tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Marufuku: Tabia zifuatazo kwa mwaka 2024

    Kwa mamlaka niliyojipa ninapiga marufuku tabia zifuatazo kwa mwaka 2024; 1. Kufungua threads za kuwasimanga single mothers. 2. Kukopa ovyo bila mpangilio na mwisho wa siku kujikuta kwenye matatizo yasiyo ya lazima. Waalimu wengi mzingatie sana hili. 3. Wanawake kuwapa kipaumbele viongozi wenu...
  2. JamiiForums Tanzania Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake

    Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka. Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024. Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

    Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka. Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024. Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tabia za Wapalestina za mauaji, utekaji, ubakaji wa mahujaji zilichochea mpango wa kuundwa taifa la Israel 1948

    Toka Dunia inaumbwa mashariki ya Kati imekuwa na vita. Lakini kwa palestina na Israel baada ya karne ya Sabin utawala wa kiyahudi uliangushwa na warumi walitawala na Ukristo na uyahudi ukashamili na kukua na kusambaa. Miaka 700 baadae uislam ukashamili na vita ikapigwa sana na sheria ngumu...
  5. JamiiForums Tanzania Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula. • Dar - - Mwanza • Dar - - Mbeya • Dar - - Kigoma • Dar -- Arusha • Dar --...
  6. JamiiForums Tanzania Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

    Habari wadau, Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama, mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani. Itakapofika tarehe 01-01-2024 Nataka niache: (01) Kunywa soda (02) Nataka nikae mwaka mzima bila...
  7. JamiiForums Tanzania Unaachana na tabia gani 2024?

    Heri ya krismass kwa wakristo wote Kuelekea mwaka 2024 imebaki wiki moja. Kunatabia ninaziacha mwaka huu👇 1. Kubeti 2. Futa account insta , fb na twitter 3. Kuacha kushabikia yanga 4. Kuacha kabisa ngono Na-replace na hizi tabia👇 1. Kufanya mazoezi 2. Sala 3. Kujipenda mwenyewe 4. Kusoma...
  8. JamiiForums Tanzania Wabongo wengi hawafanikiwi Majuu kwasababu ya Tabia wanazotoka nazo Bongo wanadhani na wazungu wanatabia hizo

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kiukweli nina wadau wangu kibwena sana wanaoishi majuu a.k.a Mamtoni. Jamaa huwa wananiambia kabla ya kwenda inapaswa nianze kubadili mtazamo,akili na muenendo!,Jamaa wanasema kule inapaswa Ujanja ujanja wa Kibongo na Uongo inapaswa siku naondoka...
  9. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania au ndiyo tabia za nchi za kiafrika kutopenda kutoa mrejesho wa matukio?

    katika tafiti zangu nimegundua kua chenye upinzani kinanguvu sana sababu hakina cha kupoteza wala kujitetea kwa watu ni kwamba mtu anaweza kutoa taarifa may be whistler blower ambaye anaweza kupata attettion kubwa public ila bahati mbaya sana akishamaliza kutoa taarifa bado hatowi mrejesho wa...
  10. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumbadili mtu mzima tabia?

    Moja kati ya mambo ambayo yatakuchanganya sana akili yako ni kudhani kwamba unaweza kumbadilisha mtu fulani tabia ili awe kama unavotaka wewe. Nikupe taarifa tu rafiki kwamba jambo hilo linauwezekano mdogo unaokaribiana na kushindikana. Na ikiwa utachagua kuamini kwamba haiwezekani kumbadilisha...
  11. JamiiForums Tanzania Je, uko tayari kuona mpenzi wako (mwanamke) anabeti?

