swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Swali fyatu: je, Makonda anafunua udhaifu wa IDARA na mamlaka ya Uteuzi?

    Preamble ipo kwenye heading. Kupitia mikutano ya chamchela ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM bw. Makonda, tumeshuhudia kero mbalimbali zikiibuliwa na wananchi wanaofika mikutano hiyo. Awali yule dikteta alikuwa anazifanyia maamuzi palepale. Lakini Hangaya alishasema kuwa kila mtu ale kwa...
  2. Swali shirikishi kwa watanzania

    Wasalaam, wote tumeshuhudia ziara za makonda akizunguka nchi zima na kutoa maagizo yasiotekelezeka ambayo kimsingi maagizo yalipaswa kutolewa na rais au waziri mkuu. Swali langu ni kwamba je bajeti ya pesa anazotumia bwana huyu ni kodi za watanzania au ni pesa za ccm? maana kama CCM waliweza...
  3. Swali Fyatu: Tunaridhishwa Kirahisirahisi au na Mambo Madogomadogo? Au Yote 2

    Na. M. M. Mwanakijiji Unajua watoto unaweza kuwaridhisha na vitu vidogovidogo. Yaani wanaweza kulia hadi wanabadilisha Gia kama kupanda Kitonga. Hata hivyo unaweza usihitaji vingi, wakati mwingine maneno tu yanatosha. Au unaweza kumpa peremende atanyamaza na kulia kwa kujibembeleza hadi...
  4. M

    Kwanini Queen Sendiga avae gwanda CCM wakati yeye ni mwananchama na kiongozi wa chama kingine?

  5. Swali Kwa waziri wa Afya Tanzania

    Naomba ummy Mwalimu ajibu Hili swali. Tunataka kujua tuna Nchi ya Tanzania na Zanzibar au nanna gani?. Cc Wizara ya Afya Tanzania
  6. Swali kwa Wanywaji (Walevi)

    Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini?
  7. Swali; Baba watoto hao wanacheza mpira?

    wakuu habari za uzima? Nipo hapa na mwanangu tunaangalia mpira.kipindi unaanza aliona hawa watoto wanaoingia pamoja na wachezaji akaniuliza. Baba hao watoto na wao wanacheza, nikamjibu hapana. Akauliza sasa wanafanya nini humo, imebidi nidanganye kwamba hao ni baba zao wamewasindikiza. Kwa...
  8. Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  9. Guardiola aliposhindwa mujibu swali la Henry

    Thierry Henry alimuuliza Pep Guardiola ni timu gani Bora kwake aliyotwaa nayo mataji matatu kwa msimu kati na Manchester City na Barcelona. Hichi ndio alichojibu Guardiola.
  10. A

    Unapofanya kitu cha umma wa Tanzania unafanya kwa maslahi ya nchi au ya kwako au kikundi fulani?

    Nchi yetu inapitia kipindi kigumu kidogo kwa miongo kadhaa kiasi kwamba jambo hili limeota mizizi au linaota mizizi nalo ni katika kufanya mambo yetu tunaweka nafasi zetu au ubinafsi mbele kuliko maslahi ya nchi au aliyekuajiri mbele, matokeo yake ni kuua kile kilichokuweka pale iwe shirika la...
  11. Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?"

    Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?" Na, Leonard julius shiganga wa mwanamatingatinga. Watu wengi hasa wale wanaopata mtaji na kuwa na nia ya kufanya biashara mbalimbali katika maeneo yao, wamekuwa wakijiuliza sana hili swali "Nifanye biashara gani?" # leo nimeona kuwa...
  12. Inasikitisha vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania vimegeuka kuwa ngao ya mafisadi

    Naomba nyie masoja niwaulize maswali kidogo 1. Nyie Sukari mnanunua wapi au mnapewa bure na Samia? 2. Petrol na diesel mnajazaga bure magali yetu.? 3. Nyama mnapewa bure? 4. Vipi mchele na maharage bado nyie mnanunua Kwa 1600.? 5. Vipi mkisafiri kwenda kwenu kagera nauli ni sh 40000.? 6...
  13. M

    Kwanini Azam TV kwenye tangazo lake la afcon linasema ' kuoneshwa Tanzania pekee'?

    Naomba niingie kwenye swali moja kwa moja.. Hivi kwanini Azam TV kwenye tangazo lake la afcon linasema ' KUONESHWA TANZANIA PEKEE' hii mimi sijaielewa ina maana gani? Naomba kusaidiwa.
  14. Wapenzi wa movies nina swali kidogo

    Wapenzi na wafatiliaji wa movies nina swali kuhusu hii movie ya money heist/ La casa de papel, toka ilipoishia season 5 netflix walisema hakuta kuwa na seoson lakini baadae wakaja kusema kuwa kutakuwa na movie itakayoonyesha matukio ya Pedro Alonso or Berlin kabla ya tukio la money heist ya...
  15. Swali kwa wataalam wa sheria za mitandaoni

    Kuna ndugu yangu amekopa ela kutoka kwenye hizi online company Sasa deni lake limezidi Kwa siku mbili, sasa kilichotokea Leo Ile kampun imetuma sms kwenye namba zote ambazo zipo kwenye simu za mkopaji Swali langu sasa hapa ni kwamba 1. Hiyo loan campan imepata wapi Ruhusa ya kuona mambo yote...
  16. Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na rafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanaye kwenye mahusiano ya kimapenzi?

    Hebu sema ukweli wako? Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na urafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanae kwenye mahusiano ya kimapenzi? #nyumayapazia
  17. Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

    Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo. Sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi.
  18. Hili ndio swali ambalo Kinana, Majaliwa na CCM wengine hawawezi kulijibu

    Na kama Mwenyekiti wa ccm akizuiwa kuteua Wasimamizi wa Uchaguzi , hizi porojo za ccm kuchapisha fomu moja ya mgombea wa urais zitazimika mithili ya Mshumaa jangwani . Watapaswa kuachia fomu hata mia moja ili apatikane miongoni mwao mwenye uwezo wa kupambana majukwaani na kushawishi wananchi...
  19. Swali kwa wadada, hivi mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela?

    Hebu sema ukweli wako, hivi wadada mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela? #nyumayapazia
  20. Niko na swali

    Kama malaika Gabriel alimtokea Mariam na kumwambia utapata mtoto Kwa uwezo wa roho mtakatifu na jina lake utamuita yesu na atakuja Kwa ajili ya kuikombia Dunia.... Tusome hapa kidogo Wazazi wake walikuwa na desturi ya kwenda Yerusalemu kila mwaka wakati wa sikukuu ya Pasaka. Mtoto alipokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…