Spika Tulia umewakosea sana wafanyakazi nchi hii, kuhusu Makato ya LAZIMA ya mishahara kwenda vyama vya wafanyakazi

Mpwimbe

JF-Expert Member
Oct 13, 2023
200
438
Ni aidha ni utamu wa Makato ya wafanyakazi, yamekolea na kupata walaji mpaka huko juu au Spika Tulia hajui chochote kuhusu sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004.

Ila inasikitisha Kwasababu Tulia ni mwanasheria na amewahi kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali.

Hivi kweli, leo Tulia ni wa kulazimisha wafanyakazi kuwa kwenye chama Cha wafanyakazi anachotaka yeue eti kwakuwa mtu akijitoa hatakatwa??!!

Kwahiyo, mfanyakazi kukatwa Mshahara ndio fahari yako Tulia, na hata akitaka kuniunga kwenye chama anachotaka wewe Tulia unasema akatwe mara mbili??

Huu ni utawala au roho mbayaaa..

====

View: https://twitter.com/HecheJohn/status/1726223455861817758?t=P7ElW2LU5ilTIuLma7EcEw&s=19
 
Sikipendi hiki kijitu mithili ya shetani zero brain hiko kidudu jini
 
Back
Top Bottom