Umoja Party kikiachana na tabia za upinzani wa sasa kitakuwa chama mbadala

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
Muda mrefu hofu ya watanzania ni nani mbadala wa CCM kama CCM ikiondolewa?

Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi niseme kweli nchi yetu bado haijashuhudia chama cha kuiondoa CCM hata kama CCM imechokwa sana bado wanaliona tumaini ndani ya CCM kuliko nje.

Kuna tabia fulani fulani zilizokuwa zinasababisha upinzania kudumaa na kushindwa kusonga mbele nazo zilipelekea kifo chao. Tabia hizo ni pamoja na:

i) Kuonesha kushindwa kwa CCM huku nao wameshindwa kuonesha umuhimu wao. Hili lilikuwa ni kosa kubwa

ii) Kutokuwa na agenda za kusimamia badala yake ikawa inasimamia madhaifu ya CCM na madhaifu hayo yaliporekebishwa ikapelekea kufeli kwao.

iii) Kushindwa kushirikiana na CCM hata kwa mazuri yanayoonekana na badala yake wakawa wanatafuta mabaya katika mazuri

iv) Hamu ya Upinzani kuingia ikulu kuliko kujiimarisha na kuaminisha watanzania wana uwezo wa kuwatumikia.

Naamini kama Umoja Party wakirekebisha madhaifu hayo na mengine watafika mbali kama mbadala wa CCM.
 
CCM mlianzisha vyama vingi vya kuipunguza nguvu CDM, mkawanunua na kuwarubuni wale walioonyesha wanaushawishi ktk jamii, pamoja na biashara hiyo haramu ya ununuzi wa Wapinzani chini ya Polepole na akishikiwa ufahamu na Mwenda zake, bado mnaiogopa CDM, tukienda kwenye fair election mnakalishwa mapema kabla ya chakula cha Mchana.
 
Upinzani watafanya siasa ikiwa uwanja sio sawa? Mmeshuhudia Mara ngapi upinzani wanazuiwa kufanya shughuli zao, kizuiwa kufanya mikutano miaka sita sasa na kufanyiwa zengwe kwenye uchaguzi. Hadi Viongozi kushambuliwa na kufunguliwa kesi za uongo.

Hicho chama kipya kitafanya muujiza gani?. Naona tunaongea unafiki ili to kuzima chama kikuu Cha upinzani, lakini mjue upinzani sio lelemama.
 
Tumekusikia na tutalifanyia kazi wazo lako, tunapenda mawazo kama yako ili kukuza demokrasia iliyopo ifike mbali na wananchi mpate kile mlichokikosa toka tupate uhuru.

20220421_091228.jpg

KARIBU #UMOJA PARTY
 
Upinzani watafanya siasa ikiwa uwanja sio sawa? Mmeshuhudia Mara ngapi upinzani wanazuiwa kufanya shughuli zao, kizuiwa kufanya mikutano miaka sita sasa na kufanyiwa zengwe kwenye uchaguzi. Hadi Viongozi kushambuliwa na kufunguliwa kesi za uongo.

Hicho chama kipya kitafanya muujiza gani?. Naona tunaongea unafiki ili to kuzima chama kikuu Cha upinzani, lakini mjue upinzani s
Mkiwa na mipango na sera bado mnaweza kufika mbali. Sera bora za ACT zimewanufaisha kwa kutengeneza makamu wa rais kitu ambacho CHADEMA hakijawahi kufanya
 
Hayo ya Makamu wa Rais haihusiani na ACT. Hiyo ni CUF ya kipindi kile ilikuwa moto sana, CCM wakaona ili kuwatuliza tuwape makamu wa rais, ambaye actually hana nguvu
 
Hiki ni chama chetu ambacho kimeundwa nasi wafuasi wa JPM.....
Tunapata wengi kutoka kanda ya Ziwa
 
Mkiwa na mipango na sera bado mnaweza kufika mbali. Sera bora za ACT zimewanufaisha kwa kutengeneza makamu wa rais kitu ambacho CHADEMA hakijawahi kufanya

Acha uongo, ACT wamepata Makamu wa Rais kwasababu Maalim alihamia kwao. Unadhani CUF wasingepata mgawanyiko ACT isingingia Zanzibar.

Tatizo lenu ni waongo, mnajaribu kutengeneza mazingira ya kuishusha Chadema wakati CCM yenyewe imeshindwa.
 
Muda mrefu hofu ya watanzania ni nani mbadala wa CCM kama CCM ikiondolewa?

Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi niseme kweli nchi yetu bado haijashuhudia chama cha kuiondoa CCM hata kama CCM imechokwa sana bado wanaliona tumaini ndani ya CCM kuliko nje.

