Kuna hizi taarifa naona zimezagaa kote kwamba kampuni ya Coca Cola imeng'ang'ania kuajiri Mkenya awe mkurungezi wa tawi lake Tanzania, ila kwamba Tanzania imemkatalia kama ambavyo imekua desturi sasa, ambapo haya makampuni ya kimataifa yanatumia hela nyingi sana kusaka nani mwenye weledi na...
Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya...
Muda ni kuanzia saa 5 asubuhi
Eneo ni Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Lumumba Jijini Dar es Salaam
Tafadhali usikose
Tafadhali mjulishe Mwenzako
Tuna Jambo Letu
TAARIFA YA MCHAKATO WA SIMBA KWENDA KWENYEMABADILIKO.
- Tume ya Ushindani (FCC) haihusiki na ucheleweshwaji wa mchakato wa Mabadiliko ndani ya Klabu ya Simba SC kama ilivyoelezwa na viongozi wa Klabu hiyo Siku chache zilizopita.
-Tume ya ushindani Tanzania (FCC) imeuuliza Uongozi wa...
Wadau pokeeni salaam kutoka Mwanza,
Huu uzi utakuwa mahususi kwa taarifa mbalimbali kwa wala bata walioko Mwanza hata wageni, unaruhusiwa kuuliza taarifa yoyote itakayokufanya ule bata na kufurahia neema za Mungu zinazopatikana katika jiji hili tamu na zuri.
Karibuni sana.
TANZANIA KUTOKUWA NA CORONA KATIKA TAARIFA ZA JANA ZA DUNIA KUMEWACHENGUA WAZUNGU.
Leo 18:30hrs 16/11/2020
Leo nilizungumza na Wachina waliokatazwa na nchi yao ya China kurudi kwao China kwa sababu huu ni msimu wa baridi China na kama mtakumbuka mwezi huu ndio kicorona kilianza uko China...
The International Criminal Court (ICC) in The Hague, has confirmed receipt of two formal letters alleging human rights violations by the Tanzania government in the wake of the October 28 election and its aftermath.
The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), one of the main...
Katibu mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba, Profesa Sifuni Mchome amesema Serikali haijapata taarifa hiyo, na kueleza kuwa watu hao wamekamatwa kwa mujibu wa sheria.
Taarifa iliyotolewa jana katika tovuti ya shirika la Umoja wa Mataifa na Kamishina wa Shirika la Haki za Binadamu la Umoja wa...
ITV ndiyo chombo cha habari ambacho kimekuwa kinafuatiliwa zaidi na watazamaji hasa Taarifa ya Habari ya saa 2:00 Usiku, ukienda bar nyingi ukifika saa 2 tu utaona wanaweka taarifa ya Habari.
Muinekano wa studio na muinekano wa picha uko vizuri
Lakini pamoja na kuwa nawatazamaji wengi...
Nipashe Online
Diwani mteule wa Kata ya Kikongo (CCM) Wilaya ya Kibaha, Fatuma Ngozi amefariki dunia na wajukuu wake wawili usiku wa kuamkia leo baada ya nyumba yake kuchomwa moto na watu wasiojulikana.
HabariLeo Online
DIWANI MTEULE AFARIKI KWA MOTO KIBAHA
Diwani Mteule wa Kata ya Kikongo...
POLISI HATUNA TAARIFA KUWA LISSU AMETISHIWA KUUAWA
Jeshi la Polisi limesema halina taarifa ya madai yaliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa ametishiwa kuuawa na watu ambao hawajajitambulisha.
Akizungumza na Gazeti ya Mwananchi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Je, upi ni uamuzi mzuri na sahihi kati ya kuizima simu usiku au kuiacha ikiwa inawaka? Kupata taarifa mbaya (msiba) Vs Kupewa ujumbe mwema (Uvamizi)?
Kuna siku moja mwaka juzi rafiki zangu waliwahi...
The Commonwealth Secretary-General, The Rt Hon Patricia Scotland QC, has strongly urged authorities to investigate allegations regarding the recent general election in the United Republic of Tanzania of serious electoral irregularities, violence and of deaths, particularly in Zanzibar...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka Zanzibar. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
ORODHA RASMI YA WAGOMBEA WANAOWANIA URAIS KWA MUJIBU WA ZEC
ORODHA RASMI YA WAGOMBEA WANAOWANIA UBUNGE KWA MUJIBU WA ZEC...
Musoma. Baadhi ya wakazi wa kata ya Bweri manispaa ya Musoma wamelalamika majina yao kupelekwa katika vituo ambavyo hawakujiandikisha kupiga kura na kusababisha watembee umbali mrefu kwenda vituo vingine.
Wakizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatano Oktoba 28, 2020 kwenye kituo cha Bweri FDC...
Habari wadau, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada.
IP Adress (Internet Protocol) ni anwani ambayo device mfano simu au computer inakua nayo pindi inapokua imeunganishwa na intaneti hivyo mtu mwingine kuweza kujua mmiliki wa hiko kifaa ni nani.
VPN (Virtual Private Network) ni simulator...
Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia Mtandao wa Tigo
PIA SOMA
= >...
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa ya yanayoendelea Pemba, taarifa hiyo imeandaliwa na Maalim Seif na kutolewa kwa Umma
=======
Taarifa zilizothibitishwa kutoka Pemba zinasema wananchi watatu wameuawa kwa silaha za moto na Jeshi la Polisi kuelekea mwanzo wa upigaji kura siku ya kesho...
Kuna Taarifa zinazunguuka mitandaoni kuwa REDET wanajipanga kutoa ripoti ya utafiti wa mwenendo wa kisiasa nchini kesho tarehe 27/10/2020.
Kama REDET watatoa taarifa hizo wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi wa rais na wabunge siku ya pili yake itakuwa ni ubakaji wa hali ya juu ya tasnia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.