tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

    Hili suala sijui litakuja kuisha lini, maana noana linaongezeka kila siku.
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni tabia inayotakana na uwezo wako wa kufikiri

    Kama uwezo wako unafikiri kidogo, ata katika kutatua changamoto zako zinazokuzunguka utazitatua kidogo; na hatimaye utakuwa masikini. Kama wewe ni muajiriwa, na umerizika kuwa na chanzo kimoja cha mapato; yaani mshahara, mfano wa laki 5; na unautumia mshahara huo wote na kuishia kwenye matumizi...
  3. Malcolm X5

    JamiiForums Tanzania Ila Watanzania nimewashindwa tabia

    Tafadhali haimaanishi kudharau,au kashfa yoyote kwa Mama yetu mpendwa,kwanza yeye ana ngozi ngumu,Embu pitia comments za anaowaongoza na anachowapigania wanavyofikiri,ufurahie siku yako..
  4. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni laana kubwa, tuungane kuutokomeza

    Rafiki yangu mpendwa, Baba wa taifa la Tanzania, Mwl J. K. Nyerere, baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni aligundua hii nchi ni ngumu sana kuiongoza. Baada ya tafakari ya kina, akagundua licha ya wakoloni kuondoka, bado kulikuwa na maadui wakubwa watatu walioendelea kuwepo na ambao ndiyo...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili Jumamosi ni kama ubaguzi kwa Wasabato

    Kumezuka tabia ya baadhi ya Waajiri ikiwemo Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili siku za Jumamosi ( hususani Usaili wa Mchujo). Kitendo hiki ni Kinatafsiriwa kama Ubaguzi (Discrimination) kwa waumini wa Kanisa la Waadvetista Wasabato ambao Jumamosi ni siku ya Ibada therefore, by doing so...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini tabia za maisha ya kawaida ya viongozi wa Kitanzania wakiachia madaraka hubadilika?

    Kuna life style flani la viongozi wa kitanzania wakiwa maradakani huionesha jamii kupitia mitandao yao ya kijamii lakini punde wakishatoka madarakani style hiyo hupotea ghafla, labda waanze tena Leo baada ya Uzi huu! Mfano; Wakiwa madarakani utaona wakipost wapo jimu (gym) nakutufanya sisi...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tabia za Watoto kufanyiana ukatili inakua, Watanzania wenzangu tuamke, nani wa kulaumiwa hapa

    Inawezekana hii haizungumzwi sana katika vyombo vya habari kwa kuwa wanahabari wengi wanatazama kinyume chake lakini ukweli ni kuwa kuna tatizo limekuwa likiibuka la watoto kufanyiana ukatili wao kwa wao. Tunajua kuwa asilimia kubwa ukatili kwa asilimia kubwa umekuwa ukifanywa na watu wazima...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia za kuabudu mataifa wanayoishi hawa Diaspora, ni vyema Serikali isiruhusu uraia wa nchi mbili, ni rahisi sana kusaliti nchi

    Hawa ni rahisi sana kutumika na mamlaka za nchi wanakoishi. Diaspora wanaomba wawe na uraia wa nchi mbili, yaani wawe marekani na ulaya, sijui Asia na pia wawe watanzania, wale huku na kule. Tabia ya ulafi. Juzi wamejionyesha wako upande gani, wako upande wa maadui wa taifa, mabeberu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Umoja Party kikiachana na tabia za upinzani wa sasa kitakuwa chama mbadala

    Muda mrefu hofu ya watanzania ni nani mbadala wa CCM kama CCM ikiondolewa? Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi niseme kweli nchi yetu bado haijashuhudia chama cha kuiondoa CCM hata kama CCM imechokwa sana bado wanaliona tumaini ndani ya CCM kuliko nje. Kuna tabia fulani fulani zilizokuwa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unapoongoza elewa kuwa wewe ni kiongozi tu! Tabia za kufokeana Kama watoto peleka Kwa watoto wako nyumbani

    Kwema Wakuu! Kuna viongozi wakipewa dhamana wanarukwa sijui na akili, wanafoka foka, kufokeana watu wazima ni kudhalilishana tu. Hakuna aliyekulazimisha uteua mtu, Kama mtu kaboronga fukuza kazi, sheria zingine zifuate. Sio kupewa tuu uongozi unajifanya mkoloni ndani ya nchi, na kuwabagaza...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwasema Watu Kwa ukanda haipendezi, kuna viongozi walikuwa wakiwasema Wachaga kila mara!

