somo

State Organization for Marketing of Oil (SOMO) is an Iraqi national company responsible for marketing Iraq's oil. It is headquartered in Baghdad, Iraq.

View More On Wikipedia.org
  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia ni ‘sumu’, Watanzania wapewa somo la utayari wa kutoa taarifa

    Jamii imetakiwa kuwa tayari kutoa taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsia katika jamii ikiwemo ukeketaji kwa watoto wa kike ili kuleta usawa. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju wakati akifungua Kongamano la Kitaifa...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Soka siyo ushkaji ni biashara, ishu ya kipa wa YANGA iwe somo kwa Mtibwa na klabu nyingine

    Desemba mwishoni mwaka jana, Klabu ya Yanga ilimtambulisha kipa Abdultwalib Hamidu Mshery kuwa imemsajili kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wao. Mshery akaingia na kufanikiwa kufanya kweli, lakini Mtibwa Sugar kupitia Ofisa Habari, Thobias Kifaru anaibuka na kudai kuwa Yanga hawajakamilisha...
  3. N

    JamiiForums Tanzania IFFHS: Simba ya 361 Duniani, Ligi ya Tanzania ya 8 kwa ubora Afrika

    Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani afrika bila shaka kutokana na libeneke la simba sc kwa melezo zaidi ngia kwenye website yao. Na...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda asema ufaulu somo la hisabati ni janga linalotakiwa kutafutiwa ufumbuzi

    Ninapata shida kidogo kuhusu kauli ya Prof Mkenda. Wanaofaulu somo la Hisabati wanaajiriwa wapi? Somo la hisabati linawasaidia nini wansfaulu kama wanashindwa kujiajiri na kuajiriwa? Prof Mkenda, kwa ufahamu wako mkubwa tambua kuwa walimu wanao fundisha somo la Hisabati Form four walifeli...
  5. Rais2045

    JamiiForums Tanzania Naomba kupatiwa syllabus ya somo la Kichina kwa shule za sekondari

    Wakuu mada hapo juu yahusika. Naomba kupatiwa nakala hapo juu. Natanguliza shukran
  6. Malyenge

    JamiiForums Tanzania Kutakuwa na tatizo katika usahihishaji wa mtihani wa somo la Elimu ya Dini ya Kiislam Kidato cha Nne

    Baraza la mitihani waangalie imekuwaje hakuna wastani mzuri katika somo la Elimu ya Dini ya Kiislam kwenye matokeo ya Kidato cha Nne? Kuna walakini katika usahihishaji. Serikali ifanye uchunguzi. Ili ukweli ubainike. Kama ni watoto wote waliofanya somo hilo hawana uwezo wa kupata A tujue...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Technology: Maana ya cryptocurrency, metaverse na nft

    Watu wengi nimekuwa nikisoma thread zao humu kuhusiana na cryptocurrency, METAVERSE na NFT Nimegundua vitu vifuatavyo 1. Watu wengi wamepitia changamoto nyingi sana katika utafutaji wao hasa online Hustler kiasi kwamba wameibiwa pesa zao na Kisha kupoteza matumaini Tena za vitu vyovyote...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza atoa somo la uraia, uvumilivu wa kusikiliza hoja kinzani ndiyo siasa yenyewe

    Mgongano wa mawazo ndiyo afya, nchi inapitia ktk tetemeko la kisiasa baada ya kifo cha Rais aliyekuwa anahudumu Askofu Bagonza atoa mawazo yake kuhusu masuala mbalimbali ya siasa na sayansi ya siasa. Spika au rais wote wana huru wa kutoa mawazo yao wakiwa katika nafsi iliyo nje ya taasisi ya...
  9. Nguruvi3

    JamiiForums Tanzania Anguko la Ndugai: Somo la Katiba, viongozi na nchi

    Hatimaye Spika aliyeongoza kwa 'mkono wa chuma'' anguko lake limetimia. Mh. anaondoka akiacha historia ya Spika wa kwanza kujiuzulu tangu uhai wa Taifa hili Spika asingeweza kutekeleza majukumu yake kwa fyongo yake na dhalili aliyopata Fyongo si alichosema ni kile alichofanya baada ya kusema...
  10. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jeneza la Askofu Desmond Tutu lichukukiwe kama somo kwa wanaopenda ufahari kwenye mazishi

    Naangalia matangazo mubashara ya mazishi ya shujaa wa kupambana na utawala wa ubaguzi wa rangiu, mtu aliyetumia Maisha yake yote kupigania haki za wananchi wake, Askofu Desmond Tutu, unaoonyeshwa kwenye vituo mbalimbali vya kimataifa vya TV, kama vile SABC, CNN, BBC, Sky News na Al Jazeera...
  11. M

