Kamanda Muliro kwenye Power Breakfast umekwepa ila ni majukumu yako, nina swali kwako

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,743
Leo nimesikiliza kipindi cha Clouds Power Breakfast lakini kwa jinsi ulivojaribu kulinda heshima ni kweli sio jambo zuri kuwa wazi ni kuchonganisha raia na jeshi la polisi.

Lakini swali la kujiuliza ni ili

WATU WANATEKANAJE?
Kumekuwa na malalamiko ya utekaji kwa kutumia jeshi la polisi au kwa njia ambazo mnaweza kuzikataa je kama wanaopotea hivi mwananchi wa kawaida anaweza kufanya hivo?.alafu ukajibu kwenye redio watu wanajiteka au visasi.

KAMA MTUMUI HIYO MBINU WAKIFANYIWA NDUGU ZENU ITAKUWA SAWA?
Ili jambo alitakiwa kuulizwa maana tuangalie upande wa pili kwa jeshi la polisi.

Kama utekaji upo na bila sababu jeshi la polisi mmechukua hatua gani maana kama mnahalalisha waovu ndani na nje kwa wananchi.
 
Mtu anatekwa, anapotea,na, polisi, hawawezi, kufanya, uchunguzi, jitu linasema, tunafanya uchunguzi, harafu linatoa comment kuwa jamaa inawezekana aliwadhurumu wenzie! Sasa kama hujafanya uchunguzi, umejuaje hiyo dhuluma? Na, kama aliwadhurumu wenzie? Kwanini hamjawakamata hao wenzie, simu zipo, record zipo tcra kwanini hamzitafuti.
 
Kutekana kwingi sahvi mijini humu na kwengineko sababu kubwa ni mambo
Ya kudhulumiana....
Bongo sahv kama Mexico tu watu wanamalizana wenyewe kibingwa

Ova
 
Back
Top Bottom