Spika kabisa unaona poa kushadadi ajira za kujitolea yaani mtu anasoma mpaka university halafu manaona kumpa cheap labour ndo halali yake, kweli.
Badala ya spika wa bunge kukemea hilo we ndo kwanza unaona poa tu unalitumia kuwakandamiza wengine ili nao wajitolee ili kupata kazi.
Halafu mobunge...
1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA
Wewe unasemaje?
Ni kazi nyepesi sana kuwa spika wa bunge la Tanzania pengine kuliko nchi nyingine za Africa. Licha ya bunge letu kutokuwa na watu wenye weledi mkubwa (critical minds), pia bunge la Tanzania huendeshwa kibabe na spika hulindwa na chama tawala.
Sasa inapotokea spika wa bunge kama hilo anakuwa...
Wakuu Jf amani ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake .
Kweli maccm plus machawa ni wapuuzi, ila leo nipo Tulia kwa kile amekionesha, japo kipo na mjadala mkubwa katika mijadala mbalimbali katika mitandao ya kijamii .
OK itoshe kusema binafsi alijibu vizuri tu ,ukiweka siasa pembeni . Sasa...
Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au...
Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa.
HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE.
Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa.
Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Mr. II, Sugu amemvaa Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson, akidai kuwa ameshindwa kuendeleza mazuri mengi ambayo aliyaanzisha kipindi cha ubunge wake.
Mbilinyi alisisitiza kwamba kuna mambo mengi yaliyokuwa na...
Baada ya wabunge 291 kuunga mkono hoja ya Makamu wa Rais nchini Kenya Rigathi Gachagua kuondelewa madarakani, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kenya, Moses Wetang'ula ameidhinisha hoja hiyo kujadiliwa akisema sababu zote 11 zinakidhi vigezo vya kikatiba.
Hoja hiyo imewasilishwa bungeni jioni hii na...
Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina wamejibu hoja za pingamizi la Serikali katika kesi ya Kikatiba aliyoifungua dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania na wenzake wawili, kuwa pingamizi hilo halina mashiko na wakaiomba Mahakama ilitupilie mbali.
Katika kesi hiyo ya Kikatiba, Mpina...
Jua maisha ni mlima eeh,maisha ni mlima,
Kuna kupanda na kushuka eeh,
Kupanda na kushuka, kuteleza siyo kuanguka eeh,
Hiyo hapo juu ni chorus ya wimbo kutoka kwa kinywa cha spika wenu wa bunge, sijui makusudi yake ila kwa anavyo onekana ni tumekosa spika mwenye kujiheshimu hana hadhi kwetu...
Je bado spika na bunge lake wanaamini watanzania wako salama dhidi ya utekaji?
Je spika una maoni gani tunaomba tamko la wabunge wetu kupitia bunge kuhusu usalama wa watanzania dhidi ya watekaji. Mods msifute wala kuunganisha uzi huu hili ni swali la raia kwenda kwa mamlaka yenye dhamana ya...
Leo ni mara ya pili unazuia wabunge kujadili hali hii mbaya ya utekaji na mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani na wananchi wa kawaida wakiwemo watoto! Mbaya zaidi unaisemea serikali kuliko Waziri Mkuu na mawaziri wengine.
Hivi unajua wajibu wako unapokuwa hapo kwenye kiti cha Spika? Wadhifa...
NB: Paschal Mayalla naomba utupe fasiri sahihi ya sentesi hii (Revenge is a dish best served Cold)
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha Mashariki ya kati
Spika wa bunge la Lebanon na mshirika mkubwa wa Hezbollah ameichimba mkwara Israel lazima ichezee kichapo kwa tuhuma za mauaji ya Kiongozi...
Katika mkutano wa Mbunge Mpina na mawakili wake, moja ya jambo lilionishangaza zaidi ni madai kuwa Spika hakuliongoza Bunge litengeu kanuni ili wapitishe azimio la kuongeza muda wa kikao cha Bunge kilichopaswa kuisha saa 1:45 usku kama kanuni/taratibu za vikao vya Bunge zinavyotaka.
Yaani...
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 24 Julai, 2024 amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini India kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Droupadi Murmu Ikulu Jijini New Delhi.
Katika...
Spika wa bunge la Marekani anasema watapiga kura kumuondoa Rais mgonjwa kwa mujibu wa katiba baada ya chama chake kumuona ni mgonjwa inamaanisha kuwa hata kumalizia muda sio sahihi
Mwanadamu haridhiki kabisa walimtaka asigombee amalizie ingwe yake na amekubali sasa hawataki hata kumalizia...
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi leo tarehe 12 Julai, 2024 ambapo katika mazungumzo yao wamejadili kuhusu...
bunge afrika
bunge duniani
bunge ipu
inter-parliamentary union
putin
rais wa urusi
spikaspika tulia
spika tulia ackson
tulia ackson
urusi
video
vladimir putin
MJADALA wa Kashfa ya Sukari umezungumza sana ndani ya Bunge na nje ya Bunge hadi kusababisha Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kufukuzwa bungeni baada ya kumtuhumu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kusema uongo kuhusu utoaji wa vibali vya waagizaji sukari nje ya nchi.
Jana Profesa Bengesi wa Bodi ya...
Madam Spika, nimekusikiliza kwa makini ukitaja vifungu vya sheria & Kanuni ambazo unasema Luhaga Mpina (Mb) amevunja! Nakushauri rudi ukavisome vizuri maana baadhi ya vifungu UMEUPOTOSHA Umma. Umevitafsiri unavyotaka wewe ili lengo lako la kumwondoa Bungeni litimie, lakini sio tafsiri halisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.