Zimbabwe: Msemaji wa Chama cha Upinzani apigwa faini kwa kusambaza taarifa za Uchochezi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
MAHERE.jpg

Mahakama Nchini Zimbabwe imemtoza Fadzayi Mahere ambaye ni mwanasheria na mwanachama wa Chama cha Wananchi (CCC), faini ya Dola za Marekani 500 (Tsh. Milioni 1.17) baada ya kumkuta na hatia ya kusambaza taarifa zilizotajwa kuwa ni uongo kupitia Twitter.

Mahere alikamatwa miaka miwili iliyopita kwa kuchapisha video na kueleza kuwa Mafisa wa Polisi walimchapa Mtoto kwa fimbo na kumuua huku taarifa za Polisi zikieleza kuwa Mtoto huyo alikuwa hai na hakujeruhiwa.

Kesi hiyo iliibua utata kutokana na Msemaji huyo kushtakiwa kwa sheria ambayo ilifutwa na Mahakama ya Katiba kwa kuwa ilikuwa kinyume Uhuru wa Kujieleza, ingawa Serikali bado inaendelea kuitumia.

=================

A court in Zimbabwe has fined the spokeswoman of the main opposition party $500 (£400) after convicting her of spreading false information on Twitter.

Fadzayi Mahere is a prominent lawyer and member of the Citizens' Coalition for Change (CCC), which is challenging President Emmerson Mnangagwa in this year's elections.

She was arrested two years ago after posting a video in which people said a police officer had fatally struck a baby with a baton when in fact the child was alive and not injured.

Ms Mahere’s relatives sobbed in court as the verdict was read out. The prosecution had called for a jail term, but the magistrate decided to fine her.

The magistrate said Ms Mahere had undermined the authority of the police and should have verified the information.

The case is controversial as the law under which she was convicted no longer exists. The Constitutional Court struck it down because it violated freedom of speech. But the state continues to use it, especially against its critics.

BBC
 
Back
Top Bottom