    JamiiForums Tanzania BAVICHA CLUBHOUSE, leo mmepata somo

    Leo nimetumia tena muda mrefu katika clubhouse ya Bavicha na mada mbili zilikuwa mezani,kesi ya Mbowe na mkutano wa Dodoma. Mengi yamejadiliwa lakini niweke haya ambayo naamini ni funzo kubwa, Kuna mchangaji kwa jina la BM ambaye alihoji mawakili wa Chadema kumuita shahidi aliyeugua kichaa.Kuna...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Polepole toa somo kwa wamachinga

    Wamachinga ni watanzania wenzetu wenye haki na wajibu kamili kwa taifa lao. Machinga ni watoto, kaka, dada, wapwa, shangazi, wajomba, wajukuu, bibi, babu, ndugu na rafiki zetu. Ni kundi la wanajamii ambao wamejiamulia wenyewe mahala pa kufanyia biashara sawa na makundi mengine ya watanzania...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi atoa Somo la Uzalendo

    Mh. Waziri wa Sheria na Katiba amesikika leo akitoa somo: Hii ikiwa hata vumbi la kuangushiwa jumba bovu lingali halijatulia: Kuna haja ya tafsiri za neno hili "uzalendo" kupitiwa vyema ila kuwa na tafsiri moja. Tulipo leo haieleweki. Kwa jina la uzalendo Polepole anananga anaowaita...
  14. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Mgao wa Maji ni Somo Kwetu Kuhusu Ubaya wa Ufujaji

    Abuu Kauthar Jiji la Dar es Salaam hivi karibuni liliingizwa katika mgao wa maji kwa sababu ya ukame ulioikumba nchi hivi karibuni. Jambo la kushukuru ni kwamba mvua zimeanza kunyesha.Kipindi mgao ulipokuwa mkali, eneo letu Mburahati halikupata maji kabisa kwa wiki tatu. Vijana wa nyumbani...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia somo moja

    Habari zenu wakuu. Nilimaliza form four mwaka 2018 kwa ufaulu wa division 3 ya 24, lakini nilikua na F moja ya Mathematics hata hivyo nikachagulia na TAMISEMI kusomea coz ya marketing ndiyo ninayosoma Hadi Sasa. Nataka ku risiti nirudie SoMo moja la mathematics ambalo nilipata "F" form four...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi?

    Safari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi: Wenye ajira kudhani wasio na ajira ni wapuuzi hiyo si sahihi. Kwanini rais ang'ake kusikia tishio kwenye kuendelea na urais baada ya 2025? Kwanini Makalla asiwe tayari kuachia ngazi na kwenda kujiajiri? Kwanini yasipunguzwe maslahi serikalini...
  17. Ileje

    JamiiForums Tanzania Somo gani tunajifunza Watanzania kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia

    Watanzania tuna jambo la kujifunza na kuchukua hatua sahihi hivi sasa kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia. Tusijifanye vipofu hatuoni ukweli uliopo. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliopo hivi sasa ni wa muda tu kama katiba ya Serikali ya Muungano haitafanyiwa...
  18. Junnie27

    JamiiForums Tanzania Somo kwa ajili ya ununuzi wa gari toka kwa mtu bnafsi kutoka TRA elimu kwa mteja.

    1. Swali: Chombo cha moto ni nini? Jibu : Ni chombo kinachotumika katika usafirishaji ardhini, ambavyo ni pamoja na Magari, pikipiki na bajaji. 2. Swali: Nikitaka kununua gari kwa mtu taratibu zipoje? Jibu : Unapaswa ufike ofisi ya TRA na picha ya pasipoti ya muuzaji, ripoti ya ukaguzi...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna chuo kinatoa degree ya Hesabu, chemistry, physics etc. Somo kama somo?

    Eti wakuu. Chuo gani Tz kinatoa degree ya physics, hesabu, biology au chemistry. Yaani somo kama somo.
  20. B

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Col. Mamady Doumbouya Atoa Somo kwa Dikteta Museveni

    Ama kwa hakika yahitaji Almasi kukata Almasi. Rasmi, live na bila chenga amefahamishwa dikteta wa Uganda kuufyata. Ama kwa hakika Madikteta uchwara wana nini cha kuiambia dunia kuhusu demokrasia? Heko Col. Doumbouya, hadi hapo unasomeka vyema sana. Huyo mmoja na kwetu wapo. --- Mamady...
Back
Top Bottom