumia Sana. Pochi yenyewe ina Thamani ya 35000 Pia kulikuwa na simu Samsung S22,pesa tasilimu 780000 nilizoagizwa nikanunue Mahitaji ya nyumbani...
  4. JamiiForums Tanzania Mnyika ingia mtaani hacha ubishooo njooo tukupe tone tone tafadhali uje na pipa tafadhali na gunia za kutosha

    Nimeona tone tone Mwanza imeingia mtaani, Mnyika na Heche njoooni mtaani mbebe Hela tunazo sisi hatuwezi tumakwa simu au benk HAYA majamaaa yatatunyaka sisi ni nyoka jeusi tupo nao ndani njoooni mtaani tutakutana niwape tone tone
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV kamili ya H.E. Balozi Saidi Othman Yakubu atushushie hapa tafadhali.

    Mwenye CV kamili ya H.E. Balozi Saidi Othman Yakubu atushushie hapa tafadhali.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa, ilikuwaje Kiarabu kikaathiri lugha ya Kiswahili

    Wataalam wa lugha na historia ya Afrika Mashariki naomba kueleweshwa, ilikuwaje Kiarabu kikaathiri lugha ya Kiswahili kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na lugha za jamii nyingine ambazo tulichangamana nazo toka enzi hizo eg jamii za wahindi? Na ilikuwaje tukachukua misamiati ya Kiarabu...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali kama una stress don't comment. Nahitaji ushauri

    Habarini wakubwa ninawasalimia. Mimi Nina mke na watoto 03. Huyu kwa kwanza ni mkubwa ana miaka 23 ameumuka kama kama mamaake anaumbile kubwa na amefanana na mamaake, ni mnene na anakila kitu alichomacho mamamaake. Umetomea ugonvi baina yangu na mamaake. Kwa kimaumbile mamamaake ana maungo...
  8. JamiiForums Tanzania Ninaomba Rasmi niwe Mlinzi wa John Heche,Viongozi wa Chadema mkipata huu Ujumbe tafadhali sana naomba mumfikishie John Heche

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane! Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mtakaopitia huu Ujumbe,Tafadhali sana naomba mumfikishie Mh.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kwamba ninaomba kwa ridhaa yangu mwenyewe niwe mmoja ya Walinzi wake...
  9. JamiiForums Tanzania Taji Liundi jinsi alivyomuokoa katika Sanaa Civilian-Coin mwaka2004 tafadhali okoa Tena upya

    For Promo only. https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3 Taji Liundi ndio binadamu wa kwanza Tanzania kumpigania Civilian-Coin zamani alijiita "Masqo" baadae "Don NALIMISON" na Sasa "CIVILIAN-COIN( Civilian-Coin Nalimi Kisandu). Mwaka 2004 Civilian-Coin alirekodi wimbo "Usiunyanyapae...
  10. JamiiForums Tanzania Mwigulu tafadhali usiseme 'Zanzibar' na 'Tanzania bara' unaporejelea pande hizi mbili za muungano

    Mwigulu, tafadhali sana usitaje jina 'Tanzania bara' na 'Zanzibar' unapozungumzia pande mbili za muungano unaounda Tanzania, badala yake tumia Tanganyika na Zanzibar. Ukishasema Zanzibar lazima useme Tanganyika, hilo ni sharti na siyo ombi. Ukishasema Tanzania bara ni sharti umalize kwa kusema...
  11. JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na Majiko ya Induction ya ECOA anipe uzoefu tafadhali!

    Wakubwa habarini za leo, kuna hii kampuni ya wakenya inaitwa Bunny ndio wana tengeneza haya majiko ya ECOA induction cookers, naomba ambaye ameyatumia anipe uzoefu kabla sija jilipua kuchukua.
  12. JamiiForums Tanzania Kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu, wanachanganya sana!

    Nimefanya tafiti nimegundua mwanamke anaweza ku squirt (katerero) na asifike kileleni!, na anaweza asi squirt na akafika kileleni!!. Kiufupi ku squirt ni jambo tofauti nakufika kileleni!, na kufika kileleni ni jambo tofauti na ku squirt!.. japokuwa haya mambo mawili yanaweza kutokea kwa wakati...
  13. JamiiForums Tanzania Unahitaji website? Pita hapa tafadhali.

    Pata website modern KAMA HII kwaajili ya biashara yako kwa Tsh 500,000 tu! Hii inajumuisha designing & coding, hosting, domain, SEO, business emails & security. Hii ni custom design kwahiyo hata kama una michoro yako mwenyewe hakuna shida tunaicode inatoka kama ilivyo. Pia zingatia kuwa cost...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna utaratibu wa kufuata ukitaka kuanzisha App Tanzania?

    Habari. Kuna mtu anauliza taratibu za kuanzisha app kwa hapa tanzania hadi iweze kua downloaded playstore/App store. Je, ni taratibu zipi anahitaji kufuata? Je itahitaji kwenda Tra,Tcra,Brela nk? Au unaanzisha kwanza kisha ndio unaenda kufuata utaratibu wa kiserikali? Je kwa Tanzania ni...
  15. JamiiForums Tanzania Tafadhali Rais Samia... Hakuna anayekuamini...

    Ni vigumu kuaminika kuwa uliguswa, kuumizwa, kustushwa au kuchukizwa na matukio ya Oktoba 29, 2025. Ni vigumu kufanya watu wasadiki kuwa wewebkama Rais wa nchi yetu hujui kilichotokea au hata kufanya jitihada za kutaka kujua... - hujajaribu kukutana na wahanga wa matukio yale...hujajaribu kujua...
  16. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya, usirudi kwenye Media uchwara, tafadhali

    Tokea watangazaji maarufu wasimamishwe na bodi ya ithibati, masoud ameonyesha uwezo binafsi, Vipindi vyake vya sasa kupitia channel yake ya you tube ni vizuri vyenye mvuto kuliko alipokuwa clouds, Ana muda wa kutosha wa kutumia ubongo wake kujenga hoja na kujadili mada za msingi bula kubanwa na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania POLISI tafadhali mshughulikie huyu anahatarisha Amani yetu, isiwe mnaiona Chadema tu ingawa Chadema haijawahi hatarisha Amani

    Clip speaks for itself
  18. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kuhusu VPN

    Ni VPN gani ambayo ni inaweza kutumia kwenye Desktop computer? Ambayo ni Free!
  19. JamiiForums Tanzania Nipeni huu wimbo ukiwa kamili tafadhali!

    Wimbo nimeupenda sana lakini isivyo bahati nimeutafuta mno mtandaoni bila mafanikio
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali zifute hizi taasisi kwa manufaa ya umma

    1. Wakala wa vipimo (WMA). Wakala wa vipimo ulianzishwa ili kuleta usawa kwa mlaji na mtoa huduma lakini vituo vya mafuta vinadhulumu walaji. Sasa hivi bei ya mafuta iko juu na vituo vya mafuta bila aibu wanatuibia huku wakala wa vipimo upo tu . Wakala hii ifutwe haraka na watumishi wake wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…