Swali kwa wanawake

Usalama barabarani

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
868
1,063
Eid mubarak wana JF!

Ni hivi, assume kuna mwanaume ulivutiwa nae sana muda mrefu mpaka ukatamani kuwa nae kimahusiano ila yeye hakukupa attention kiiivo kama unavotaka iwe kwa sababu zake mwenyewe.

Siku ya siku mwanaume huyo vuuup akaja kwako ndo mpo nae sebuleni sasa wewe nayeye! Awali ya yote utafanya nini? Je sikuyako hio itaishajeishaje nahuyo mtu??
Wanaume pia ruksa kutoa maoni.
 
Ukimvutia mwanamke then ukampotezea if it wont turn tu a hate basi atakuchukulia poa sana siku ukirudi and probably hutampata kabisa.

Mademu wote waliowahi kunikubali then nikawapotezea bila kuwapelekea moto kwakua nipo kwenye mahusiano mengine sikuwahi kuwapata nlivyowarudia, until nlipogundua a rule of thumb, mpelekee moto then mpotezee ukirudi una nafasi kubwa ya kusamehewa.
 
Eid mubarak wana JF!

Ni hivi, assume kuna mwanaume ulivutiwa nae sana muda mrefu mpaka ukatamani kuwa nae kimahusiano ila yeye hakukupa attention kiiivo kama unavotaka iwe kwa sababu zake mwenyewe.

Siku ya siku mwanaume huyo vuuup akaja kwako ndo mpo nae sebuleni sasa wewe nayeye! Awali ya yote utafanya nini?

Wanaume pia ruksa kutoa maoni.
Utamuuliza tuu,vipi mfungo ulikuwaje?
 
Back
Top Bottom