Hii tabia ya kila mara Rais akitoka Safari anapokelewa na Umati wa Watu na Viongozi ni takwa la Kikatiba?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,037
Kwa mnaoijua vyema Katiba ya nchi naombeni mnionyeshe Kipengele kisemacho Rais akitoka Safari tu basi akitua Dar es Salaam ni lazima apokelewe na Umati mkubwa wa Watu wakiongozwa na Viongozi Waandamizi.

Na wale mnaoijua vyema Katiba ya Tanzania niwekeeni Kipengele kuwa Rais akiwa anarejea kutoka nje ya nchi kwa Kuiwakilisha Tanzania na Watanzania wote basi 85% ya wanaotakiwa Kumpokea pale JNIA wawe ni wana CCM pekee.

Nimejaribu kuangalia kama na Marais wengine wa nchi Jirani ( hasa Kenya, Uganda na Rwanda ) achilia mbali zile za Ulaya, Asia na kule Marekani kama nao huwa na Utamaduni huu ambao GENTAMYCINE sioni Aibu au Kuogopa kuuita ni wa Kipuuzi na Kishamba sijaona.

Watanzania tumechelewa sana na bado tunaendelea Kuchelewa kwa kuendelea kung'ang'ania Tamaduni / Desturi ambazo kiukweli kwa dunia ya sasa sidhani kama zina Tija Kwetu sana sana ndizo zinatufanya tuendelee tu Kudharaulika na kuoneka hatuna Akili na Majuha Tukuka na Watu wa Mataifa mengine ( hasa ya Jirani )

Namalizia kwa Kusisitiza tena je, hili ni Takwa la Kikatiba au ni Takwa la Upuuzi, Ujuha na Unafiki wetu Watanzania? Nayasubiri Majibu yenu na mtakaokereka nami na huu Uzi wangu wa Ukweli Mchungu Povu rukhsa.
 
Ni utamaduni tu na desturi.
Na ww siku ukiwa Rais wa nchi utaona hakuna shida yeyote.
Kamwe sitouruhusu Upumbavu huo badala yake nitajikita zaidi katika Kuwapambania Kwanza Watanzania Usiku na Mchana na siyo kutaka Nisujudiwe, Niogopwe au Nitukuzwe kama Mfalme / Malkia.

Nikitoka tu huko Safarini badala ya Kulazimisha lazima Umati unipokee Uwanjani Terminal I nitawaomba tu Watu ( mpaka wana CCM Wenzangu ) wabaki waliko, waendelee Kuchapa Kazi na Mrejesho wa Ziara zangu watazipata kutoka kwa Wizara au Msemaji wangu wa Ikulu au Msemaji wa Serikali.

Binafsi nauchukia zaidi huu Utamaduni.
 
Ni rahisi kuketi chini na kuchukua notes kuhusu jambo.Ugumu ni hatua gani utazichukua kuhusu hilo jambo.
Kamwe sitouruhusu Upumbavu huo badala yake nitajikita zaidi katika Kuwapambania Kwanza Watanzania Usiku na Mchana na siyo kutaka Nisujudiwe, Niogopwe au Nitukuzwe kama Mfalme / Malkia.

Nikitoka tu huko Safarini badala ya Kulazimisha lazima Umati unipokee Uwanjani Terminal I nitawaomba tu Watu ( mpaka wana CCM Wenzangu ) wabaki waliko, waendelee Kuchapa Kazi na Mrejesho wa Ziara zangu watazipata kutoka kwa Wizara au Msemaji wangu wa Ikulu au Msemaji wa Serikali.

Binafsi nauchukia zaidi huu Utamaduni.
 
Kamwe sitouruhusu Upumbavu huo badala yake nitajikita zaidi katika Kuwapambania Kwanza Watanzania Usiku na Mchana na siyo kutaka Nisujudiwe, Niogopwe au Nitukuzwe kama Mfalme / Malkia.

Nikitoka tu huko Safarini badala ya Kulazimisha lazima Umati unipokee Uwanjani Terminal I nitawaomba tu Watu ( mpaka wana CCM Wenzangu ) wabaki waliko, waendelee Kuchapa Kazi na Mrejesho wa Ziara zangu watazipata kutoka kwa Wizara au Msemaji wangu wa Ikulu au Msemaji wa Serikali.

