spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Kwa Utawala huu wa Spika Ndugai, Bunge linazidi kupoteza mwelekeo

    Moja kwa moja kwene hoja. Kile kinachoendelea Bungeni kwa sasa baada ya kifo cha Hayati Magufuli ni aibu tupu. Utawala(siyo Uongozi) wa Spika Ndugai unazidi kuliaibisha na kushusha hadhi ya Bunge la JMT. Nitaeleza: Kile ambacho Watz walikuwa wanakiona wakti wa uhai wa Hayati kwamba alikuwa...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Vijana wa Tanzania hawaaminiki, wakiachiwa biashara bila kuiba wanajiona wajinga

    Wakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai amesema mtu anaeanzisha mradi atajikuta tu amefilisika asipokuwa makini. '' Mtu akianzisha labda...
  3. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Kwa Spika Job Ndugai: Busara na hekima inataka mambo mengine mzungumze na wabunge wenzako mkiwa ktk "off the media cameras"

    Moja ya sifa ya mtu kamili na hususani kwa kiongozi wa umma kama alivyo Spika wa Bunge la JMT ndugu Job Ndugai, ni kutumia busara na hekima katika kufanya maamuzi yake iwe ni kwa kutamka kwa maneno au kwa kutenda kwa vitendo. Leo asubuhi spika Job Ndugai ametamka pasipo umuhimu wala ulazima...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Ma - DED yalivyo mambo ya ajabu

    Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya. Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, suala la akina Halima Mdee bado unavunja Katiba

    Ningeomba kumkumbusha Spika Ndugai kiapo alichokula, cha kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria za nchi. Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa alikula kiapo hicho huku ameshika biblia na huku akilitaja jina la Mwenyezi Mungu. Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa kila siku kabla ya bunge...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe anakuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti pasipo na ulazima? Je, ni kwa sababu ni Mtu Maarufu?!

    Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele. Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge Kinachonishangaza wabunge wanapojadili...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa tofauti na Mh. Spika kuhusu hili la Bandari ya Bagamoyo

    Na Thadei Ole Mushi. Spika wa Bunge kaishangaa Serikali kuanza kutengeneza Reli badala ya Kuanzia na bandari. Si mara ya kwanza Kwa Mh Ndugai kusema kuhusu ujenzi wa BANDARI hii mwaka 2019 alisema hata wachina wanatushangaa na wakatufananisha na MTU aliyetanguliza mkokoteni mbele halafu punda...
  8. baro

    JamiiForums Tanzania Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

    Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?" Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili...
Back
Top Bottom