spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama

    MS Ruth Zaipuna Mkurugenzi Mkuu NMB. ====== Wasalaam Jf team, Waswahili tunasema " Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni " Sote tunakumbuka baada ya NBC Bank kuvunjwa Mwaka 1997 na baadae kuanzishwa kwa Benki mpya ya Makabwera ya NMB na baadae Benki hiyo kubinafsishwa kwa Rabobank ya...
  2. Spika Tulia: Wabunge hawasemi uongo, Ripoti ya CAG inaonesha kuna ubadhirifu

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kutokana na mjadala wa Wabunge kuonesha Halmashauri nyingi zina Ubadhirifu mkubwa, anapata wakati mgumu kusikia kauli za Mawaziri wakisema Wabunge wanasema uongo wakati taarifa za Kamati zinaonesha kuna ubadhirifu katika Halmashauri hizo. Akitolea...
  3. R

    Spika Tulia akataa Wabunge kuendelea kutoa pongezi kuokoa muda

    Akiwa bungeni katika katika Mkutano wa 13, Kiako cha 1, leo Oktoba 31, 2023 Spika tulia amesema, ili waweze kukomboa Muda bunge liwe limepokea pongezi zote kwa mujibu wa kanuni zake, na sio kila mbunge akianza kuongea aanze kwanza kutoa pongezi.
  4. Wanambeya, mtakuwa wajinga kutomchagua tena Spika Tulia

    Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU. Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla. Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji...
  5. Rais wangu nakusihi chonde chonde usitumie vipaza sauti kuongea na viziwi

    Salaam! Hakuna jambo baya kama ushabiki au ufuasi katika dunia hii ya leo. Tumeshuhudia wengi wamefariki, wamejeruhiwa na kupoteza heshima kwa jambo linaloitwa itikadi, dini na siasa, imekuwa ni changamoto kubwa katika dunia yetu. Nakuomba uhubiri amani kama ilivyo jinsia yako na lea kila...
  6. Spika wa Bunge Dkt. Tulia Acksoni, achukua fomu kugombea Urais IPU

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola. Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
  7. B

    Kwanini Redio za zamani zina music mzuri na spika tulivu kuliko hizi za kisasa?

    Haya maendeleo ya Sayansi na Teknolojia sometime yananichanganya. Ukuaji wa teknolojia unatarajiwa kukuwa na viwango bora vya bidhaa na uimara zaidi. Hali imekuwa tofauti kabisa kwenye idara ya music sounds and systems. Yaani ukienda dukani ukapata Redio yako ya Sony au Rising ya zamani au...
  8. Republical wafikiria kumuomba Trump agombee nafasi ya Spika wa Bunge la Marekani

    Baada ya aliyekua Spika wa bunge (House) la Marekani kuondolewa, Wabunge wa Bunge la Marekani, ambalo wabunge (Representatives) wake wengi ni kutoka Chama cha Republican, wamependekeza waongee na Donald Trump aweze kuwa Spika wa bunge hilio. Wabunge hao waliweza kufikisha ombi hilo kwa Trump...
  9. Mamlaka ya Maji Tukuyu: Mgao wa maji unahusu watu wote, hadi nyumbani kwa Spika Tulia na kwa DC napo kuna mgao

    Baada ya kuibuka kwa malalamiko ya uhaba wa maji Mjini Tukuyu, Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, ikidaiwa kuwa kuna upendeleo katika mgawo wa maji, Mamlaka ya Maji ya Tukuyu imefafanua sababu ya mgao wa maji na kuweka wazi kuwa hakuna upendeleo katika mchakato huo. Malalamiko haya hapa - Tukuyu...
  10. Spika wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy ang'olewa madarakani

    Just in: Spika wa Bunge la Marekani amengo'lewa madarakani na kuweka historia kuwa spika wa kwanza wa bunge la marekani kung'olewa na wabunge. Moja ya chanzo cha Kevin McCarthy kuondolewa kwenye uspika ni baadhi ya wabunge wenzake wa Republic kumuona kama msaliti baada ya kushirikiana na...
  11. T

    Tutafika lini huku: Mbunge mmoja Marekani apitisha hoja ya kumuondoa Spika wa chama chake mwenyewe

    Jamani wenzetu ni wazalendo, na wamejipa nguvu ya kushughulikia watawala wanaozingua. Unahitaji kura moja kuleta Azimio lijadiliwe! Nchini Marekani Mbunge Matt Gaetz wa chama cha Republican jana amewasilisha hoja ya kupitisha Azimio la Bunge la kumuondoa Spika wa chama chake mwenyewe akidai ni...
  12. M

    Je, Spika mstaafu Job Ndugai, ana sifa ya kugombea kuwa Rais wa Tanzania 2025?

