Vera Songwe is an Economist and Banking executive from Cameroon who has worked for the World Bank since 1998, and in 2015 became Western and Central Africa's regional director for the International Finance Corporation. Vera Songwe is the first woman to head the U.N.s Economic Commission for Africa (ECA) at the level of Under Secretary-General.
UPIGAJI MKUBWA FEDHA za SERIKALI RC SONGWE AKATAA MATUMIZI ya MIL 411 UJENZI wa SOKO la WAMACHINGA
Nadhani ifike wakati Watanzania kwa pamoja kuamka na kuanza kupinga vitu kama hivi, ikiwezekana kwa maandamano. Kuonyesha hisia kwa pamoja kwa walio madarakani kuwa kodi zetu tunazochanga sio pesa...
Habari za majukumu waheshimiwa👋
naamini mko salama...
Ndugu yenu hapa, kwenye moja na mbili za utafutaji nimekusanya Tsh. 5,000,000/=
Kilichonileta hapa ni kupata ushauri kwa wenye uzoefu kidogo kwenye uchaguzi wa biashara ya kuingia kati ya hizi.
1. Spea za pikipiki (coz nina uzoefu kwenye...
1. UJENZI WA RUNWAY YA SONGWE AIRPORT UMEKAMILIKA.
Mradi wa Ujenzi wa sehemu ya kuruka na kutua Ndege "Runways" ambapo kulifanyika ujenzi wa tabaka la juu la lami KM 3.3 imekamilika kwa 100%
2. UJENZI WA UZIO WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE NA TAA ZA KUONGOZEA NDEGE UMEKAMILIKA , JIJINI MBEYA...
Serikali kupitia TANROADS Mkoani Songwe imekamilisha miradi mikubwa ya Kitaifa ya Barabara ikiwemo Daraja la Mto Momba ambalo limekuwa kiungo Muhimu kuunganisha Mikoa ya Songwe Rukwa na Katavi na barabara ya Mpemba hadi Isongole 50Km inayounganisha Tanzania, na Malawi.
Akizungumza na Waandishi...
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Songwe Ndg Fatuma Hussein amewatoa hofu vijana kutokana na serikali kusitisha utoaji wa mikopo ya 10% iliyokuwa ikitolewa katika ngazi za Halmashauri.
Fatuma ameleza kuwa kama UVCCM wanaamini kuwa serikali itakuja na mpango bora zaidi wa...
Chama cha mpira wa miguu wilaya ya songwe (Sorefa) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira. Tukio hilo limetokea katika mchezo wa kirafiki kati ya mashabiki wa Yanga na Simba wakichuana katika kusheherekea...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia JOSEPH NGOYA mwenye umri wa miaka 34, Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za kupatikana na Noti bandia za shilingi elfu kumi.
Ni kwamba mnamo tarehe 23.02.2023 huko maeneo ya Kituo cha Mafuta (Sheli) ya Kazibure iliyopo barabara Kuu (Tunduma...
Karibu Sana Songwe. Fursa kibao ni kujipanga tu. Madini na Border mtu hukosi 5m Kwa siku, ni mwendo wa kulamba asali tu.
NB: Japo naona kama unaelekezewa njia ya kuondoka kiustaarabu.
ZIARA YA MHE. SHONZA KATA YA HASANGA WILAYANI MBOZI - SONGWE
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Danieli Shonza ameendelea na ziara yake katika maeneo mbalimbali ya Mkoa na Songwe ikiwa na lengo kushirikiana na wananchi hususani wanawake katika ujenzi wa kituo cha Afya...
MHE. JULIANA SHONZA, MBUNGE (UWT) CCM VITI MAALUM MKOA WA SONGWE AFANYA ZIARA YA KIMKAKATI
Katika ziara yake iliyoanza mnamo tarehe 18 Februari, 2023 Mhe. Juliana Daniel Shonza alifika Wilaya ya Ileje na kubisha hodi kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ileje komredi Hassan...
MHE. JULIANA DANIEL SHONZA (MB) NA MIAKA 46 YA CCM MKOA WA SONGWE
"Katika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 46 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) nimekabidhi bando tatu za bati zenye thamani ya Milion moja laki mbili kwa mlezi wa CCM Mkoa wa Songwe Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo pinda kwa ajili ya...
Zaidi ya wanafunzi 13,000 sawa na asilimia 63 wa kidato cha kwanza mkoani Songwe waliochaguliwa kuanza masomo Januari 9 mwaka huu, hawajaripoti shuleni hadi leo Ijumaa.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amesema hayo leo wakati akitoa salamu za mkoa katika kikao kazi cha...
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA SONGWE - MIUNDOMBINU YA ELIMU
Matukio mbalimbali katika picha Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe Juliana Daniel Shonza akiambatana na viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) alipofanya ziara katika Kata ya Ichenjezya. Kata ilikuwa haina Shule.
Mbunge...
Ndugu Zangu Watanzania,
Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi...
Merhaba!
Wakuu Kuna vitu kwenye hii nchi vinakera na kuchukiza sana na kuumiza inakuaje mkuu wa wilaya moja nchini ya songwe eti bado yuko kazini mpaka sasa japokuwa ana tuhuma nyingi mojawapo ni kufanya ukatili wa kijinsia kumpiga mwanamke au msichana na kumjeruhi still mpaka sasa yuko ofisini...
Waliokamatwa ni Oscar Chisunga, John Chisunga, Moses Mussa, Fredy Thobias na Eddy Mwashambwa ambapo wamekutwa na Kilo 440 za Sukari iliyoingizwa nchini kimagendo.
Kamanda wa Polisi ACP Alex Mukama amesema Wafanyabiashara hao wakazi wa Mlowo wilayani Mbozi walighushi Sukari na kuiweka kwenye...
Jeshi la Polisi linawashikilia watu 3 akiwemo Mchungaji Julius Mwasimba baba mzazi wa marehemu na watoto wake Elia na Emmanuel Mwansimba kufuatia kifo cha Anna Mwansimba.
Kamanda wa Polisi, Alex Mkama amesema ndugu hao walimfungia mgonjwa na kuanza maombi kwa siku 3 lakini baadaye waligundua...
Naibu Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete amesema wanachukua hatua hiyo ili kulinda Mazingira na Kunusuru vyanzo vya Maji.
Amesema wale ambao watafuatwa kwenye maeneo yao, Serikali itawafidia lakini hawatakuwa tayari kuona ukame ukiendelea katika Mabonde hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.