taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taarifa kwa Wanaoagiza Bidhaa Kutoka China

    Hello Everyone! Tahadhari muhimu kutoka ubalozi wa Tanzania nchini China. Tunatakiwa kufanya yafuatayo Ili kuepuka kuibiwa na makampuni hewa👇
  2. U

    Taarifa: Angel Kagame Binti wa Rais Kagame apata Mtoto wa pili

    Hongera sana kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda Kupata Mjukuu wa pili Nimeambatanisha picha ya Mjukuu mkubwa wa Rais Kagame akimbeba kwa furaha mdogowe Angel ndiye Binti pekee wa Rais Kagame President Paul Kagame on Wednesday announced the birth of his second grandchild, born to Ange I. Kagame...
  3. Dar: DC Gondwe ashindwa kuwalinda waliompa taarifa za Siri, wote waachishwa kazi

    Salaam Wakuu, Mkuu wa Wilaya Godwin Gondwe alipokuwa Mkuu wa Wilaya Temeke, kulikuwa na Mgogoro Hospitali ya Dar Group. Gondwe akaitembelea, na kuwaambia Wafanyakazi na Madaktari wafunguke matatizo yao kwamba atawalinda. Watu wakajiachia. Leo kahamishwa Wilaya kapewa Jokate. Wote walioongea...
  4. Google yatuhumiwa kuuza taarifa za watumiaji wake kama mitazamo yao ya kisiasa na jinsi wanazopenda

    Google na kampuni nyingine za teknolojia zimeshutumiwa kukiuka kanuni za ulinzi wa taarifa za Ulaya(GDPR) ambapo wanatoa taarifa za watumiaji kwa mamia ya watangazaji. Wadai wamefungua madai hayo kwa mamlaka za Uingereza na Ireland kwa niaba ya Brave na Open Rights Group. Brave inadai...
  5. M

    SI KWELI Shirika la Afya Duniani(WHO) lawatahadharisha mikate ya kuoka kuwa inasambaza COVID-19

    Hivi karibu kumekuwepo na taarifa ya kuwataka watu kutokula vitafunwa kama vile mikate n.k kwa ajili ya kuepuka maambukizi ya CoronaVirus Taarifa hiyo ili kupewa uhalali wake, iliambatanishwa na nembo ya Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa(WHO) imesambaa kwenye Mitandao ya Kijamii ikidai watu...
  6. M

    SI KWELI Treni ya Mwendokasi kuanza safari Juni 21, 2022 kutoka Dar kwenda Morogoro

    Kanusho la taarifa ya kuanza kwa huduma za safari za treni za kisasa Dar es Salaam - Morogoro.
  7. M

    KWELI TRA Wakanusha suala la Mtandao wao kusumbua nchi nzima

    TRA Wamekanusha Taarifa zilizoandikwa JamiiForums zilizodai Mtandao wao kusumbua. Wamesema ni taarifa ya Uongo na Uzushi. Kwani imelenga kupotosha na kuleta taharuki miongoni mwa Walipa Kodi pamoja na kuidhalilisha taasisi na Watumishi wake. Katika kipindi cha mwezi mzima, TRA haikuwa na...
  8. N

    Ni afya kwa Serikali kutoa taarifa za mapato na matumizi ya tozo ya miamala mara kwa mara

    Serikali ilipiga kampeni kali ikielimisha juu ya umuhimu wa tozo ya miamala kuwa ingejenga miundombinu mbalimbali nchini ili kuboresha huduma kwa wananchi. Mwanzo wananchi walipiga kelele juu ya utitiri wa kodi au tozo mbalimbali jambo lililofanya serikali kujitokeza na kutolea...
  9. SoC02 Uduni wa taarifa(Data), ni chanzo cha huduma mbovu za afya

    Ubora Wa Taarifa (Data Quality), Ni mnyororo wa Taarifa sahihi za mtu, kitu au huduma Fulani katokana na mahitaji au Mazingira ya Umuhimu wa taarifa hiyo. Huduma Bora ya Afya, Ni Mnyororo sahihi wa upatikanaji wa taarifa za kiafya kutoka kwa Watoa huduma, Kituo Cha Afya au kitengo maalumu kwa...
  10. Kupunguza migogoro ya ardhi Wizara ya Ardhi iweke ramani na taarifa muhimu online

    Ramani za miji kwa maeneo yaliyopimwa ni public document. Migogoro mingi ya ardhi inakuwepo kutokana na double allocation. ( Ardhi moja kuuziwa kwa watu wawili). Itungwe sheria itayopelekea ramani za maeneo yaliyopimwa na ambayo bado kuwa online na kuwa access upon payment of a certain fee...
  11. Taarifa ya tahadhari na ya haraka kwà RTO wa Morogoro

