Juliana Shonza (Mb) na miaka 46 ya CCM mkoa wa Songwe

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,886
938
MHE. JULIANA DANIEL SHONZA (MB) NA MIAKA 46 YA CCM MKOA WA SONGWE

"Katika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 46 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) nimekabidhi bando tatu za bati zenye thamani ya Milion moja laki mbili kwa mlezi wa CCM Mkoa wa Songwe Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo pinda kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya Chama (CCM) Kata ya Mlowo" - Mhe. Juliana Shonza (Mb)

Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Mlowo amekabidhi bando tatu za bati kwa niaba ya Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza kwa Waziri Mkuu mstaafu ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Songwe Mhe. Mizengo Pinda kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya CCM Kata ya Mlowo.

#CCMImetimia
#ChamaImara
#KaziIendelee

WhatsApp Image 2023-02-06 at 12.47.25(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-02-06 at 12.47.10(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-02-06 at 12.47.25.jpeg
 
Back
Top Bottom