FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,683
14,868
20231223_121125.jpg


πŸ”° πŒπ€π“π‚π‡ DAYπŸ”°

πŸ† #NBCPremierLeague
⚽️ Tabora United Vs Young Africans SC
πŸ“† 23.12.2023
🏟 Jamhuri, Dodoma
πŸ•– 1:00 Usiku

Game yakufunga Mwaka hii.

All the Best Young African SC.

#Daimambelenyumamwiko#

Kikosi cha Yanga kinachoanza
20231223_181124.jpg


Kikosi cha Tabora United Kinachoanza Mechi ya leo.
20231223_181834.jpg


Mpira Umeanza
Tabora ndio wameanza sasa.
Mpira umeanza kwa kasi kidogo.

Ibrahim Bacca anafanyiwa faulu

03'
Tabora wanarusha mpira unatoka tena.
Wanarusha Yanga.

05'
Yanga wanapiga kona yao haizai matunda.
Wakati huo Musonda anapiga free header lakini inatoka nje.

07'
Tabora United wanapata kona hapa.
Anapiga mpira unatolewa nje tena.
Inakuwa kona ya pili.
Musonda anaondoa hatari.

20'
Yanga wanapata faulu nje kidogo ya 18
Ameipiga Aziz K.
Imejaa ndani.
Ni goli.
Yanga wanapata goli lakuongoza hapa.

Mchezo unaendelea

26'
Tabora United 0 - 1 Yanga.

28'
Bikoko wa Tabora anapewa kadi ya Njano kwa kumchezea rafu Aziz K.
Inapigwa faulu nje kidogo ya 18.
Kipa anataoa inakuwa kona.
Inapigwa kona fupi haizai matunda.

33'
Tabora United wanamiliki mpira kidogo hapa.
Wanapata kona.
Inapigwa wananchi wanaondosha mpira kwenye eneo la hatari.


36'
Yanga wanapata faulu, nje kidogo ya 18.
Anapiga Aziz K.
Kipa anaitoa.
Inakuwa kona inapigwa haileti madhara.
Wakati huo huo Bacca anapewa kadi ya njano

45+2'
Tabora wanapata faulu nje kidogo ya 18.
Wakati huo Mchezaji wao yuko Chini anapatiwa matibabu.
Inapigwa faulu haileti madhara.

Half Time.
Tabora United 0 - 1 Yanga.

63'
Yanga wanafanya mabadiliko
Musonda Out
Mzize Inn.

Pacome Inn
Moloko Out

Full Time.
Tabora United 0 - 1 Yanga
 
View attachment 2850291

πŸ”° πŒπ€π“π‚π‡ DAYπŸ”°

πŸ† #NBCPremierLeague
⚽️ Tabora United Vs Young Africans SC
πŸ“† 23.12.2023
🏟 Jamhuri, Dodoma
πŸ•– 1:00 Usiku

Game yakufunga Mwaka hii.

All the Best Young African SC.

#Daimambelenyumamwiko#
Mimi ni Mnyama,
Ila kwa maslahi mapana ya Mkeka wangu basi naiombea Uto ushindi.
 
Back
Top Bottom