    Pichani ni dada yuko ana bet katika moja ya websit za betting je, ni sawa kwako?
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita afungua kongamano la saba la Kiswahili la Kimataifa (Kiswahili na Diplomasia Duniani)

    Waziri Tabia Mwita Afungua Kongamano la Saba la Kiswahili la Kimataifa (Kiswahili na Diplomasia Duniani) Serikali ya Zanzibar imesema lugha ya kiswahili ina mchango mkubwa katika kukuza diplomasia ya uchumi hivyo ni wajibu kwa taasisi zinazofundisha lugha hiyo kuongeza kasi ya kuikuza na...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa na tabia ya mkono wa birika? Natoa sana kwa watu na nahonga sana. Uhongaji utanifilisi

    Wakuu habari za jioni. Wakuu naomba kukiri mimi usingekua uhongaji labda ningekua namkaribia msukuma kwa mpunga lakini sijui ni pepo nimelogezewa la kuhonga ama namna gani. Wakuu, inapokuja swala la kuhonga kwa kweli hua sijiulizi mara 2, kama ninacho natoa tu. Hili sio kwa wanawake tu, hata...
  14. JamiiForums Tanzania Huwa ni rahisi mtu kuwa na Tabia mbaya kuliko kuwa na Tabia nzuri.

  15. JamiiForums Tanzania Usipoacha tabia hizi hautakuwa huru kifedha

    Habari wakuu, Uzi huu unatokana na maisha anayoishi shemeji na mdogo wangu lakini pia naamini wapo wengine wanaoishi maisha kama ya hawa madogo. Ikumbukwe nimeleta uzi huu siyo kwa lengo la kuwabeza, kuwabagaza, kuwatweza au kuwadhihaki kwa namna yoyote ile bali kwaajili ya kuwapa wengine...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

    1. Kuna mdada aliandaliwa kumchafua DC Simalenga. Ustadi mkubwa ulitumika kufunika jicho na shavu la huyo mdada kwa bandeji iliyopakwa tomato sauce . Media uchwara zikategesha kamera mbele ya mdada na kurekodi shutuma kali dhidi ya DC kwamba amemnasa kibao kilichopelekea jicho na shavu...
  17. JamiiForums Tanzania Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

    Muhimu: Sifa ya kabila flani huwa haimaanishi ni watu wote bali ni umaarufu wa kuwa na wawakilishi wengi kiasi cha kusifika, hivyo haimaanishi kwamba wanawake wote wahehe / wabena ni wife material, Naomba tuelewane sifa hizi ni za kwenye maisha ya ndoa, huwezi fananisha uchumba wa sekondari /...
  18. JamiiForums Tanzania Tabia ya Watoto wadogo kuimba na kucheza nyimbo za kijinga na wazazi wanafurahia na kuwaona wajanja

    Kitu hiki ni janga kubwa sana kwa familia Nyingi za kitanzania, inanikwaza mno ninapoona mtoto mdogo anaimba nyimbo zenye mashairi ya hovyo au kucheza/kukata viuno na watu wakubwa wanacheka kwa kumuona mjanja sana. Hii ni mbaya na inamuaribu huyo mtoto Bila wewe kujua, ataanza kuiga marigo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tabia ya wachaga kurudi kwao Kilimanjaro kila ifikapo mwisho wa mwaka ni jambo zuri na la kuigwa na makabila mengine

    Niwapongeze sana wachaga kwa utaratibu wao wa kukutana kila ufikapo mwisho wa mwaka, Sababu zao kukutana ni kama ifutavyo 1. Kukutana na kuonana live ndugu jamaa na marafiki baada ya kupotezana kwa takribani mwaka mzima kwenye harakati za utafutaji. 2. Kusherehekea kumaliza mwaka salama kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita Aipongeza Tanzania Youth Icon (TAYI)

    Waziri Tabia Mwita Aipongeza Tanzania Youth Icon (TAYI) Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita ameupongeza Uongozi wa taasisi ya Tanzania Youth Icon (TAYI) kwa mpango wao wa ujenzi wa uwanja wa michezo wa Alabama. Waziri Tabia ameyasema katika hafla ya utiaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…