    Wakubwa kwema! Sitasema mengi! Kuna viongozi sijui ni wivu, sijui ni kutokujiamini, sijui ni Jambo gani, yaani kila mara wakisimama huropoka vitu ambavyo kimsingi havipendezi masikioni. Wachaga wezi! Wale ndugu zetu ni wezi! Mfano ikitokea wizi umetokea, kiongozi atasema wewe ni mtu wa wapi...
  12. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

    Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni. Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kulalamika hufanywa na watu wazembe na malofa

    Heshima kwenu Wakuu! Hakuna tabia inakera Kama mtu kulalamika, sasa unalalamika nini, yaani upuuzi tuu! Kulalamika ni tabia walizonazo wazembe na malofa, kila kitu kulalamika, kila kitu kunung'unika, upuuzi mtupu! Oooh! Wanasiasa wanapiga Sana hela, Kwa nini nawe usijiingize Huko kwenye siasa...
  14. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Aina ya pombe na tabia za wanywaji wake

    Hivi kwa nn ukiwa Bar au eneo lolote la kupata drinks ukianza ile kuongea kwa sauti ya juu tofauti na awali wanazengo hutupia jicho kinywaji unachotumia? Kuna uhusiano wowote wa aina ya pombe na tabia ya mtumiaji?
  15. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Siku nikiwa na mwanamke mwingine ndio utajua tabia yangu, mke hakuongeza neno!

    Iko hivi nina rafiki yangu mmoja ambaye anaendesha magari daladala za hiace isela to magu. sasa kwa uzuri aliniambia mapema kuwa kuna dada kakosea namba kutoka segerema na anamchatisha sana hivyo hadi anaenda kupaki gari usiku bado mawasiliano yalikuwa ni moto sana. Jamaa alipofika kwake...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

    Jana tulianza kuchapisha makala maalum kuhusu kushamiri kwa biashara ya ukahaba kwenye maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, katika uchunguzi huo imebainika kuwa, kuna kushamiri zaidi kwa watoto wadogo chini ya miaka 18 kujiingiza kwenye biashara hiyo haramu. Timu ya waandishi wa...
  17. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

    Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000. Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Tabia ngumu ya mzazi, watoto mtaijua vizuri pale mzazi mmoja akifariki (wakiwa hivi pamoja hufichiana siri)

    Familia nyingi zina watu mizigo. Ninaposema tabia mizigo ninamaanisha watu wenye tabia ngumu kumeza. Watu ambao wanavumilika tu kwasababu ni ndugu au wazazi lakini kiuhalisia hawafai hawafai! (Yaani kama ni chakula basi hawafai kwa kulamba, kutafna au kulumangia). Na hizi tabia ngumu za wazazi...
  19. KIMAROO

    JamiiForums Tanzania Historia kuhusu asili, tamaduni na aina za Wachaga

    Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe. Wachaga walianza kuhamia kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro kwenye karne ya 17. Walipofika wakiwa katika vikundi vidogovidogo...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kila mara Rais akitoka Safari anapokelewa na Umati wa Watu na Viongozi ni takwa la Kikatiba?

    Kwa mnaoijua vyema Katiba ya nchi naombeni mnionyeshe Kipengele kisemacho Rais akitoka Safari tu basi akitua Dar es Salaam ni lazima apokelewe na Umati mkubwa wa Watu wakiongozwa na Viongozi Waandamizi. Na wale mnaoijua vyema Katiba ya Tanzania niwekeeni Kipengele kuwa Rais akiwa anarejea...
Back
Top Bottom