songwe

Vera Songwe is an Economist and Banking executive from Cameroon who has worked for the World Bank since 1998, and in 2015 became Western and Central Africa's regional director for the International Finance Corporation. Vera Songwe is the first woman to head the U.N.s Economic Commission for Africa (ECA) at the level of Under Secretary-General.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Hata songwe Hela Uviko zimepigwa, mkurugenzi wake yupo kimya

    Nimemskia madam president jana akisikitishwa sana wakurugenzi wanne walioshindwa kusimamia pesa ya uviko kuagiza mamlaka zinazohusika kutengua ukurugenzi wao. Nashauri pia Mhe Rais apate taarifa rasmi za wilaya zote ikiwa pamoja wilaya ya Songwe. Kwani kuna ubadhirifu mkubwa ulifanywa na...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Songwe: Baba amchoma mtoto wa miezi sita akidai amesingiziwa

    Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mkazi wa mtaa wa Ilembo wilayani Mbozi, Mariko Kahinga kwa tuhuma za kumuunguza mtoto wake wa miezi sita. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe (RPC), Janeth Magomi amesema Jeshi hilo limebaini kuwa Kahinga alimchoma mtoto huyo kwa madai kuwa sio wake huku...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea wilayani Songwe kwenye ujenzi wa madarasa kutokana na pesa za Covid. Ni hatari tupu pesa zimeliwa

    Kwa heshima na taadhima ujumbe huu mhe: Rais ukufikikie popote uliopo.Mhe Raisi umekuwa mstari mbele kuhakikisha Nchi yetu inakuwa salama na tunapata maendeleo katika nyanja mbalimbali. Na umefanya jitihada za dhati kuhakikisha Nchi yetu inasonga mbele.Lakini watendaji wako wanakuangusha...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, "nakuamuru" uwajengee Kivuko Wananchi wa Ipatikana na Nzoka Mkoa wa Songwe

    Salaam Wakuu. Kwa mjibu wa Katiba, rais ameajiriwa na Wananchi kuwatumikia. Hivyo kama Mwajiri, namtaka au namuamuru rais Samia awajengee kivuko hawa Wananchi. Ziara yake moja inatosha kuwawekea kuvuko hawa wananchi. Nimefika Nzoka Momba, Wananchi wanavuka kama Makomandoo unaweza hisi ni...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Songwe: Watu 24 wakamatwa wakizingira kituo cha polisi

    Polisi mkoani Songwe wanawashikilia watu 24 wa Kijiji cha Chang'ombe wilayani Songwe kwa tuhuma za kuzingira kituo cha polisi Galula. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Janeth Magomi amesema watu hao walivamia kituo wakishinikiza kurejeshewa mikoba ya waganga wa jadi (lambalamba) iliyokamatwa na...
  6. Njaa kali30

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Wilaya ya Songwe ana tuhuma nyingi za matumizi mabaya ya ofisi

    Habari wadau nimeona kuna malalamiko mengi yanayomuhusu afisa elimu Chamwino. Kuhusiana na kuwakalipia waalimu wake kuwapa vitisho. Sasa kuna mwingine afisa elimu alieshindikana huku ambaye amekuwa akinyanyasa walimu wake yani ukikosana nae ujue maisha yako ya utumishi yatakuwa...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Mikoa inayozalisha chakula kwa wingi inaongoza kwa udumavu kwa watoto

    Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda amesema takwimu zinaonesha udumavu kwa watoto unaongoza katika mikoa ambayo inazalisha chakula kwa wingi Mikoa hiyo ni Njombe 53.6%, Rukwa 47.9%, Iringa 47.1, Songwe 43.3%, Kigoma 42.3% na Ruvuma 41% Amesema hali hiyo hairidhishi. Serikali imeendelea na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mkoa Songwe bila connection hutoboi

    Kila kitu ni connection, ni mkoa ambao jiographia yake ipo kinyume sana na mkoa tukutu sina hakika vipaumbele vyake nini? Mfano kuna mtu anaitwa kaponda amejaza mademu zake kuwa kuwa wakuuu wa shule na maafisa taaaluma. Kuna jamaaa mmoja anaitwa kafulila alikuja kufanya kazi mkoaaa huuu kama...
  9. Elivate

    JamiiForums Tanzania Delivery ya mizigo midogo Mbeya Mjini, Songwe na Mbozi (Mlowo na Vwawa)

    Habari wana jukwaa, kwa wakazi wa Mbeya mjini wenye uhitaji wakusafirisha 🚚bahasha ndogo ndogo, mizigo kama furniture, gunia za mahindi n.k. kwa hapa hapa mbeya mjini na pia kuelekea Mkoa wa Songwe hapo chini tu, ningependa kuwakaribisha. Gharama zetu ni nafuu na rafiki, wasiliana nami...
  10. Kiturilo

