tabora

  1. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania RC Batilda Buriani tatizo la umeme Tabora hulioni?

    Nipo Tabora leo ni siku ya tatu nikifanya kazi maalumu ili kuendelea kulijenga taifa. Kinachonisaidia ni kuwa nina powerbank tatu, toka nimefika Tabora umeme unakatwa asubuhi na kurudi usiku saa nne, na muda Mwingine unaweza kukatwa hata mara sita. Nauliza mkuu wa Mkoa, Batilda Buriani hili...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kununua Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro

    Habari wakuu, Natafuta shamba kubwa ambalo limeshawai kulimwa au tambarare ambalo litakuwa rahisi kulimwa kwa mikoa niliyo orodhesha hapo juu. Siitaji shamba ambalo lina miti maana kuondoa miti ni gharama sana. Natafuta kwanzia heka 100 kwenda juu. Asante.
  3. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Uyui secondary tabora boys 1994....1996

    Bila kuwasahau Tabora girls...wakati wa joint mass.....mikusanyiko ya pamoja Disco la mchana ile saa nane nane kijua.....wapi chuo cha uhazili na Mirambo secondary...ya Kale dhahabu....good sweet memories....Tabora raha saanaaa. Pia ni mkoa uliokuwa na mabinti wazuri.
  4. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Tabora wapi wanauza simu nzuri used na mpya?

    Habari za leo wakuu, Nimefika Tabora( toronto ) mjini. Hapa, kwa wenyeji naomba muongozo wapi wanauza simu mpya na used (samsung, google pixel, iphone) at a reasonable price katika mji huu? Nb: Ukirecommend duka lako au mtu unayemfahamu ni vizuri pia. Nikipata username za instagram ili...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa SGR, Dar, Tabora, Dodoma na Singida wagoma wakishinikiza kulipwa mshahara

    Baadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023. Licha ya kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600 hivi karibuni Mkandarasi Mkuu wa SGR...
  6. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

    🔰 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 DAY🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Tabora United Vs Young Africans SC 📆 23.12.2023 🏟 Jamhuri, Dodoma 🕖 1:00 Usiku Game yakufunga Mwaka hii. All the Best Young African SC. #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza Kikosi cha Tabora United Kinachoanza Mechi ya leo. Mpira...
  7. N

    JamiiForums Tanzania NHIF Tabora ni jipu

    NHIF mkoa wa Tabora wanasumbua sana wafanyakazi wanaongoza kwa kuomba rushwa, pia wanalazimisha na mwenza wake awe namba ya NIDA Huu mfuko tunauchangia lakini masharti yamekuwa mengi lakini kila mwezi mnachukua pesa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya Kufika Sikonge (Tabora) From Dar

    Wadau naomba ushauri njia rahisi ya kusafiri kwa basi kutoka Dar mpaka Sikonge Tabora na mabasi mazuri/kampuni ya kupanda. Shukrani
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Wakikagua Miradi ya Umwagiliaji Arusha, Tabora na Iringa

    Ziara ya Kamati ya Bunge ya Bajeti mkoani Arusha kufuatilia utekelezaji wa miradi ya umwagiliaji kwenye mashamba ya utafiti- TARI na Mashamba ya Uzalishaji wa Mbegu- ASA. Pia, Ziara ya Kamati ya Bunge ya Bajeti ilifika kwenye shamba la Mbegu Kilimi Nzega, Tabora kufuatilia utekelezaji za mradi...
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 10 nimerudi leo Tabora, aisee Tabora imekuwa Toronto.

    Hongera sana Aggrey Mwanri. Nyumba kali za kisasa lami za kutosha katikati ya mji. Zimebaki nyumba chache za wazawa za udongo katikati ya mji bila shaka miaka 5 mbele watafika dau. Wahaya wakitoka Bukoba wakifika Tbora wanaweza kudhani wako mamtoni. Hongereni wana Tabora.
  11. AfricaUnited

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa mil 5-10 nifanye biashara gani mkoa wa TABORA

    Habari Za majukumu wanajamvu, Katika pitapita zangu, nimekuja tembea mkoa wa tabora, na nimeupenda, naweza weka kambi kwa mda . Naombeni ushauri wajuzi wa huu mkoa ,Biashara gani naweza fanya hapa mkoani kwa mtaji wa mil 5 hadi 10? Nitashukuru kwa ushauri. Asanteni
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kila mwanaume aliyefika Mkoa wa Tabora na viunga vyake anakiri kuwa Tabora ni kiboko ya Upwiru

    Nimefika Tabora mara kadhaa sambamba na hilo katika usomaji na ufuatiliaji wa threads za hapa jukwaani, nimebaini pasipo na shaka wala mawaa yoyote yale kuwa mkoa wa Tabora unaongoza kwenye tiba ya upwiru na upatikanaji wa wana upwiru hasa wenye virutubisho mpakato. Toka kitambo si kwa...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ahitimisha Ziara ya Kikazi Mkoani Tabora

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora kwenye Uwanja wa Ndege wa Tabora baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi mkoni humo tarehe 19 Oktoba, 2023...
  14. Billal Saadat

    JamiiForums Tanzania Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

    Askofu Mwandamizi Jimbo kuu la Tabora, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake. Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake. Tabora ni...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Singida, utayaona ya Tabora

    UKISTAAJABU YA SINGIDA; UTAYAONA YA TABORA Anaandika Gibson G Bayona Tunaendelea Tulipoishia.. Ni muendelezo wa ziara ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassan,na sasa ikiwa Mkoa wa Tabora. Ni wazi tuliona sehemu ya kwanza ya Ziara hii Mkoani Singida...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea taarifa ya Mradi wa Skimu ya Umwagiliaji wilaya ya Nzega mkoani Tabora, leo tarehe 18, Oktoba, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya Mradi wa Skimu ya Umwagiliaji wilaya ya Nzega mkoani Tabora leo tarehe 18, Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/PLLdAPmreBQ?si=Je1yaQd5Nk5_cf-o
  17. M

    JamiiForums Tanzania Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

    Nilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale Posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara wangu wa kila mwezi. Nilikuwa na hamu kubwa ya kujaribu kitu kipya, kitu ambacho kingenipa uhuru wa...
  18. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato, Mwanza, Shinyanga, Kahama, Simiyu, Geita, au Tabora.

    Wasalaam. Naombeni msaada wenu ndugu zangu, natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato katika mikoa hiyo tajwa, natanguliza shukrani zangu za dhati.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC yaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha ujenzi wa reli ya SGR kipande cha Tabora - Isaka

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kipande cha nne Tabora - Isaka kwenye vijiji takribani tisa vilivyopo wilayani Nzega mkoa wa Tabora hivi karibuni Oktoba, 2023. Mthamini kutoka TRC Bw. Valentine...
  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Tabora, Kigoma na Burundi - tupaze sauti kwa Mama Samia - tupate Barabara ya Mambali (Tabora) kuja Kakonko (Kigoma)

    Salaam! Tukipata barabara mpya ya Kakonko hadi Mambali (Uyui) tutaokoa muda wa kusafiri, fedha na uhovu. Kwa kuwa tunapozungukia Kahama - Nzega - Tabora tunasafiri zaidi ya 400kms. Lkn pia tunapozungukia uvinza to Tabora tunasafiri takribani 413kms. Endapo Mama Samia atakubali na kusikia...
Back
Top Bottom