swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Swali: Je ni kitu gani ambacho familia au wazazi wako hawajui kukuhusu

    Hi guys, Mambo vipi? Mada inajieleza. From other social network. Binafsi hawajui kuwa nasota kiasi cha kutaka kurudisha mpira kwa beki. Aha Twende kazi na wengine.
  2. JamiiForums Tanzania Raisi akiulizwa swali lolote la kesi iliyoko mahakamani akatae kujibu

    Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko mikononi mwa mhimili wa mahakama. hana haja Hata ya ku comment chochote aseme tu no comment Hilo liko...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako akikuuliza swali ili utamjibu nini...

    Mwanangu Wa darasa la 3 kaniuliza swali ili .... Baba, sisi ni watanzania na tumepata uhuru , mbona shuleni tunakatazwa kuongea kiswahili na tunalazimishwa kuongea English tena wameweka na bango NO ENGLISH NO SERVICE...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini waliozaliwa katika familia maskini wana nafasi kubwa na wao kuwa maskini kuliko waliozaliwa katika familia tajiri?

    Ni swali fikirishi kidogo ukiangalia wengi wanaotokea familia maskini wengi huishia kuwa masikini ni wachache sana ambao hutoboa kimaisha. Au ndo tuseme umasikini mtu anaweza kuurithi? Mfano: mawazo ya kimasikini kutoka kwa baba yanaweza kuhamia kwa mtoto kama baba hakuwa na vitega uchumi...
  5. JamiiForums Tanzania Usindikaji wa gesi ya kupikia Kinyerezi

    Naomba kuuliza, hivi hii mitungi ya gesi ya kupikia gesi yake huwa inatoka Mtwara au huwa tuna-import kutoka nje? Whatever the case, lile bomba kubwa la kutoka Mtwara hadi Kinyerezi, gesi yake imeshaanza kusindikwa pale Kinyerezi kwa ajili ya matumizi ya kupikia ya wana Dar-es-salaam? If not...
  6. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Furaha Kwishnei?

    Watu walishangilia na kugongeana bia.. Wapo waliocheka kwa sababu sasa wanaaenda kupumua kidogo... Wapo waliofurahia hela kurudi mitaani aka "mzunguko wa fedha kuongezeka"... Wapo waliosema "sasa hatufokewi foreign tena" ..na kuwa "nchi ina tabasamu". Furaha imerejea tena, kicheko kimerudi...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya 'Social Enterprise' kwa Kiswahili

    Hamjambo? Naomba tafsiri ya 'Social Enterprise' kwa Kiswahili fasaha.
  8. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi kwa waliooa au kuolewa

    Habari za kazi waungwana Mie nina swali fikirishi kwa walio oa au kuolewa. Swali lenyewe liko hivi: Pale mzazi wa mke wako au mme wako anahitaji kutolewa figo, kwa kuwa figo zake zimefeli. Sasa basi mwenza wako akataka kutoa hiyo figo kwa mzazi wake, utamruhusu? Picha haihusiani ila uzi bila...
  9. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu la Jumamosi: Hili Soko la Bilioni 32 litakuwa na Vitu Gani Ndani?

    Soko la Kariakoo litajengwa upya; inakadiriwa na kudaiwa kuwa serikali itatenga bilioni 32 kulijenga upya. Hili si jambo baya. Ila naomba kuuliza kwa hizo bilioni 32 Watanzania watarajie nini kwenye soko hilo kubwa na maarufu zaidi nchini... Japo hii bilioni 32 kwenye hela yetu inaweza kuwa ni...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi za Magharibi zinalenga kuzigawanya nchi nyingi za Afrika?

    Mpaka sasa, Jambo lilo wazi katika vita ya Ethiopia ni mkono wa nchi za magharibi katika mgogoro huo. Baadhi ya viashiria vinavyoonyesha mkono wa nchi za magharibi katika vita hiyo: matumizi ya magari ya FAO yaliyopeleka msaada wa vyakula na waasi wa TPLF. Ushahidi wa Marekani na washirika...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Reggae, ujumbe na swali kwa mabeberu watibuaji wa amani duniani.