    JamiiForums Tanzania Gari la mbunge wa Songwe lachomwa moto na watu wasiojulikana

    Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana. Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote. Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana. ===...
  11. Njaa kali30

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Songwe na watoro Sugu mashuleni

    Mkuu wa wilaya Songwe alianza kazi yake vizuri pindi alipofika wilaya ya Songwe ya kuwarudisha watoro sugu mashuleni. Jamii inayoishi katika wilaya ya Songwe wengi ni wachimbaji madini na wafugaji. Kwahiyo jamii hii watoto wa huko hawapendi shule. Mkuu wa wilaya akaja na mkakati kabambe wa...
  12. Njaa kali30

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ingilieni kati manyanyaso haya ya wilaya ya Songwe

    Kwa heshima na taaadhima ninaomba malalamiko haya yawafikie tamisemi na wizara ya elimu. Imekuwa tabia ya muda mrefu sana kwa watumishi wanaofanya kazi katika halmashauri ya songwe kukaaa kituo kimoja kwa mda mrefu mfanyakazi anaweza kukaakituo kimoja zaidi ya miaka 13. Wafanyakazi...
  13. Njaa kali30

    JamiiForums Tanzania Maaajabu ya mkoa wa Songwe

    Mkoa wa Songwe ni mojawapo ya mikoa inayopatikana kusini mwa Tanzania. Moa huu ulipatikana baada ya kugawanywa mkoa wa wa mbeya. Maaajabu ya mkoa ni kuwana miundo mibovu ya barabara. Mfano barabara inayotoka Mbalizi kwenda Mkwajuni wakati wa masika huwa haipitiki kabisa kutokana na madaraja...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini upinzani una nguvu sana Mbeya na Songwe tangu miaka ya 1990 hadi sasa?

    Kwa miaka mingi mikoa ya Mbeya na Songwe imekuwa ikitoa wanasia wenye kuelwmea upande wa upinzani, wakiikosoa serikali ya CCM bila ya woga wowote, hata wakitishiwa mateso na kifo hawatetereki. Je, ni nini haswa kilichopelekea watu wa mikoa hiyo kuwa hivyo? Hukk ndiko sehemu ambako CCM hupita...
  15. Display Name

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Songwe, Simon Simalenga akiwa Kata ya Mwambani leo baada ya jana kufanya mazungumzo na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe

    Baada ya jana kukutana na kuzungumza na Watumishi wa Halimashauri ya Wilaya ya Songwe jana. Leo Juni 25,2021 Mkuu wa Wilaya ya Songwe Simon Simalenga amefanya ziara kwenye Kata ya Mwambani ambayo inaundwa na Vijiji vya Iseche, Mbala na Mwambani. Katika ziara hiyo ambayo aliambatana na...
  16. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa watu wa Mkoa wa Mbeya na Songwe huyu ndungu Frank Kibona amefariki mkoani Tanga,hakuna ndugu aliyejitokeza

    Kuna huyu ndugu amefariki huko Tanga, hilo jina la Kibona ni asilimia kubwa Wandali wa Isoko, Kalembo na wilaya ya Ileje kwa ujumla na wamesambaa sana maeneo mengine pamoja na mikoa ya Songwe, Rukwa na Mbeya.Tusaidiane kusambaza hii taarifa.
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya RPC wa Dar es Salaam kung'olewa sasa iwe zamu ya RPC wa Songwe

    Kwa kadri ya kumbukumbu zangu na kwa kadri ya umri nilionao , RPC Kyando wa Songwe ndiye kiongozi wa Polisi katili zaidi kwa waliopo sasa nchini Tanzania , huyu si wa kuonekana sana kwenye vyombo vya habari kama RPC Murroto wa Dodoma ambaye hata akikamata chupa 2 za gongo anataka TV zote...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Songwe: Miaka 200 jela au faini Tsh Milioni 52 kwa makosa 60 ikiwemo kughushi nyaraka

    Leo tarehe 07/05/2021 Mahakama ya wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe imemhukumu ndugu SEMENI GWEWA MSWIMA (Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mlowo) Kifungo cha miaka 200 au kulipa faini ya Tshs.52,000,000/= pamoja na kurejesha kiasi cha Tshs.30,850,000/= alichoiibia Halmashauri wilaya ya Mbozi. Kesi...
  19. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Songwe yaongoza kwa wafanyabiashara kufunga Biashara zao

    Kati ya Mikoa kumi ya Tanzania bara iliyofanyiwa Utafiti na chama Cha wafanyabiashara Nchini (TCCIA), Mkoa wa Songwe umebainika kuongoza kwa wafanyabiashara kufunga biashara zao kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo utitiri wa Kodi. Utafiti huo umefanywa kwa miaka miwili kupitia Mradi wa...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la Mkuu wa Wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la mkuu wa wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ambao wanasema hauna faida kwao SOURCE : channel 10 taarifa ya habari
Back
Top Bottom