Vera Songwe is an Economist and Banking executive from Cameroon who has worked for the World Bank since 1998, and in 2015 became Western and Central Africa's regional director for the International Finance Corporation. Vera Songwe is the first woman to head the U.N.s Economic Commission for Africa (ECA) at the level of Under Secretary-General.
Happymark Msuwila amepoteza maisha huku Jinasa Mayunga (54) akijeruhiwa baada ya Baruti zinazotumika katika ulipuaji wa miamba kwenye Migodi kulipuka na pia kuharibu vibaya nyumba sita za karibu
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, George Kyando, amesema mlipuko huo ulitokea Jumatatu usiku katika...
Moses Mwaifunga ni miongoni mwa vijana lukuki wa Chadema waliobambikwa kesi za uongo karibu nchi nzima , huyu alipewa kesi ya kutunga na ya uongo ya mauaji ili kumkomoa kwa sababu za kisiasa.
Sasa baada ya ziara ya viongozi wa Bavicha Taifa kwenye Magereza za Mbeya na Songwe za kuwajulia hali...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Songwe imeokoa nyumba yenye thamani ya Sh165milioni iliyochukuliwa baada ya mmiliki kushindwa kurejesha mkopo wa Sh15milioni mali ya Jacob Masebo (62).
Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Songwe, Damas Suta amesema, Masebo alikopa Sh15milioni...
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya; nimeona bora nianze kujikita kwenye swala la kilimo kabla ubongo wangu hujagundua suala la ajira sio kitu cha kukitegemea.
Hivyo napata shida kidogo kupata au kujua wapi naweza pata mashamba ya kununua kwa bei ya chini kutokana...
Mzazi mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga, kata ya Mlale, iliyopo wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe, amegoma kumpeleka mwanaye kujiunga na kidato cha kwanza akidai kuwa mwanaye hana akili na kwamba watoto wamekuwa wakichapwa tu wanapokuwa shuleni.
Mzazi huyo anayejulikana kwa jina la Anania Mdolo...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wanaosimamia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia taratibu za mawasiliano zilizopo serikalini
Amewataka watendaji hao kutoa taarifa za maendeleo ya ujenzi wa mradi huo katika mamlaka...
Special economic zone ni eneo ambapo wawekezaji huzalisha kwa gharama nafuu na hupata upendeleo kwenye kuzalisha ili kuvutia uwekezaji.
Sheria za maeneo haya na kodi kwenye maeneo haya huwa tofauti na sehemu zingine. Hata gharama za kuingiza malighafi na mashine huwa chini.
Mara nyingi bidhaa...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Songwe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Songwe una jumla ya majimbo ya uchaguzi 6 ambayo ni:
Ileje -
ENG. MSONGWE GODFREY KASEKENYA -...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.
Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.