Makonda ana tabia zote za Hayati Magufuli

The Lastdream

JF-Expert Member
Jan 23, 2024
1,573
3,463
Habari wanajamvi?

Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.

Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana.

Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa, Makonda akamuita Mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.

Hivi Makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama Magufuli?
 
Staili na kasi ambayo makonda ameamua kwenda nayo ni hiyo ambayo wananchi wengi tunaitaka. Haiwezekani kero walizonazo wananchi zikae miaka mingi bila ufumbuzi Kama kwamba hatuna viongozi Mh.Makonda endelea hivo hivo Watanzania wazalendo wengi tupo nyuma yako kwa dua na Sala.
 
Aseee kata moja huko manyara wanakunywa maji ya matope kabsa makonda akawaita wale viongozi unaona mpaka wanatetemeka na mpaka wazir akapigiwa
 
Back
Top Bottom