Uliza swali lolote kuhusu Botswana au Afrika Kusini na nitakujibu

Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,030
2,000
Wazawa weusi na nyie mnaolowea huko mna mpango gani wa kuwaondoa makaburu ili mkamate sekta muhimu ya uchumi kuweza kuendeleza nchi yenu na siyo kuishia kuwa watumwa na manamba wa makaburu.....
 
Soweto2006

Member
May 8, 2021
45
150

hakuna kosa kubwa kama kuwaza kumwondoa kaburu nchi hii,kaburu akiondoka na nchi inakufa manake ndiye ameshika uchumi,mwafrica ameshika siasa,
kaburu ana uwezo mkubwa kwenye mambo yao ya utendaji,kama ni mkulima anakuwa mkulima kweli do or die,sisi hatuwezi bado tutulie tu hapa Johannesburg tuuze matunda na ndizi za kaburu
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,030
2,000
hakuna kosa kubwa kama kuwaza kumwondoa kaburu nchi hii,kaburu akiondoka na nchi inakufa manake ndiye ameshika uchumi,mwafrica ameshika siasa,
kaburu ana uwezo mkubwa kwenye mambo yao ya utendaji,kama ni mkulima anakuwa mkulima kweli do or die,sisi hatuwezi bado tutulie tu hapa Johannesburg tuuze matunda na ndizi za kaburu
Yaa, nafikiri na ile kuwanyima fursa ya elimu wazawa ilifanya wabaki kuwa wacheza ngoma, imagine rais wa nchi kama Zuma naye anacheza mangoma ya asili, ninachoamini ukombozi wa SA ulitakiwa utoke nje ya SA kwa kutumia walowezi weusi wa kutoka nchi mbalimbali za kiafrika kuweza kuhamasisha wazawa wadai fursa zaidi kwenye mambo ya elimu na uchumi....
 
mindset ya mzawa mweusi ni mbaya sana na imewaletea umaskini mkubwa sana,tatizo kila kitu hapa kinafanywa na serikali,elimu,afya,gharama za kuishi kama maji na umeme vyote vinafanywa na serikali,mzawa akizaa mtoto atapewa R400 sawa na Sh 80000 kwa mwezi mpaka mtoto atimize miaka 18,ssasa utakuta wazawa wanashindana kuzaa manake anajua akizaa 10 ana R4000 pamoja na free services
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom