tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Agresive

    JamiiForums Tanzania Je, ni tabia yako ipi hutamani watoto wako wairithi na ipi unatamani wairithi?

    Nawasalimu katika jina la JMT. Kazi iendelee. Moja kwa moja kwenye mada. Katika maisha tunayoishi tunafanya mambo mengi na kupitia vitu kadhaa. Baadhi matendo ni mazuri mengine si mazuri. Pia baadhi ya Tabia ni njema lakini nyingine si njema. Pia kuna baadhi ya tabia si mbaya wala...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Muonekano na tabia za mwanamke zitaamua aina ya mwanaume wa kumtongoza

    UKIONA wanaokutongoza wote wamenyoa viduku[emoji64], wana mabrichi kichwani, wavaa milegezo na suruali zilizotoboka magotini.... Dada angu ujue tu Safari yako ya kuolewa bado ni ndefu!!! Wanaume wanaokutongoza wanatafsiri muonekano wako... Ndio mana hutongozwi na husband material!! Unafuatwa na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanificha mengi, naomba ushauri

    Ndugu zanguni habari zenu, nimekuja kwa ushauri wenu pamoja nakuweza kupanua mawozo yangu nakupunguza stress za kifamilia. Mimi nina mke na tumejaliwa watoto wawili (2) wakike na wakiume, Mwaka jana mnamo mwezi wa saba (7) mke wangu alinipa taarifa kwamba Mama wake mzazi (mama mkwe) anakuja...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

    Katika maisha ya vijana wengi mahusiano mengi yanakuwaga ni mwanaume kumtamani zaidi mwanamke hivyo mwanamke hugeuzwa chombo cha kustarehesha viungo vya mwanaume. Hapo mwanaume nae mara nyingi anakuwa na plan zake kwamba hapa najipigia tu, nikimchoka naenda kwingine. Hali inaweza kuwa tofauti...
  5. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Fahamu tabia za Wanawake wanaopenda zaidi pesa

    1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima. Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa chuo wanawake wengi waliokuwa wanapenda pesa Sana walikuwa na tamaa za kusikitisha ambazo zilipofusha fahamu zao. Unakuta...
  6. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Jinsi mikao ya mtu inavyosaidia kujua tabia yake

    Wakuu hamjambo? Leo nataka niongelee juu ya mikao ya mtu na maana yake na vile inavyoweza kusaidia kujua tabia yake mnapokuwa katika maongezi, Kwa kutazama picha hapo chini kama nilivyoanisha. Picha A :(IN OUT LEGS/MIGUU NDANI NJE) katika mkao huu, Mara nyingi wanawake ndo hupendelea kutumia na...
  7. frenderPH

    JamiiForums Tanzania Tabia za mwanaume mwembamba

    TABIA ZA MWANAUME MWEMBAMBA: 1. Anapenda wanawake vibonge (zawadi ya kudumu) 2. Ana uwezo wa kubuni nakutatua matatzo ya mpnzi wake,pia ni mtu mwenye hisia kal kwenye mapenzi 3. Ana nguvu kubwa katika biashara tena hupata mafanikio makubwa kutokana na juhud zake 4. Ni mwenye mawazo mengi...
Back
Top Bottom