swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Mwanakijiji

    Swali Fyatu: Kwani Watanzania Mnataka Umeme Mwingi usiopunjwa ili Mfanye Nini?

    Tujitahidi tujibu. Kama nchi ingekuwa inahitaji umeme mwingi usio wa kibaba sidhani hii hali ingeendelea hata kwa mwezi mmoja ukiondoa Mingo sasa. Kuanzia IPTL hadi leo bado sukuhisho la umeme linatafutwa. Eti wa maji ni mgumu wanatafuta wa jua!!! Halafu wengine wanasema wanataka wa upepo kwa...
  2. GENTAMYCINE

    Je, tukishafanikiwa kimaisha huwa tunawakumbuka kwa Shukrani Kauli, Pesa na Mali wale waliotusaidia Shidani?

    Labda tu GENTAMYCINE nisipate Kipato au Utajiri au Mafanikio ila nje ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Baraka zake na Kunifanikisha nina List ya Watu wangu 35 na Watu Watano ( 5) wako hapa JamiiForums na hii ID yangu Wanaijua na kunijua ndani nje na hao 20 ni wa Kwingineko (Ndugu, Jamaa na...
  3. Truth Bot AI

    Kuna mtumishi aliyeyefanikiwa kuhama au kupata kibali kupitia mfumo mpya tangu umeanzishwa?

    Nimeona niulize kutokana na mfumo huu kuwa mgumu kukamilisha maombi na ugumu kwa watendaji kuwajibika na kufany kazi zao kama ku-proove maombi kwenye mfumo. Maana maombi mengi yanaishia kwa supervisor na hayatoki huko ndo nauliza kuna mtu aliyefanikiwa walau kufikisha maombi utumishi au...
  4. W

    Swali fikirishi; Hivi kwanini wanaoponda sana mikoani ni watu wa mikoani zaidi kuliko wa Dar?

    Hili linanishangaza sana! Kutana na mtu wa Arusha au moshi umsikie anavyoponda Kanda ya Ziwa na mikoa mingine. Nenda Ruvuma ukutane na mhehe umsikie anavyoponda Ruvuma. Nenda kusini ukutane na mwalimu ajira mpya kutoka kigoma au nzega huko na aliyeisotea ajira kwa miaka mitano huku macho...
  5. Hismastersvoice

    RC Chalamila, nenda Mbagala Zakhiem kalifungue soko

    Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanini haukutaka kwenda kwenye soko la Mbagala Zakhiem kulifungua badala yake ukaenda kwenye uwanja wa Mbagala Zakhiem uliopo nusu kilomita kutoka kwenye soko? Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa nenda Mbagala Zakhiem kalifungue soko kwani wafanyabiashara wa awali...
  6. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Kamati ya Dira ya Taifa: "Umoja wa Taifa ni Chachu ya Maendeleo au Maendeleo ni Chachu ya Umoja wa Taifa?"

    Wajumbe 22 wa Kamati ya Dira ya Taifa ya Maendeleo wakiwa wamesimama mbele ya bango lenye kaulimbiu isemayo kwamba "Umoja na Mshikamano ni Chachu ya Maendeleo ya Taifa" I. Utangulizi "Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha. Unyonge wetu...
  7. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Waziri wa Mazingira, Dkt Suleiman Jaffo: Watumishi wa umma 333 wamefuata nini kwenye mkutano wa COP28 huko Dubai?

    Mheshimiwa Dkt. Suleiman Jaffo, Waziri wa Mazingira, Mkutano wa kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unafanyika huko Dubai, kwa siku 14, tangu tarehe 30 Novemba hadi 12 Desemba 2023. Lakini ukubwa wa ujumbe wa Tanzania umeibua utata miongoni mwa Watanzania wanaotaka...
  8. GoldDhahabu

    Swali fikirishi: Kuna ubaya endapo baadhi ya nafasi Serikalini zitajazwa na wageni?

