Tabia ya wadada kuvaa tishet au blauz na kuacha maziwa yamening'inia ina maana gani?

Screenshot_20240103-224129.jpg
 
Yaani hii tabia iliyoibuka ya wadada kuacha maziwa yananing'inia, inatuweka wanaume mahala pagumu sana.

Mimi nadhani kwa upande wangu makalio yalikuwa hayanisumbui sana lakini hili suala la boobs wamenidaka.
Hakuna mwanaume rijali atakaye ona kifua cha mwanamke hasa hasa chuchu saa sita zikiwa nje ya sidiria akapona hakika hauko peke yako kama hii ni dhambi tutachomwa wengi sana
 
Sasa hivi wanaacha makalio nje kazi mnayo
 

Attachments

  • 45691CD9-3E5A-4502-A562-652EBA4F1139.png
    45691CD9-3E5A-4502-A562-652EBA4F1139.png
    1,016.6 KB · Views: 5

Similar Discussions

Back
Top Bottom