    Kuna boda boda wanapanga kufanya mashindano na wamewekeana dau la laki moja. Ishu iko hivi wamepanga kukimbia bila kufunga break at a maximum speed a motorbike may afford kituo cha kuanzia kiko daraja la Msamvu na mwisho ni Kingolwira. Atakaewahi kufika na kugeuka atapata laki moja na wameweka...
  12. IMEISHA HIO: Kuomba msamaha kwa Haji Manara sio taarifa njema kwa Simba waliodhani kwamba atasimamishwa, Wembe ni ule ule

    Tunaendelea tulipoishia! Hapa hafungiwi mtu, Manara ataendelea kuwapelekea simba moto kama kawaida, hizo ndoto za abunuwasi kwamba Manara atafungiwa msahau, Sana sana Manara ataambiwa alipie faini ya milioni 5 na ataendelea na majukumu yake Wananchii !!! Makombe yaendelee!!!
  13. Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

    Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti kuu ya serikali, hotuba yako, ukurasa wa 44, unasema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km kwa US$2.1 bilioni (Sh4.89 trillioni). Wakati tunajua umewapa kandarasi CCECC. Katika mfumo wa...
  14. Taarifa kwa mnaoiba simu: Nimeamua kuacha simu yangu bila password yoyote. Guseni mnase

    Najua kuna umuhimu mkubwa sana wa kulinda simu kwa password sio kwa WEZI tu ila kulinda data zangu pia. Ila niwape taarifa wezi wote wa simu kwamba, mkiiba simu yangu hamtapata shida ya kwenda kuflash wala nini. Mniibie tu NINA UHAKIKA MKIIBA NITAIPATA TU TENA NIKIWA NIME RELAX.. UKIILETA...
  15. Naombeni kujuzwa taarifa za wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha 5 au chuo Awamu ya pili 2022/2023

    Habari zenu wakuu,, naombeni mnisaidie kama ipo tayari PDF ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha 5 au chuo kwa awamu ya pili
  16. Ni Taarifa gani nzuri au kitu kizuri ulishawahi kuipata/kupata ukamshukuru Mungu/Mwenyezi Mungu?

    Hello wakuu, Habari ya weekend, hivi ni taarifa gani nzuri ulishawahi kupata ukaishia kumshukuru Muumba, Mimi nakumbuka kwenye matokeo ya std 7 st Kayumba, nilichaguliwa kidato cha kwanza kwenda boarding school, na mtaani kwetu ilikua ukifaulia mbali kidogo au boarding unaonekana noma,sasa...
  17. Wale mnaokurupuka kuja kutoa Kwetu taarifa za Mgonjwa Mahututi au Kifo muwe makini kwani kuna Siku tutawasindikizeni na Vipigo tu

    Kuna Mtu Kanikera mno leo asubuhi kaja haraka haraka kunipa Taarifa ya Mtu aliye Mgonjwa Mahututi huku akiniharakisha Kuvaa ili twende Zahanati ya Awali ili Kumuona na tutoe Msaada Kwake cha Kushangaza kufika pale nikakuta Maelezo yake na nilichokikuta kwa Mgonjwa Mahututi husika ni Vitu viwili...
  18. Ukraine: Maafisa wanaodaiwa kutoa taarifa za kiintelijensia kwa Urusi wakamatwa

    Kwa mujibu wa Idara ya Usalama ya Ukraine, Afisa wa Juu wa Serikali pamoja na Kiongozi wa mwingine katika masuala ya Biashara wanaoshukiwa kuwa sehemu ya Mtandao wa Urusi wamewekwa kizuizini Inadaiwa wametoa taarifa mbalimbali zikiwemo zinazohusiana na uwezo wa Ulinzi/Usalama wa Ukraine na...
  19. Epuka wizi wa taarifa zako binafsi kwenye simu kupitia nyaya za USB

    Salaam Wakuu, Katika kuendelea kukumbushana umuhimu wa kulinda taarifa binafsi, leo nimeona nieleze kwa ufupi suala la wizi wa taarifa binafsi unaofanywa kupitia nyaya za kuchajia simu (USB). Tazama kwenye picha hapa chini: Picha> USB Cables za aina mbalimbali Ni wazi kuwa kutokana na sababu...
  20. I

    Nifanyeje ili taarifa zangu muhimu zilizopo ndani ya simu zisiingie mikononi mwa mtu pindi ikiibiwa?

    Mimi ni mdau mkubwa wa kusevu taarifa mbalimbali kwenye account yangu ya google. Ninahofia sana kipindi nikipoteza simu, watu watakua na uwezo wa kuona taarifa mbalimbali nilizosevu kwenye akaunti ya google ikiwemo mpaka password za kuingia kwenye mitandao mbalimbali. Hivi je kuna usalama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…