    Sababu mojawapo iliyosaidia Korea Kusini kuendelea ni viongozi wake kutambua mapema walichokuwa wanakihitaji na kutumia kila fursa waliyoipata kuifukuzia. Inawezekana, hata sisi tungefanya kama wao, nchi yetu ingekuwa kama yao, au zaidi. Hilo ndilo limenipelekea kufikiria kuwa ikiwa tutawaazima...
  9. ChoiceVariable

    Sabaya Senior (Loy Sabaya) apata Ushindi wa Kishindo Uenyekiti CCM Arusha

    Usiyempenda kaja. --- Mkutano Mkuu maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, umemchagua Loy Thomas Sabaya, kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoani humo. Sabaya ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi hiyo baada ya kupata kura...
  10. R

    CCM wakataa Baba yake Sabaya kuhojiwa kuhusu kuchoma nyumba za Wamasai akiwa DC, wasema hilo siyo swali

    Sabaya ni watu wakatili na wamefanya ukatili kwa vipindi tofauti. Baba akiwa DC alichoma nyumba za wafugaji huko Arusha akaondolewa kwenye nafasi hiyo. Mwanaye akiwa DC wa Hai alifanyia watu ukatili na alipohojiwa mahakama alitamka kwamba alikuwa anatenda hayo kwa kutumwa na JPM. Leo Mzee...
  11. Mto Songwe

    Naomba nijibiwe swali langu. Mtaala mpya wa elimu somo la dini

    Naomba nijibiwe maswali yangu kuhusu huu mtaala mpya wa elimu. Jedwali na.4: Somo, umahiri mkuu na umahiri mahususi kwa darasa la iii hadi la vi. Kipengele na: 8. Elimu ya Dini Itatolewa na viongozi wa dini inayohusika kwa kuzingatia mwongozo utakaotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na...
  12. Pascal Mayalla

    Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo ni swali tuu kuhusu hiki Chuma kipya. Baada ya mtu kupelekewa moto na akaachia ngazi mwenyewe, bado kuna ubishi kuwa hili ingizo jipya ni chuma cha ukweli kama chuma cha Mjerumani?. Je chuma hiki ni chuma...
  13. MK254

    Video: Msemaji wa magaidi ya HAMAS alivyotupa mic baada ya kubanwa na swali la kwanini waliua kiholela

    Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu. Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa...
  14. Mr George Francis

    Swali najiuliza Je, NDOA ni CHUNGU au TAMU?!!

    Bado najiuliza, Je, NDOA ni TAMU au CHUNGU ?!! Ni swali ambalo walio nje ya ndoa wanajiuliza kila siku, lakini hata walio ndani ya ndoa nao bado hawana majibu yaliyokamilika. •Kuna watu wamepoteza maisha yao kwasababu ya NDOA, kutokana na vipigo na manyanyaso yaliyopitiliza na wengine wamejiua...
  15. R

    Swali gumu kwa Atheists

    https://youtu.be/jDzJu189nqI?si=UQmWgaNK996arJo3 Naomba atheists ( wasioamini uwepo wa Mungu) mpitie video hii na kutoa majibu kwa uweledi na ustaarabu. Karibuni!
  16. Hance Mtanashati

    Lady Jaydee bado ana kiporo cha hili swali kuhusu Chidi Benz, naomba atuweke bayana ukweli kuhusu yeye na Child Benz nini kilitokea baina yao?

    Kuna wimbo Lady Jaydee aliimba na Chidy Benz unaitwa Uko juu, kwenye audio ya huo wimbo verse ya Chidy ipo ila video yake Lady Jaydee alifuta verse ya Chidy . Inavyosemekana kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba Chidy alikuwa anamtaka kimapenzi Lady Jaydee akaamua kumtongoza Lady Jaydee ,Lady...
  17. Martyr 360

    Ni swali gani mwanamke akiuliza unapomtongoza utamueshimu

    Wanawake wengi unapowatongoza huwa wana tabia ya kuuliza vimaswali wanapokaribia kukubali, haijalishi umri wao maswali mengi huwa NI ya kijinga na yanapelekeaga wanaume wengi kuwachukulia powaa Sana. Je ni maswali ambayo mwanamke anapokaribia kukubali akikuliza mwanaume UTAMUESHIMU sana
  18. Erythrocyte

    Waziri Mkuu kikaangoni, apewa miezi 6 tu! Vinginevyo.....

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania . Bado haijajulikana Mamlaka hasa ya Katibu huyo, wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi ...
  19. U

    Je, hiyo ndoo ya kijani pichani ni ya kutunzia mafuta au rangi ya nyumba?

    Wadau hamjamboni nyote? Tazama picha Kwa umakini Kisha ujibu swali? Hivi hiyo ndoo ya blue hapo kwenye picha chini ni kwa ajili ya ikutunzia ya mafuta ya kupikia au ni Kwa ajili ya kuweka rangi ya nyumba? Zawadi nzuri kwa atakayepata swali hilo
  20. Money Penny

    Swali: Hivi walokole wa karne ya 21, mnatongozaje wanawake siku hizi?

    Enyi Wana WA Nuruni Naomba mje mnisaidie hii kitu Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka? Maana me nimetongozwaga zamani, Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa...
Back
Top Bottom