    Kuhusu mwimbo huu kiufupi. Elimu hata kuhesabu kuligunduliwa na Mwafrika mweusi, hata chuo kikuu cha kwanza duniani kilikuwa Mali, na Wayahudi wa kweli walioandika Biblia hasa agano la kale walikuwa Waafrika weusi kule Mashariki ya kati baada ya utumwa Misri. Kwa hiyo Waafrika na watu weusi...
  12. JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Membe ni Jasusi Mbobezi au Doezi?

    Nimesoma mahojiano ya Mheshimiwa Membe na Gazeti la Jamhuri akilalama kwamba Marehemu Magufuli alimuwekea roho ya Korosho ili asiwe Katibu Mkuu wa Jumuia ya Madola.Kasema mengi ikiwemo jinsi hiyo “Roho ya Korosho” ilivyopelekea Membe kukosa donge la pesa zinazofikia paundi Bilioni Saba za Common...
  13. JamiiForums Tanzania Kimeumana Bungeni! Spika Ndugai ahoji kama kuna mgao wa umeme nchini

    Spika Job Ndugai amehoji tatizo la kukatika kwa umeme nchini na kuitaka kamati ya nishati kukutana haraka na bodi ya mpya ya Tanesco ili kuwaeleza kazi kubwa iliyoko mbele yao. Sakata hilo liliibuliwa na mbunge wa Kilombero mh Abukary Assenga aliyetaka kujua ni kwa nini Tanesco wanakata umeme...
  14. JamiiForums Tanzania Swali: Je, Mwanamke wa Kizungu huwa anakula Udongo pindi anapopata Ujauzito?

    Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito? Mwenye majibu anisaidie hapo.
  15. JamiiForums Tanzania Swali kwa wanywa pombe na walevi

    Naomba kuwauliza walevi na wanywa pombe, hizi hii pombe aina ya Hennessy ina vitu gani special ama vya kipekee? Maana kila matangazo ya night clubs, bar na lounges zetu hapa Tanzania mitandaoni naona ni Hennessy tuuuu, sioni vinywaji kama Kvant, Konyagi ama viroba. Kwa kua mimi sio mnywa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu NSSF kwa waliowahi kulipwa fao la kukosa ajira

    Naomba kuuliza kwa wale ambao wameshawahi kulipwa fao la kukosa ajira. Inapotokea kwenye akanti yangu ya NSSF kwenye status inaonyesha Approved na salio linasoma 0.00 huwa inachukua siku ngapi mpaka pesa kuingia kwenye akaunti ya benki ya mwanachama ? Asanteni kwa mtakaonijibu...
  17. JamiiForums Tanzania Swali: Hivi ni nani aliyetufundisha Waafrika kula rushwa na kufanya ufisadi?

    Habari! Karibu nchi zote za Afrika rushwa na ufisadi viko katika kilele. Hata hapa ninapoandika wasomaji wengi mmewahi kutoa au kupokea rushwa. Haijalishi ulitoa elfu 5 ya brush kwa afande Juma ulipozidisha mwendokasi au ulitoa elfu 10 kwa mhudumu wa mahakama akugongee muhuri documents zako kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa swali lifuatalo

    Swali la nne vipengere vyote
  19. JamiiForums Tanzania Swali, yupi wa kuoa, anayekupenda zaidi au unayempenda zaidi na kwanini?

    Habari zenu wana jf Uzi wangu wa kwanza huu nitililike kwenye mada. Kijana mwenzenu naelekea kutwaa jiko ivi karibuni ivo nlitaka kufahamu ni aina gani ya mke ni sahii kuishi nae maisha ya ndoa ili kama nimeingia cha kike njipange hesabu za kuish nae ama kama nmepatia niingia mazima. Huyu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Swali Kwa Wataalam wa ndege (birds)

    Naomba kujuzwa ni kitu gani hasa kinachomuongoza ndege kuchagua mwenzi wake anayemfaa? Maana huwa napendezwa sana ninapowaona ndege dume na jike wakishirikiana kwa utaratibu na wororo mzuri sana!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…