tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Desierto

    Je, unafurahishwa na tabia za mwanao?

    Niseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia, Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani, Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia Akichukua kitu...
  2. Mwanadiplomasia Mahiri

    Hivi tabia ya kupiga picha na hela, ni ujanja au ushamba?

    Naona watanzania kwasasa wengi wao wamekuwa na hulka ya kupiga picha na hela trna hela za kutosha. Je tabia hii wewe unaichukuliaje, ujanja au ushamba?
  3. covid 19

    Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

    Kama bandiko linavyojieleza sisi km binadamu tunatabia binafsi au mazoea fulani ambayo sisi wenyewe hatupendezewi nayo sasa huu uzi ni wa kila mtu kutaja tabia au mazoea yk ambayo unatamani uachane nayo ila imekuwa ngumu sana. Tafadhali kuwa muwazi huwezi jua ukasaidiwa kupitia hapahapa jamii...
  4. Gol D Roger

    Hii tabia ya kuhamisha viongozi waliofeli inazidi kuturudisha nyuma kimaendeleo

    Kuna tabia moja imekuwa inanishangaza sana kwa muda mrefu kuhusu uongozi wetu wa hii nchi. Sijui kwanini tupo hivi ila unakuta kiongozi wa serikali mfano amefanya mambo ya ajabu wizara flani baada ya kugundulika eti ana hamishwa ile wizara anapelekwa wizara nyingine. Mfano mwingine, Unakuta...
  5. J

    Wanasiasa na tabia za kizandiki ni Kama chapati na supu

    Nadhani kama ningepewa task ngumu zaidi ni kutafuta mwanasiasa mmoja asiye mzandiki. Nalazimika kuhukumu kwamba pengine siasa ni uzandiki na uzandiki ndio siasa yenyewe. Mjadala wenye afya kwa taifa unakuwa mzuri, Hadi pale wanasiasa wanapouteka nyara. Hoja ya katiba mpya na bandari ni...
  6. Hyrax

    Kuna Jambo linanikwaza hapa: Naomba kufahamu tabia za mwanamke anayefanya umalaya kwa siri

    Kuna mwanamke ninaye yaani kila nikitafakari naona napigwa akinitafuta ujue anaomba hela, nikishamtumia hata kushukuru hawezi ukimwomba mapenzi ananizungusha zungusha mpaka tugombane ndio atanipa sasa kivumbi jana usiku nimerudi zangu job nimekaa sebuleni kucheki movie nikaingia whatsapp...
  7. sky soldier

    Tunaombeni uzoefu wenu wale mlioweza kuwatoa mabinti bush kuwaleta mjini, wana nafuu ?

    Kwa wale mlioweza kuwatoa mabinti huko vijijini na kuwaleta mjini, - kero ni zipi -raha ni zipi -mambo yapi ya kuzingatia -gharama -n.k.
  8. B

    Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

    wanasema ukiyajua matatizo yako bàsi unaenda kupona. Lakini kwangu ni tofauti mimi ni mama wa watoto 2, baba wawili tofauti... Ninatatizo sijui linatokana na nini na ni hali ambayo kwa sasa nimegundua ninatatizo na najichukia lkn siwezi kujicontrol 2013 niliolewa na kijana mzuri anakazi nzuri...
  9. Bwana Bima

    Viongozi acheni tabia ya kila kukicha kusimanga vijana

    Huu utaratibu wa mawaziri,manaibu waziri na viongozi wengine kuwasimanga vijana kwamba ni watumia pombe unapaswa kukemewa sana. Naongea hivi nikiwa na sababu za msingi kadhaa; 1) Si kweli kwamba vijana wote ambao maisha yamewachapa na kuangukia kwenye pombe ni wavivu kufanya kazi. Wapo wachapa...
  10. Gol D Roger

    Utashi wa kifikra wa vijana wengi wa kiume unazidi kupungua kwa kuendekeza kuangalia video/picha za ngono

    Utafiti wa BBC unasema asilimia 37% ya internet search history zinahusiana na haya mambo na asilimia 35% ya downloads zote kwenye internet zinahusiana na haya mambo, vilevile asilimia kubwa ya watu wanao-search haya mambo ni wanaume tukiwa na asilimia 80% na wanawake asilimia 20% Tasfiri yake...
  11. KING MIDAS

    Ujue mto Lukuga, mto wenye tabia zote mbaya, mto mwizi, mto jeuri, mto muuaji, mto hatarishi kwa kila aina ya mazingira

    Huu ndio mto LUKUGA, uliochipuka kutokea Ziwa Tanganyika (Nashindwa kupata kichwa cha habari kinachofaa kubeba maelezo haya) Mto Lukuga ni kijito cha 'Mto Lualaba' katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) unaochota maji ya Ziwa Tanganyika na kuyamwaga kwenye mto Kongo, kisha Mto Kongo...
  12. Desierto

    Jitahidi sana mwanao asiwe na tabia hizi?