    Nimejaribu kufuatilia msimamo wa Job Ndugai ni kama wa JPM, ni mzalendo na hapendi Nchi kuombaomba misaada au kukopa sana kutoka nje, badala anapenda kujitegemea. Natafakari kama CCM itampitisha kugombea Urais 2025, je ana sifa ya kuwa Rais wa Tanzania?
  13. B

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ziarani Morocco

    18 September 2023 Rabat, Morocco https://m.youtube.com/watch?v=nxCJ2dl-PN8 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Spika wa Bunge la Morocco, Mhe. Rachid Talbi El Alami katika ofisi za Bunge hilo zilizopo...
  14. S

    Suala la Mafuta Spika acha unafiki ulishauriwa uunde tume mwaka mmoja umepita ukapuuza

    Suala la Mafuta Spika acha unafiki hili suala ulishauri tangu Juni 2022 kwamba unda Tume kuchunguza ukakaaa kwa sababu ulitaka kumlinda Waziri Januari Makamba kwa manufaa binafsi unayoyajua wewe. Leo umeona Makamba hayupo ndio unajifanya kuunda tume ukamchunguze Dotto Biteko huku ukijua...
  15. K

    Kauli ya Naibu Spika kwa Waitara siyo ya kiungwana

    Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini". Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika. Unapokuwa Bungeni unatakiwa...
  16. Spika Tulia: Wanaojitolea kwenye kazi wapewe kipaumbele wakati wa kuajiriwa

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameshauri Serikali kuweka utaratibu maalumu wa kuwazingatia kwanza Watumishi wanaofanya kazi za kujitolea wakati Serikali ikiendelea kufanya maboresho ya Sheria ya Ajira ili kuwasaidia kupata ajira bila kikwazo pindi zinapotangazwa. Katika swali la msingi...
  17. Mheshimiwa Spika na Naibu Spika tazameni "Dress codes" za bungeni

    Leo 30/08/2023 kuna Mbunge Mwanamke simfahamu jina lake, nilikuwa namuona kaketi nyuma wakati Nape anawasilisha kutokea kwenye "podium", amevaa "evening dress" ya kifua wazi bungeni. Ni aibu kwa Bunge letu ikiwa wabunge hata "dress codes" hawaelewi, wawe wanakwenda wabobezi wa mitindo...
  18. Nini kimelekea Spika Tulia kutengwa kwenye ibada?

    Katika hali ya kushangaza Spika Tulia amejikuta peke yake kwenye bench wakati ibada ikiendelea. Nimejiuliza nini kinapelekea hali hii kutokea? Ni sakata la Bandari au kuna kingine
  19. Spika Tulia: Wapinga uwekezaji bandarini waangushiwa kitu kizito. Wanaosema watahamasisha watu wasilipe kodi, wajaribishe waone

    "Leo (jana) hukumu ya kupinga mkataba wa bandari imetoka lakini kabla haijatoka nilishafanya mikutano kadhaa nikawaambia wana-Mbeya mjini bandari haijauzwa nikawaambia nchi haijauzwa mtu akikuambia bandari imeuzwa mwambie shilingi ngapi?? Akishindwa kukuambia chaliiii!!! maana leo (jana) watu...
  20. Fanya haya kutatua changamoto ya spika simu inayokoroma

    Simu yako imeingia maji?, spika yako inatoa sauti ambayo huipendi? sawa pole kwa changamoto hiyo karibu hapa kwa suluhisho. Usipeleke simu kwa fundi kwanza, wala usiweke kwenye mchele. Kama umekutana na changamoto tajwa hapo juu au za namna hiyo, kwa muda huu ambao unasoma hapa, basi fanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…