tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwasema Watu Kwa ukanda haipendezi, kuna viongozi walikuwa wakiwasema Wachaga kila mara!

    Wakubwa kwema! Sitasema mengi! Kuna viongozi sijui ni wivu, sijui ni kutokujiamini, sijui ni Jambo gani, yaani kila mara wakisimama huropoka vitu ambavyo kimsingi havipendezi masikioni. Wachaga wezi! Wale ndugu zetu ni wezi! Mfano ikitokea wizi umetokea, kiongozi atasema wewe ni mtu wa wapi...
  2. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

    Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni. Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kulalamika hufanywa na watu wazembe na malofa

    Heshima kwenu Wakuu! Hakuna tabia inakera Kama mtu kulalamika, sasa unalalamika nini, yaani upuuzi tuu! Kulalamika ni tabia walizonazo wazembe na malofa, kila kitu kulalamika, kila kitu kunung'unika, upuuzi mtupu! Oooh! Wanasiasa wanapiga Sana hela, Kwa nini nawe usijiingize Huko kwenye siasa...
  4. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Aina ya pombe na tabia za wanywaji wake

    Hivi kwa nn ukiwa Bar au eneo lolote la kupata drinks ukianza ile kuongea kwa sauti ya juu tofauti na awali wanazengo hutupia jicho kinywaji unachotumia? Kuna uhusiano wowote wa aina ya pombe na tabia ya mtumiaji?
  5. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Siku nikiwa na mwanamke mwingine ndio utajua tabia yangu, mke hakuongeza neno!

    Iko hivi nina rafiki yangu mmoja ambaye anaendesha magari daladala za hiace isela to magu. sasa kwa uzuri aliniambia mapema kuwa kuna dada kakosea namba kutoka segerema na anamchatisha sana hivyo hadi anaenda kupaki gari usiku bado mawasiliano yalikuwa ni moto sana. Jamaa alipofika kwake...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

    Jana tulianza kuchapisha makala maalum kuhusu kushamiri kwa biashara ya ukahaba kwenye maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, katika uchunguzi huo imebainika kuwa, kuna kushamiri zaidi kwa watoto wadogo chini ya miaka 18 kujiingiza kwenye biashara hiyo haramu. Timu ya waandishi wa...
  7. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

    Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000. Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tabia ngumu ya mzazi, watoto mtaijua vizuri pale mzazi mmoja akifariki (wakiwa hivi pamoja hufichiana siri)

    Familia nyingi zina watu mizigo. Ninaposema tabia mizigo ninamaanisha watu wenye tabia ngumu kumeza. Watu ambao wanavumilika tu kwasababu ni ndugu au wazazi lakini kiuhalisia hawafai hawafai! (Yaani kama ni chakula basi hawafai kwa kulamba, kutafna au kulumangia). Na hizi tabia ngumu za wazazi...
  9. KIMAROO

    JamiiForums Tanzania Historia kuhusu asili, tamaduni na aina za Wachaga

    Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe. Wachaga walianza kuhamia kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro kwenye karne ya 17. Walipofika wakiwa katika vikundi vidogovidogo...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kila mara Rais akitoka Safari anapokelewa na Umati wa Watu na Viongozi ni takwa la Kikatiba?

    Kwa mnaoijua vyema Katiba ya nchi naombeni mnionyeshe Kipengele kisemacho Rais akitoka Safari tu basi akitua Dar es Salaam ni lazima apokelewe na Umati mkubwa wa Watu wakiongozwa na Viongozi Waandamizi. Na wale mnaoijua vyema Katiba ya Tanzania niwekeeni Kipengele kuwa Rais akiwa anarejea...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu zinazofanya wanawake kuwanyima wanaume Unyumba