Binafsi nauchukia zaidi huu Utamaduni.
Hizo ni dalili za kuwa na rais dhaifu, wanajaribu kuficha udhaifu wake kwa matukio ya kijinga kama hayo
 
hiyo sio sheria kupitia kifungu cha katiba but ni pendekezo na tamadubi za uhongozi uliopo madarakani kwa wakati huo naamini siku Raisi akitoka chama pinzani nao pia watakuwa na utaratibu wao
 
Kwa mnaoijua vyema Katiba ya nchi naombeni mnionyeshe Kipengele kisemacho Rais akitoka Safari tu basi akitua Dar es Salaam ni lazima apokelewe na Umati mkubwa wa Watu wakiongozwa na Viongozi Waandamizi.

Na wale mnaoijua vyema Katiba ya Tanzania niwekeeni Kipengele kuwa Rais akiwa anarejea kutoka nje ya nchi kwa Kuiwakilisha Tanzania na Watanzania wote basi 85% ya wanaotakiwa Kumpokea pale JNIA wawe ni wana CCM pekee.

Nimejaribu kuangalia kama na Marais wengine wa nchi Jirani ( hasa Kenya, Uganda na Rwanda ) achilia mbali zile za Ulaya, Asia na kule Marekani kama nao huwa na Utamaduni huu ambao GENTAMYCINE sioni Aibu au Kuogopa kuuita ni wa Kipuuzi na Kishamba sijaona.

Watanzania tumechelewa sana na bado tunaendelea Kuchelewa kwa kuendelea kung'ang'ania Tamaduni / Desturi ambazo kiukweli kwa dunia ya sasa sidhani kama zina Tija Kwetu sana sana ndizo zinatufanya tuendelee tu Kudharaulika na kuoneka hatuna Akili na Majuha Tukuka na Watu wa Mataifa mengine ( hasa ya Jirani )

Namalizia kwa Kusisitiza tena je, hili ni Takwa la Kikatiba au ni Takwa la Upuuzi, Ujuha na Unafiki wetu Watanzania? Nayasubiri Majibu yenu na mtakaokereka nami na huu Uzi wangu wa Ukweli Mchungu Povu rukhsa.
Ni dalili ya kutokuwa na kazi muhimu za kufanya, kujipendekeza na primitive loyalty.
 
Tatizo ni lile lile taifa linaongozwa na siasa. Maendeleo yanawekwa kimsingi wa siasa. Siasa imekua chanzo cha kipato kwa watu
 
Watu woote wanaacha shughuli za uma na kwenda airport kupokea mtu mmoja no wonder mawazo ya kutumia milioni miambili kwa dakika 3 yanaonekana yenye tija sana.

Na hakuna mwenye wazo la namna ya kutatua tatizo la ajira hapa nchini.
Screenshot_20220301-102544.png
 
Kwa mnaoijua vyema Katiba ya nchi naombeni mnionyeshe Kipengele kisemacho Rais akitoka Safari tu basi akitua Dar es Salaam ni lazima apokelewe na Umati mkubwa wa Watu wakiongozwa na Viongozi Waandamizi.

Na wale mnaoijua vyema Katiba ya Tanzania niwekeeni Kipengele kuwa Rais akiwa anarejea kutoka nje ya nchi kwa Kuiwakilisha Tanzania na Watanzania wote basi 85% ya wanaotakiwa Kumpokea pale JNIA wawe ni wana CCM pekee.

Nimejaribu kuangalia kama na Marais wengine wa nchi Jirani ( hasa Kenya, Uganda na Rwanda ) achilia mbali zile za Ulaya, Asia na kule Marekani kama nao huwa na Utamaduni huu ambao GENTAMYCINE sioni Aibu au Kuogopa kuuita ni wa Kipuuzi na Kishamba sijaona.

Watanzania tumechelewa sana na bado tunaendelea Kuchelewa kwa kuendelea kung'ang'ania Tamaduni / Desturi ambazo kiukweli kwa dunia ya sasa sidhani kama zina Tija Kwetu sana sana ndizo zinatufanya tuendelee tu Kudharaulika na kuoneka hatuna Akili na Majuha Tukuka na Watu wa Mataifa mengine ( hasa ya Jirani )

Namalizia kwa Kusisitiza tena je, hili ni Takwa la Kikatiba au ni Takwa la Upuuzi, Ujuha na Unafiki wetu Watanzania? Nayasubiri Majibu yenu na mtakaokereka nami na huu Uzi wangu wa Ukweli Mchungu Povu rukhsa.
ivi wa2 walipoenda loliondo kwa kikombe cha babu maelf kwa maelf na viongozi kibao duniani je? ni haki kikatiba? na je kikombe kisicho na uhai cha babu{cha bati} na rais samia suluhu kipi kina haki ya kupokelewa na viongozi? na mwenge wa UHUHURU je?
 
Back
Top Bottom