    Kuna tabia flani mwanao akiwa nazo unayepata shida ni wewe mzazi 1. Mtoto kulilia kitu cha mgeni au chakula ulichowatengea wageni, 2. Akiwa anacheza na wenzake akiguswa tu kidogo kilio na machozi, 3. Kususa kitu kisa kimekatwa au kimepunguzwa mbele ya macho yake, 4. Mchana ukimwambia alale...
  13. Crocodiletooth

    Mabadiliko ya tabia utu haya dhahma tupu!

    Men in the past, men of today!
  14. Chizi Maarifa

    Kwa Tabia zangu Zilivyo. Ningeambiwa nichague kuwa Yesu Masihi Au Mtume Muhamad leo hii

    Wala nisingepepesa macho. Ningechagua kuwa Mtume Muhamad. Tabia zangu na zake zinaendana sana. Napenda sana maisha ambayo aliishi kutokana na tabia zangu. Maisha ya Yesu Masihi yalikuwa magumu sana na ya kubore. Hayakuwa na chereko chereko, hakuwa aki enjoy life. Mimi ningeamua kuishi kama...
  15. GENTAMYCINE

    Tunaosafiri leo kwenda Kigali tabia zetu za wizi, kukojoa, kuvuta bange na 'kuukweka' hovyo tuziache Dar es Salaam

    Tunajuana na ndiyo maana nimeamua kutoa tahadhari mapema nikiamini wanaoenda Ndola Zambia ni Wastaarabu mno. Kuukweka ni Kujisaidia Haja Kubwa. Ni Lugha ya Wazaramo hiyo na Mimi GENTAMYCINE ni Mzaramo Mzanaki Mmakuwa.
  16. TUKANA UONE

    Kumpiga mgoni wako hakutabadilisha tabia ya usimbe ya mkeo

    Nilishawaambia sihitaji salamu, ukitaka salamu rudi huko kijijini kwenu! Waswahili na Ujinga ni kama Mapacha vile! Huwa nashangaa sana mwanaume mwenye akili timamu anapomfumania mkewe yeye huanza kupambana na mwanaume mwenzie badala ya kupambana na mkewe! Aliyekwambia kumpiga na kumdhalilisha...
  17. jebs2002

    Hii tabia ya Wanawake kuibiwa hela imeshamiri sana!

    Ni majanga. Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto! Au nikiwa ndani ya daladala, nafikiri yule kijana pembeni yangu alipulizia madawa ya usingizi au ya kulevya, akanikokota...
  18. Half american

    Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

    UNAAMBIWA Lionel MESSI hajawahi kumgusa mwanamke mwingine zaidi ya mkewe Antonela Roccuzzo aliyeanza naye mahusiano tangu utotoni huko Rosario, Argentina. Mnamo 2017, Messi na Antonella walifunga ndoa iliyotajwa kama ‘ndoa ya karne’ na kujaaliwa watoto watatu Thiago, Mateo na Ciro. Raccuzzo...
  19. Miss Zomboko

    Je, tunafahamu ''Pedophile'' ni nani na ana tabia zipi?

    Mtu mzima anayependa/kuvutiwa kufanya mapenzi na watoto wadogo, kitaalamu anajulikana kama pedophile kwa lugha ya kiingereza. Hii ni hali ya kiafya ambayo inamfanya mtu mzima kuvutiwa kufanya mapenzi na watoto ambao hawajafikia umri wa kubalehe. Hakuna wasifu thabiti wa kumtambua ‘’pedophile’’...
  20. Roving Journalist

    NEMC yatoa angalizo tabia ya wenye mabasi 'kuchimba dawa' na kutupa taka Ovyo porini wakati wa safari

    Mkurugenzi wa Baraza la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Samuel Gwamaka amezungumza na waandishi wa habari na kusema: Moja ya jambo ambalo limekuwa likifanyika mara kwa mara kama mazoezi ni mabasi ya abiria, malori na magari yanayofanya safari ndefu kuwa na kawaida ya kusimama porini kwa...
Back
Top Bottom