    SABABU KUU ZINAZOFANYA WANAWAKE WALIOOLEWA KUNYIMA WAUME ZAO UNYUMBA!. Na, Robert Heriel. Maelezo haya ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi ambao ulikuwa huru kabisa. Hivyo maelezo haya sio yakujitungia, ni matokeo ya uchunguzi huru nilioufanya. Aidha uchunguzi huu usichukuliwe kuwa Rasmi Kwa...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Huwezi badili tabia ya mwanamke hata ufanye nini

    Salute wakuu! Mimi ni kijana wa miaka 27,kipindi na soma chuo niliwahi kutongonzwa na binti ambaye alikuwa tayari ana mtoto sikuona kuwa ni shida maana kila nlipo kuwa na hamu nae alinipa bila usumbufu wowote. Kwa mwanzo nlikuwa sijajua maisha yake taratibu nikaanza kumjua, kumbe ni binti...
  13. Itug

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni tabia; kuwa na vitu vya gharama bila kipato cha kueleweka ni hasara

    Unakuta vijana wengi pesa wanazopata huishia kununua vitu vya luxury ambavyo ni liabilities na sio asset! Ukiona unamtazamo huo basi hayo mawazo huleta umasikini. Vitu kama magari na huna kipato kinachoeleweka ni sawa na hasara! Kupanga jumba la gharama na kipato chako ni kidogo ni sawa na...
  14. BALOTEL

    JamiiForums Tanzania Ni lini Watanzania hasa vijana tutaacha tabia ya kusifia viongozi ili kupata teuzi?

    Habarini ndugu zangu wa Tanzania. Naomba nikiri kwanza kabisa mimi sio mwandishi mzuri hivyo kama nitakua nimeenda tofauti kidogo nipo tayari kurekebishwa. Mimi sio mwanasiasa na wala sio mwanachama wa chama chochote kile ila ni mtanzania mpenda maendeleo, naomba nitambulike hivyo. Nimekua...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna tabia watu kuona wazee ni wachawi. Je, wewe ukizeeka utakubali kuitwa hivyo?

    Nchi yetu kuna mambo ya ajabu sana pale idadi ya vikwonge kushambuliwa kwa tuhuma za kudai ni wachawi. hii imejengeka sana tanzania kote na msemo huu ulisha kuwa na mizizi kwa watu ambao bado stage ya kufikia uzee kutumia :" Mzee mchawi, Mzee mwanga" Je, stage ya uzee ndio stage ya hayo watu...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

    Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
  17. Carleen

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

    Guys, Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali. Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua. Kisha nakaa pembeni...
  18. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kero: Wakurugenzi wa Elimu Wilaya kujifanya wana shida zaidi na walimu wa Sayansi

    Ipo kasumba kwa baadhi ya Afisa elimu wilaya sekondari kujifanya wana shida zaidi na walimu wa sayansi kuliko wa mchepuo wa sanaa. Hii tabia ni ku-discourage walimu wa mchepuo wa sanaa +biashara, na ikumbukwe kila mchepuo una umuhimu wake. Sasa endapo kama hao walimu wa sanaa wapo wa kutosha...
  19. Ramsy Dalai Lama

    JamiiForums Tanzania Sifa ama tabia zinazoonesha maturity (ukomavu wa akili)

    Ngoja nikuambie kitu?, Unafikiri kuna umri fulani ambapo maturity huanza? Labda mpaka uwe na miaka 20, 40 ama 60!?. Hapana, katika experience yangu binafsi, nimeona kwamba umri hauna uhusiano wowote na mtu kuwa matured. Nimekutana na vijana ambao wako matured zaidi ya umri wao, na nimewaona...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tabia za Mabosi waliopo kwenye Taasisi zenye njaa

    Kuna tabia mbalimbali wanakuwa nazo mabosi (hasa watendaji wakuu) wa taasisi za Serikali kama vile mabaraza, bodi, tume na baadhi ya Wizara . Taasisi hizi nyingi hazijiwezi hata kujiendesha vizuri. Watendaji wakuu/mabosi wa taasisi hizi wengi huwa na tabia zifuatazo; 1. Roho mbaya 2. Kila...
Back
Top Bottom