Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Familia moja inayoishi eneo la Kimara imepoteza watu 5 yaani mama na watoto wake wanne waliokufa kwa kukanyagwa uwanja wa uhuru wakati wa kumuaga hayati Magufuli

Kamanda Mambosasa wa kanda maalumu ya Dar es salaam amesema atatoa taarifa kamili ya yaliyojiri kama kuna vifo na majeruhi siku ya Jumanne.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!

PIA SOMA>> Tetesi: - Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu wapoteza maisha kutoka na msongamano
 
Back
Top Bottom