Umasikini ni tabia; kuwa na vitu vya gharama bila kipato cha kueleweka ni hasara

Itug

Senior Member
Mar 19, 2011
195
68
Unakuta vijana wengi pesa wanazopata huishia kununua vitu vya luxury ambavyo ni liabilities na sio asset!

Ukiona unamtazamo huo basi hayo mawazo huleta umasikini. Vitu kama magari na huna kipato kinachoeleweka ni sawa na hasara!

Kupanga jumba la gharama na kipato chako ni kidogo ni sawa na hasara!
 
Wewe bwana umesahau kuwa kinachotufilisi vijana ni mbususu
 
Yaani mimi nipate laki moja tena nianze kujibana kununua asset. Wakati sijala sijavaa vizuri sijanywa utanisamehe tuu
Yaani et mkuu usile vizuri kisa assets!

Tunachojisahau watu ni kua et tuna muda mrefu saana hapa duniani..

Unaweza hangaika kutafuta assets kweli ukapata lakini the time unasema nianze kula sasa.. Israel mtoa roho huyooo
Refer kwenye biblia
 
Nyie ndio mnaoanza ufuska mkifika miaka 60 sababu unagundua huna zaidi ya miaka 10 uliobakisha ulimwenguni. Ila una pesa,magari na ma investment ya kufa mtu.

Mwisho wake ni kufia lodge kwa aibu ukiwa na dogodogo...Maisha ni sasa, ukiwa na hela tumia kupata kinachokufurahisha.

Kunywa,Kula vizuri the future is not promised for everyone!
 
Yaani et mkuu usile vizuri kisa assets!

Tunachojisahau watu ni kua et tuna muda mrefu saana hapa duniani..

Unaweza hangaika kutafuta assets kweli ukapata lakini the time unasema nianze kula sasa.. Israel mtoa roho huyooo
Refer kwenye biblia
Hahahahahah kweli kabisa! Kamua kwa uwezo yani, we waache wanaotegemea kuanza kula hela wakifika miaka 50!

Hujakaa sawa Kongosho imefeli mara kisukari hicho! Ulikuwa na 40 years za kula bata umeacha eti unameki kwanza😅😅😅
 
Maisha yako ya ujanani ndio yatakayo amua kama uzeeni mwako ucheze Golf au Draft.
Ni kauli za kujifariji tu hizi! Kama ulipangiwa uwe mcheza draft hata ubiduke vipi utaishia kucheza draft tu!

Unameki hela zinafika billion unasema uanze kula faida sasa, mara paap figo inafeli bill mill.5 kila week upo kitandani😂😂😂

Ukiponea chupuchupu lazma ukacheze draft tu😅
 
Back
Top Bottom