swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Swali nani anaweza msaidia huyu dada tumechoka 😴😪

    Huyu dada anajini kali sana amepitia kila mahali halitoki tumechoka kumsaidia je nani anayeweza kumsaidia maana linamfungia kila kitu chake . Hata atakaje lipo tu. Kumuomba Mungu . Kachoka . Kwa waganga amechoka mijusi minyoka mikila kitu anatumiwa . Aisee.
  2. JamiiForums Tanzania Falsafa ya Gamondi: Football is a show game (An Art) bado kuna Mtu ana swali?

    Na Nukuu "I am very happy and proud of (Yanga style of play). If you remember at the beginning I said for me football is a show game, we play for the fans, not only Wananchi but for all the people who love football. Yanga is a team to watch even if you are not a Yanga fan"..~GAMONDI Kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Kwani Tatizo Gani Wameweza Kulitatua Likaisha?

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna mambo mengine yakijirudia unaweza ukafikiria bado uko ndotoni. Maana kuna baadhi ya ndoto zinajirudia rudia hata kama huzitaki. Wengine wanaita "jinamizi". Zinakuja zinatisha halafu unashtuka unasema "duh hii ndoto hii!". Unarudi kulala unafikiri itapita; kumbe...
  4. JamiiForums Tanzania Swali: Mwanamke anaweza kumuolea Kaka yake kwenye Uislamu?

    Kuna picha inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Bidada akimvisha pete Mwanamke mwenzie. Kulingana na Mavazi yao ni dhahiri kuwa hao wadada ni Waislamu kiimani, kama unavyojua kwenye wengi huwa hapakosi maneno basi kuna baadhi ya watu wakasema kuwa huyo Dada anamuolea ndugu yake wa kiume, na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo?

    Swali kwa wataalamu: Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Nauliza kwasababu wagojwa wa figo wameongezeka sana Tanzania
  6. JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika mahojiano ya Tundu Lissu Star TV leo Februari 16, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=IqmxT2cZNSM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu yupo Star TV muda huu akifanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha The Big Ajenda. Fuatana nami katika uzi huu ambao utamulika baadhi ya hoja zinazoibuka: TUNDU LISSU KUHUSU LOWASSA NA KESI YA UFISADI DPP...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wapendekeza Umri wa Kustaafu upunguzwe ili Vijana waajiriwe

    Kamati ya Bunge ya Kazi na Ajira imeanza kuandaa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Utumishi inayotaka Umri wa Kustaafu upunguzwe kutoka Miaka 60 ya sasa hadi 55 ili kuwapa nafasi Vijana waajiriwe. Mwaka 2009, Serikali ilipandisha Umri wa Kustaafu baada ya kuelemewa na Mafao ya Watumishi...
  8. JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro kwenye Power Breakfast umekwepa ila ni majukumu yako, nina swali kwako

    Leo nimesikiliza kipindi cha Clouds Power Breakfast lakini kwa jinsi ulivojaribu kulinda heshima ni kweli sio jambo zuri kuwa wazi ni kuchonganisha raia na jeshi la polisi. Lakini swali la kujiuliza ni ili WATU WANATEKANAJE? Kumekuwa na malalamiko ya utekaji kwa kutumia jeshi la polisi au kwa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

    Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250 Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it ?
  10. JamiiForums Tanzania Swali fyatu: je, Makonda anafunua udhaifu wa IDARA na mamlaka ya Uteuzi?

    Preamble ipo kwenye heading. Kupitia mikutano ya chamchela ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM bw. Makonda, tumeshuhudia kero mbalimbali zikiibuliwa na wananchi wanaofika mikutano hiyo. Awali yule dikteta alikuwa anazifanyia maamuzi palepale. Lakini Hangaya alishasema kuwa kila mtu ale kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Swali shirikishi kwa watanzania

    Wasalaam, wote tumeshuhudia ziara za makonda akizunguka nchi zima na kutoa maagizo yasiotekelezeka ambayo kimsingi maagizo yalipaswa kutolewa na rais au waziri mkuu. Swali langu ni kwamba je bajeti ya pesa anazotumia bwana huyu ni kodi za watanzania au ni pesa za ccm? maana kama CCM waliweza...
  12. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Tunaridhishwa Kirahisirahisi au na Mambo Madogomadogo? Au Yote 2

    Na. M. M. Mwanakijiji Unajua watoto unaweza kuwaridhisha na vitu vidogovidogo. Yaani wanaweza kulia hadi wanabadilisha Gia kama kupanda Kitonga. Hata hivyo unaweza usihitaji vingi, wakati mwingine maneno tu yanatosha. Au unaweza kumpa peremende atanyamaza na kulia kwa kujibembeleza hadi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Queen Sendiga avae gwanda CCM wakati yeye ni mwananchama na kiongozi wa chama kingine?

  14. JamiiForums Tanzania Swali Kwa waziri wa Afya Tanzania

    Naomba ummy Mwalimu ajibu Hili swali. Tunataka kujua tuna Nchi ya Tanzania na Zanzibar au nanna gani?. Cc Wizara ya Afya Tanzania
  15. JamiiForums Tanzania Swali kwa Wanywaji (Walevi)

    Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini?
  16. JamiiForums Tanzania Swali; Baba watoto hao wanacheza mpira?

    wakuu habari za uzima? Nipo hapa na mwanangu tunaangalia mpira.kipindi unaanza aliona hawa watoto wanaoingia pamoja na wachezaji akaniuliza. Baba hao watoto na wao wanacheza, nikamjibu hapana. Akauliza sasa wanafanya nini humo, imebidi nidanganye kwamba hao ni baba zao wamewasindikiza. Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  18. JamiiForums Tanzania Guardiola aliposhindwa mujibu swali la Henry

    Thierry Henry alimuuliza Pep Guardiola ni timu gani Bora kwake aliyotwaa nayo mataji matatu kwa msimu kati na Manchester City na Barcelona. Hichi ndio alichojibu Guardiola.
  19. A

    JamiiForums Tanzania Unapofanya kitu cha umma wa Tanzania unafanya kwa maslahi ya nchi au ya kwako au kikundi fulani?

    Nchi yetu inapitia kipindi kigumu kidogo kwa miongo kadhaa kiasi kwamba jambo hili limeota mizizi au linaota mizizi nalo ni katika kufanya mambo yetu tunaweka nafasi zetu au ubinafsi mbele kuliko maslahi ya nchi au aliyekuajiri mbele, matokeo yake ni kuua kile kilichokuweka pale iwe shirika la...
  20. JamiiForums Tanzania Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?"

    Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?" Na, Leonard julius shiganga wa mwanamatingatinga. Watu wengi hasa wale wanaopata mtaji na kuwa na nia ya kufanya biashara mbalimbali katika maeneo yao, wamekuwa wakijiuliza sana hili swali "Nifanye biashara gani?" # leo nimeona kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…