Kuna tabia fulani fulani zilizokuwa zinasababisha upinzania kudumaa na kushindwa kusonga mbele nazo zilipelekea kifo chao. Tabia hizo ni pamoja na:

i) Kuonesha kushindwa kwa CCM huku nao wameshindwa kuonesha umuhimu wao. Hili lilikuwa ni kosa kubwa

ii) Kutokuwa na agenda za kusimamia badala yake ikawa inasimamia madhaifu ya CCM na madhaifu hayo yaliporekebishwa ikapelekea kufeli kwao.

iii) Kushindwa kushirikiana na CCM hata kwa mazuri yanayoonekana na badala yake wakawa wanatafuta mabaya katika mazuri

iv) Hamu ya Upinzani kuingia ikulu kuliko kujiimarisha na kuaminisha watanzania wana uwezo wa kuwatumikia.

Naamini kama Umoja Party wakirekebisha madhaifu hayo na mengine watafika mbali kama mbadala wa CCM.
Hii ni CCJ ya mjini haina lolote
 
Kutotaja sababu ya CCM kujifungamanisha na Dola ili kibaki madarakani kunaonesha jinsi ulivyo na Nia ovu kisiasa.
 
Muda mrefu hofu ya watanzania ni nani mbadala wa CCM kama CCM ikiondolewa?

Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi niseme kweli nchi yetu bado haijashuhudia chama cha kuiondoa CCM hata kama CCM imechokwa sana bado wanaliona tumaini ndani ya CCM kuliko nje.

Kuna tabia fulani fulani zilizokuwa zinasababisha upinzania kudumaa na kushindwa kusonga mbele nazo zilipelekea kifo chao. Tabia hizo ni pamoja na:

i) Kuonesha kushindwa kwa CCM huku nao wameshindwa kuonesha umuhimu wao. Hili lilikuwa ni kosa kubwa

ii) Kutokuwa na agenda za kusimamia badala yake ikawa inasimamia madhaifu ya CCM na madhaifu hayo yaliporekebishwa ikapelekea kufeli kwao.

iii) Kushindwa kushirikiana na CCM hata kwa mazuri yanayoonekana na badala yake wakawa wanatafuta mabaya katika mazuri

iv) Hamu ya Upinzani kuingia ikulu kuliko kujiimarisha na kuaminisha watanzania wana uwezo wa kuwatumikia.

Naamini kama Umoja Party wakirekebisha madhaifu hayo na mengine watafika mbali kama mbadala wa CCM.
Bora upinzan wa sasa kuliko hao UP ambao wanataka kuturudisha kweny falsafa.. Ukitaka kufanya jambo lako hakikisha unawapoteza wanaokupinga!! Bora upinzan uliopo kuliko turudishwe kweny utekwaji na kuteswa hasa ukipinga jambo lao!!
 
Muda mrefu hofu ya watanzania ni nani mbadala wa CCM kama CCM ikiondolewa?

Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi niseme kweli nchi yetu bado haijashuhudia chama cha kuiondoa CCM hata kama CCM imechokwa sana bado wanaliona tumaini ndani ya CCM kuliko nje.

Kuna tabia fulani fulani zilizokuwa zinasababisha upinzania kudumaa na kushindwa kusonga mbele nazo zilipelekea kifo chao. Tabia hizo ni pamoja na:

i) Kuonesha kushindwa kwa CCM huku nao wameshindwa kuonesha umuhimu wao. Hili lilikuwa ni kosa kubwa

ii) Kutokuwa na agenda za kusimamia badala yake ikawa inasimamia madhaifu ya CCM na madhaifu hayo yaliporekebishwa ikapelekea kufeli kwao.

iii) Kushindwa kushirikiana na CCM hata kwa mazuri yanayoonekana na badala yake wakawa wanatafuta mabaya katika mazuri

iv) Hamu ya Upinzani kuingia ikulu kuliko kujiimarisha na kuaminisha watanzania wana uwezo wa kuwatumikia.

Naamini kama Umoja Party wakirekebisha madhaifu hayo na mengine watafika mbali kama mbadala wa CCM.

Watu wa ofisini pigeni mahesabu hewa ya matamanio yenu ya ccm ndani ya hicho chama. Mtakapokuja mtaani mtagundua mnawaza kizee wakati kizazi kimeshabadilika. Kizazi cha sasa sio cha kuchaguliwa mke, bali kinachagua chenyewe. Mbinu za ccm kupandikiza vyama vya kuipa backup ilishafeli muda, na majibu mmeyapata kwa madalali wenu akina Mrema, Cheyo, Lipumba and the likes. Kiliteni hicho chama ndio mtajua hamjui.
 
Back
Top Bottom